LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
haya ndugu zetu wa kremlini ya buza mambo ni hayo sasa

38604E68-A0FB-4B02-A934-0C606D831C7E.jpeg
 
😂😂😂mkuu imenichekesha Ulaya inamuhitaji Urusi kuliko Urusi inavyohitaji ulaya?Bro kabla ya kuongea fanya tathmini kwanza.Putin vikwazo alivyowekewa sio vya kitoto.Embu jibu hoja kwa facts na sio mihemko
unabishana na bots za kirusi? hao ni mamluk

DFC651CC-F396-41DC-89C3-778464E61173.jpeg
 
Kama Russia ni wajinga kihivyo kwa kufikiria kuidhoofisha Ukraine kijeshi basi wanajidanganya sana, hiyo Ukraine itakuja kuwa mwiba utakaowachoma hadi watatafuta mlango wa kutokea wenyewe.

Ndani ya Ukraine kamwe Russia hawatakuwa na amani hali itawawia vigumu zaidi ya ilivyokuwa kule Afghanistan. Hawatamudu kukaa Ukraine wakati uchumi wao utakuwa umesambaratika. Never.
jamaa wao kaomba poo tayari

D08A14EF-E4C6-44AE-AB90-60B5C68D5470.jpeg
 
Kama Russia ni wajinga kihivyo kwa kufikiria kuidhoofisha Ukraine kijeshi basi wanajidanganya sana, hiyo Ukraine itakuja kuwa mwiba utakaowachoma hadi watatafuta mlango wa kutokea wenyewe.

Ndani ya Ukraine kamwe Russia hawatakuwa na amani hali itawawia vigumu zaidi ya ilivyokuwa kule Afghanistan. Hawatamudu kukaa Ukraine wakati uchumi wao utakuwa umesambaratika. Never.
Nahisi wewe unaweza ukawa mjinga zaidi.
1.Unaofikiri kuwa wanaweza kumfanya UKRAINE awe mwiba wenyewe wamekalia mwiba in short hawamuwezi.
2.it is too late for Putin kukubali any advancement kijeshi kwa UKRAINE au NATO expansion totally too late Kama siyo mfuatiliaji badi ujue Putin amewavumilia Nato na upuuzi wao for almost a decade.
3.Unalijua kweli lengo la Mrusi na SABABU zayeye kutanya haya.
 
Wengi elimu hawana wanaongea kimihemko tu
 
Nahisi wewe unaweza ukawa mjinga zaidi.
1.Unaofikiri kuwa wanaweza kumfanya UKRAINE awe mwiba wenyewe wamekalia mwiba in short hawamuwezi.
2.it is too late for Putin kukubali any advancement kijeshi kwa UKRAINE au NATO expansion totally too late Kama siyo mfuatiliaji badi ujue Putin amewavumilia Nato na upuuzi wao for almost a decade.
3.Unalijua kweli lengo la Mrusi na SABABU zayeye kutanya haya.
hajui lolote huyo kazi kuropoka tu
 
President Putin has warned those opposing Russia's actions in Ukraine "not to exacerbate the situation" by imposing more restrictions on his country.

The Russian president was speaking at a government meeting broadcast on the state-controlled Rossiya 24 news channel.

Kuna watu wanasema vikwazo haviumizi
 
Kama lengo lake ni kuidhoofisha kijeshi Ukraine ina maana kwamba Ukraine ambayo ilitoa silaha zake zote za maangamizi baada ya kuanguka kwa USSR ndio ambayo Putin anaihofia? Hata kwa gharama gani NATO wasingeipokea Ukraine kama mshirika wao na sababu kubwa ni kwamba tayari chache za moto zilishaanza kuonekana toka 2004. Hapa ilikua inafanyika jockeying ya kumlazimisha russia kuinvest kwenye war industries badala ya kwenye uchumi na ndio maana uchumi wake ni kama upo stagnant. Sasa hivi marekani akiondoa vikwazo vilivyopo kwa wazalishaji wa kutumia fracking method then atafload market na mafuta yake. What will russia sell to the world? UAE, Saudia kwa kujua kwamba tayari fossil fuels zitaisha muda wake ameanza kuwekeza kwenye viwanda na vitu vingine ili asitegemee mafuta maana kushuka kwa bei ya mafuta kulikoshuhudiwa baada ya muanguko wa uchumi wa mwaka 2008.
Kama unaamini alichokisema Putin mbona wakati inteligensia ya marekani ilipoonesha anajipanga kwa vita toka mwishoni mwa October 2021 alikataa akasema anafanya normal exercise? Kuna excercise gani ya kupeleka battalion zaidi ya 135 mpakani mwa mwenzako ambae hata jani lako hajaligusa? Kwa nini aanze kuhamisha watu kutoka Donetsk na Luhansk kama sio vita alivyokua anajipanga navyo? Alifikiri atapokelewa kwa shangwe au bila upinzani kama alivyofanya Prague 1968 au yale ya Poland ya 1956? People change. Ukiamini maneno ya aggressor sawa mimi siyaamini
Umeandika upumbavu, yaan wewe ujue haya mtu kutoka mburahati afu walioko Moscow wasijue??
 
