LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Labda nikuulize ambacho Putin alikuwa anataka kua achieve ameshindwa ni kitu gani?,tofauti na tunachokijua sisi-maana sisi sote tunachojua ni kupitia Speech yake kwamba lengo ni Ukraine kutojiunga na NATO na kuidhifisha Ukraine kijeshi,sasa unaposema ameshindwa katika hili sijui una maana gani maana Operation bado inaendelea.
Au kuna dhumuni lingine toafuti na hili alilolisema Putin ambalo sisi hatulijui Bali wewe pekee na ndio maana unasema ameshindwa??.

Na hapo unaposema kwamba atashinda vita lakini hata weza kutawala napo ni wewe tu ndio utakuwa anaelewa Duniani,maana Dunia yote haijui Putin atafanya nini baada ya kuikamata Kiev.
 
Mwaka huu December Putin ataanza kushindia uji.
 
The United States is using the Ukrainian crisis to discredit and slander China, thus trying to relieve itself of responsibility for the situation, Chinese Foreign Ministry spokesman Wang Wenbin said.
 
we si mwanaume pamabana mpaka mwisho hakuna kulia lia
 
Vikwazo anawekewa urusi Ila wanaoumia ni wabongo hadi akili zikae sawa tutakuwa tushachelewa sanaa.
Mm@marekan ni kama mzinifu anayehubiri na oukataza watu wasizini
 
kwa bahati mbaya, hauna akili kufikiri na kuelewa kwamba waukraine zamani walikuwa warusi, na hata mle mle ndani kuna idadi kubwa sana ya warusi, na majority ya waukrain wanaongea kirusi. ni rahisi wafanya waadopt urusi hasa kwa kiongozi watakayemweka. kama wameteketeza vituo vya kijeshi, na wanaweka wazi hawatakubali ukrain iwe na nguvu ya kijeshi, ni mjinga gani atakayekataa kuwa pamoja nao ili awe salama? ni wajinga kama wewe tu ndio watakubali.
 
Mataifa kibao yaliachana na Russia na kujiunga na Nato na ziko jirani kabisa naye, sasa akawapige basi awatoe huko asikotaka watu waende maanake si ana nguvu?
 
Kama lengo lake ni kuidhoofisha kijeshi Ukraine ina maana kwamba Ukraine ambayo ilitoa silaha zake zote za maangamizi baada ya kuanguka kwa USSR ndio ambayo Putin anaihofia? Hata kwa gharama gani NATO wasingeipokea Ukraine kama mshirika wao na sababu kubwa ni kwamba tayari chache za moto zilishaanza kuonekana toka 2004. Hapa ilikua inafanyika jockeying ya kumlazimisha russia kuinvest kwenye war industries badala ya kwenye uchumi na ndio maana uchumi wake ni kama upo stagnant. Sasa hivi marekani akiondoa vikwazo vilivyopo kwa wazalishaji wa kutumia fracking method then atafload market na mafuta yake. What will russia sell to the world? UAE, Saudia kwa kujua kwamba tayari fossil fuels zitaisha muda wake ameanza kuwekeza kwenye viwanda na vitu vingine ili asitegemee mafuta maana kushuka kwa bei ya mafuta kulikoshuhudiwa baada ya muanguko wa uchumi wa mwaka 2008.
Kama unaamini alichokisema Putin mbona wakati inteligensia ya marekani ilipoonesha anajipanga kwa vita toka mwishoni mwa October 2021 alikataa akasema anafanya normal exercise? Kuna excercise gani ya kupeleka battalion zaidi ya 135 mpakani mwa mwenzako ambae hata jani lako hajaligusa? Kwa nini aanze kuhamisha watu kutoka Donetsk na Luhansk kama sio vita alivyokua anajipanga navyo? Alifikiri atapokelewa kwa shangwe au bila upinzani kama alivyofanya Prague 1968 au yale ya Poland ya 1956? People change. Ukiamini maneno ya aggressor sawa mimi siyaamini
 
Kama Russia ni wajinga kihivyo kwa kufikiria kuidhoofisha Ukraine kijeshi basi wanajidanganya sana, hiyo Ukraine itakuja kuwa mwiba utakaowachoma hadi watatafuta mlango wa kutokea wenyewe.

Ndani ya Ukraine kamwe Russia hawatakuwa na amani hali itawawia vigumu zaidi ya ilivyokuwa kule Afghanistan. Hawatamudu kukaa Ukraine wakati uchumi wao utakuwa umesambaratika. Never.
 

😂😂😂mkuu imenichekesha Ulaya inamuhitaji Urusi kuliko Urusi inavyohitaji ulaya?Bro kabla ya kuongea fanya tathmini kwanza.Putin vikwazo alivyowekewa sio vya kitoto.Embu jibu hoja kwa facts na sio mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…