Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Putin ndiye hawez ,maana mzik wa US anaujuaBiden hawezi fanya lolote Kwa Putin muda wa kutumia NUKE ukifika tufe itabonyezwa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787]View attachment 2359806
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hayafai kuongelea maana ni mauaji mazito ndio maana akakaa kimyaIf Russia uses nuclear weapons in Ukraine, it will have consequences and Russia will become "an even greater outcast,"Biden said.
When the journalist clarified what the consequences would be if Vladimir Putin crossed this line,Biden president remained silent[emoji845]
Ni mwendo wa kipigo tu [emoji91]Tazama ndege imetunguliwa live aisee watawamaliza ma pilot wao
Putin ndiye hawez ,maana mzik wa US anaujua
Asikari wa super pawer wa mchongo wamedhoofu kweli kweli [emoji2][emoji2]Wakishikwa wanakuwa wapole sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Syria bado yupo na ananyinya mafuta ,Venezuela haikua na faida kwake akabulshit hua US hapigani kwa hisia anapigana kutafuta faida. ,siyo Putin anajipigania tuu bila faida ndio maana hata uchumi wake haulingani na rasilimali alizonazoKule syria na Venezuela US alifanyaje??
Hayafai kuongelea maana ni mauaji mazito ndio maana akakaa kimya
Hahaha muulize Japan ,kipind ile Japan alikua kama Russia .Huo ubavu anao?? Level zake ni libya, somalia, Iraq nknk hawezi kuvimba kwa wanaume wanaojitambua.
alisikika mshauri wa mgambo wa kijiji akiongea kwa hasira.Propaganda tu hizi, sidhani kama alitarajia kumaliza robo tatu ya mwaka akiwa vitani
Kama ni nyuklia tu, huenda upo sahihi
Zele anatakiwa afeHali inayokuja inaogofya sana sijui kama Zelensk atasilimika kwa kweli.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Syria bado yupo na ananyinya mafuta ,Venezuela haikua na faida kwake akabulshit hua US hapigani kwa hisia anapigana kutafuta faida. ,siyo Putin anajipigania tuu bila faida ndio maana hata uchumi wake haulingani na rasilimali alizonazo
Hahaaaa anabugia vodka nying alafu msosi hali wala majiKwa habari za ndani ndani ndani,ni kwamba dikiteta Putin anazid kusumbuliwa na ugonjwa wa ajabu unaoitwa spanksun.., ugonjwa huu unamfanya bwana Putin kuwa na choo kigumu,kama inavoonekana kwenye picha
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2359811
Hahaha muulize Japan ,kipind ile Japan alikua kama Russia .
Hizo s300 na 400 zimefanya nn UkrainePole sana hii inaonesha jinsi gani hujui mambo acha nikutie pending. US ana hali ngumu sana Syria coz of Russia wakati wa ule mgogoro Russia kutangaza kuingia na kumkingia kifua Assad US alikutana na kichapo heavy alikutana na ndege zina speed x2 ya popobawa zake. Ndo kipindi ambacho US alikutana na mziki wa S-300 + S-400 afu wewe unasema nini?? [emoji706][emoji706][emoji706]
Russia amchokoze sasa ,atupe hats jiwe pale Washington aoneKwa Japan alikula kichapo akakimbilia nuclear, sasa mbona hazitumi Russia???
US anamziki gani kama juzi alifumuliwa marinda na Iran na hakuinua mdomo ije kua RussiaPutin ndiye hawez ,maana mzik wa US anaujua
Sio masihara,hiki kipigo kilikuwa kikali aisee [emoji848]Tazama silaha nyingi sana warusi wametelekeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu biden atavuta kamba kwa vihoro ni swala la mda tuUS anamziki gani kama juzi alifumuliwa marinda na Iran na hakuinua mdomo ije kua RussiaView attachment 2359812
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app