Mtu yeyote anayemshabikia Putin naona ni mjinga. Akipata ufahamu wa nini kitamkosti yeye ataelewa kwamba vita vile japo wanakufa waukraine na warusi lakini na yeye anachangia polepole. Bei ya pipa la crude petrol ni USD 112 at the moment. Pia wanaopigana ni wazalishaji wakuu wa ngano duniani na gesi. Pia yeyote anayezalisha gesi anazalisha mbolea ya kutumia kwenye mashamba. Ukraine anazalisha mbegu za alizeti kwa wingi duniani. Pia anga la ulaya ni no flying zone kwa ndege zote za kiraia za urusi na pia anga la urusi ni no flying zone kwa ndege za kiraia za ulaya na marekani. Hapa maana yake ni kwamba gharama za usafirishaji na usafiri wa anga zitaongezeka mara mbili. Pia gharama za usafirishaji kwenye maji zinatarajiwa kuongezeka kutoka dola za kimarekani 10,000 mpaka 30,000 kwa kontena moja ikiwa hali hii itaendelea. Uturuki imefunga ghuba ya bosphorus brigde maana yake hakuna meli yenye chakula au bidhaa zozote ya kirusi au kiukraine itapita kuingia mediteranian. Wewe mjinga unayeshangilia vita huku ukimlaumu Samia kwa bei ya bidhaa acha ushamba. Tafuta chanzo acha kushabikia vita. Sasa hivi anayeumia sio wale wanaokufa ni mifuko yetu. Tafuta bei ya mafuta ya kula uone ni tsh ngapi leo na yalikua Tsh ngapi siku vita vinaanza. Subirini pia bei ya gesi na bidhaa za aluminium zipande bei mara dufu ndo mtaelewa. Russia ndio mzalishaji mkubwa wa aluminium duniani. Kampuni kubwa ya aluminium ipo kwenye vikwazo sasa utaona vitu vinavyotegemeana huku duniani. AMANI IRUDI UKRAINE. PUTIN AACHE KUWA PARANOID. Slavs arent his to rule. Kiev was there before Russia was founded mere eighty centrury ago. Kiev was there as an independent kingdom 4 century before the Moscow grand duchy was founded.
Hujui chochote halafu unaanza kuita watu wajinga.
 
President Putin has warned those opposing Russia's actions in Ukraine "not to exacerbate the situation" by imposing more restrictions on his country.

The Russian president was speaking at a government meeting broadcast on the state-controlled Rossiya 24 news channel.

Kuna watu wanasema vikwazo haviumizi
hahaha jamaa kanyoosha mikono juu
 
Kachanganyikiwa huyo, Ukraine na NATO wake waliopo Ukraine wanapokea kichapo heavy ila hawasemi. Mpaka mataifa mengine chini ya NATO yameona yawe Neutral kwa sababu wanajua NATO ni mbwakoko tu kazi yao kubweka na kutikisa mkia
Jamaa chenga sana,nato iliingia Libya kwa kisingizio cha kulinda watu mbona Ukraine hawalindi watu na kufunga anga? Anajua kitakachomkuta ni kitu gani
 
Near Mariupol, in the village of Talakovka, the Armed Forces of Ukraine shot down two cars in which local residents tried to leave the city - three people died.

The driver and passenger of the yellow minivan died immediately, the passenger of the red passenger car was seriously injured and died without waiting for an ambulance. The team of doctors did not have time to come to the rescue due to the incessant artillery fire of the Ukrainian military.

Source: Mash
 
Back
Top Bottom