Hakuna source mliyowahi kuikubali kila mtu alete kwa source yake kikubwa iwe media sio group's za telegramUkrainian independent media ndo sources zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Za kwenu propaganda ni nyingi sana mkuu, zinapikwa sanaHakuna source mliyowahi kuikubali kila mtu alete kwa source yake kikubwa iwe media sio group's za telegram
Acheni kukopi kopi mkitaka muone live kinachoendelea Russia kawasogezea channel zake hapo satellite ya express 14w tena free Kwa rugha ya kiingereza utaona live front line kinachoendelea sio hao wanaobunibuni wakiwa kievHakuna source mliyowahi kuikubali kila mtu alete kwa source yake kikubwa iwe media sio group's za telegram
Hii channel wana reporters kutoka frontline pia hufanya mahojiano ya moja kwa moja na makamanda wa frontline wako faster ku update habari sijui wewe unaingelea chombo ganiAcheni kukopi kopi mkitaka muone live kinachoendelea Russia kawasogezea channel zake hapo satellite ya express 14w tena free Kwa rugha ya kiingereza utaona live front line kinachoendelea sio hao wanaobunibuni wakiwa kiev
Hii vita inapiganwa Ukraine sasa unataka tuone kinachoendelea Russia kinatuhusu nini FAMBA wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acheni kukopi kopi mkitaka muone live kinachoendelea Russia kawasogezea channel zake hapo satellite ya express 14w tena free Kwa rugha ya kiingereza utaona live front line kinachoendelea sio hao wanaobunibuni wakiwa kiev
Sasa hizo articles za telegram mnazopost kila siku humu zina yhalisia wowote mimi natoa kwenye media zinazotambulika UkraineZa kwenu propaganda ni nyingi sana mkuu, zinapikwa sana
Ni mwendo wa kipigo tu hakuna namna [emoji848][emoji2]Hii channel wana reporters kutoka frontline pia hufanya mahojiano ya moja kwa moja na makamanda wa frontline wako faster ku update habari sijui wewe unaingelea chombo gani
Haya tazama hii video uone silaha Russia wamekimbia na kuziacha propaganda iko wapi kwenye hii videoZa kwenu propaganda ni nyingi sana mkuu, zinapikwa sana
Alafu Kuna watu wanajidanganya kuwa urusi atashinda hii vita..,ni mjinga pekee ndiye anayeweza kuamini hili [emoji848]Wana roho mbaya bira tuwamalize tuView attachment 2360250
Je hawa mateka hapa nao pia ni propaganda je miji iliyorudishwa pia ni propaganda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Za kwenu propaganda ni nyingi sana mkuu, zinapikwa sana
Silaha alizoacha Russia ni nyingi mno,ameacha zenye thamani ya mabilion ya dollar [emoji848]Haya tazama hii video uone silaha Russia wamekimbia na kuziacha propaganda iko wapi kwenye hii video
Ni suala la muda huyu dikiteta Putin atabwaga manyanga huko Ukraine [emoji12]Je hawa mateka hapa nao pia ni propaganda je miji iliyorudishwa pia ni propaganda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii vita hamchomoki msgaanza kurudi nyuma ndio habari yenu imekwisha
Vita ishamshinda ameanza kurudi nyuma wakati tunabomoa madaraja na ammunition depot zao walikuwa wanacheka sasa hivi frontline inakula msoto wanasema propagandaNi suala la muda huyu dikiteta Putin atabwaga manyanga huko Ukraine [emoji12]
Maana SI kwa kipigo anachopokea
Russia gasi yake Huwa ni cheap!Hata Ulaya alikuwa anawauzi Kwa Bei poa sana ukilinganisha na Bei ya gas mahali kwingine!Hahahaha
Jamaa anatoa discount ya maana ndio maana India na China wananunua mafuta yake hakuna cha kupanda na kushuka Kwa Bei hapa
While other countries back away from Russian oil, China senses an opportunity to stock up on the cheap
India has also been trying to negotiate deeper price cuts, aiming for deals as low as $70 a barrel.
As China shops around for a good deal to refill its strategic crude stockpiles, Russia — with few other countries to sell to — is offering its oil at a tantalizing discount.
While other countries back away from Russian oil, China senses an opportunity to stock up on the cheap
Kwa hiyo unaaamini zile article zenu za kuokoteza kwenye telegram za warusi sio?Acheni kukopi kopi mkitaka muone live kinachoendelea Russia kawasogezea channel zake hapo satellite ya express 14w tena free Kwa rugha ya kiingereza utaona live front line kinachoendelea sio hao wanaobunibuni wakiwa kiev