Mie usiniquote please sababu level yangu ya kujadiliana na wew ni tofauti. Wew tafuta mwenzio ambae unaona mtaendana sawa. Napia hukua na haja ya kujibu kile nilichosema.
Ndio hivyo mkuu, ni Mambo ya hajabu na kushangaza. Na cjui mods wanafanya niny! Kuacha mambo haya yaendelee maana Kuna watu humu mwanzo walikua wanatoa hoja nzuri na zinapingwa kwa hoja nzuri bila matusi na mipasho, tena kukiwa na nondo nzuri ndani yake kwendana na ukweli na uhalisia wa mgogoro huu but now hawapo, sababu ya mambo Kama haya.Nadhani shida kubwa ni mental health.
Utakuta unaandika message ya kawaida kabisa, lakini mtu ana replay kwa kukutukana matusi makubwa Sana. Sasa unajiuliza, huyu mtu nimemkosea kwa lipi mpaka anitukane namna hii.?
Mwisho wa siku unafahamu tu hizi ni mental health issues.
Tell me what is not right in me.Yeah,ku-expose the evil of the West ndiko kunakonifanya nisiwe sawa?Yeah,siko sawa kwa kuwa mimi nipo 3D na wewe nadhani tayari upo 5D,so ni lazima unione siko sawa!Hata hivyo naamini wewe ndiye huko sawa.Mimi I stand for fairness,love and respect towards each other,good moral values,logic,rationality and value for human life and dignity.That is who I am.Tell me who you are.Please be frank.Kuna kitu huwa hakipo sawa kwako
Kama hutaki nikuquote unatafuta nini jamiiforum..,Kuna mtu kakuita huku,?Mie usiniquote please sababu level yangu ya kujadiliana na wew ni tofauti. Wew tafuta mwenzio ambae unaona mtaendana sawa. Napia hukua na haja ya kujibu kile nilichosema.
Tatizo la akili mnalo nyinyi japo hamjielewi...wewe mwenyewe unadhihirisha hapa kwamba una tatizo la akiliNadhani shida kubwa ni mental health.
Utakuta unaandika message ya kawaida kabisa, lakini mtu ana replay kwa kukutukana matusi makubwa Sana. Sasa unajiuliza, huyu mtu nimemkosea kwa lipi mpaka anitukane namna hii.?
Mwisho wa siku unafahamu tu hizi ni mental health issues.
Hata mimi I am soon quiting!Naona hii thread, Sasa imekua ya mipasho na matusi, imefikia hatua Sasa hoja kupingwa kwa hoja tena kwa lugha nzuri imekua Jambo gumu. Hata wale tunaofuatilia mgogoro huu wa Ukraine na urusi ili kujifunza na kupata Elimu kinachotokea Ni tofauti na kile mtu uzaniavyo, maana wengi waliokua na uelewa wa mgogoro huu huku wakitoa Elimu na darasa zuri, wameona wakae pembeni, Ni kazi kweli kweli kuona mambo haya yanayoendelea kwenye uzi huu.
Huna mamlaka ya kuwapangia moderators jinsi ya kufanya kazi,Ndio hivyo mkuu, ni Mambo ya hajabu na kushangaza. Na cjui mods wanafanya niny! Kuacha mambo haya yaendelee maana Kuna watu humu mwanzo walikua wanatoa hoja nzuri na zinapingwa kwa hoja nzuri bila matusi na mipasho, tena kukiwa na nondo nzuri ndani yake kwendana na ukweli na uhalisia wa mgogoro huu but now hawapo, sababu ya mambo Kama haya.
Haihitaji msaada wa Mtu yoyote lakini wakati huohuo anashusha Bei ya Mafuta na Gas na kuomba China na India zimuunge mkono!!!!! Duuh! Hatari Sana[emoji38]!
You tube si Kila mtu anajipostia tuHaya tazama hii video uone silaha Russia wamekimbia na kuziacha propaganda iko wapi kwenye hii video
Mkiona mmezidiwa hoja mnaanza kulalama[emoji12]Hata mimi I am soon quiting!
Na wewe nenda kapost na ulete huku Ili uwafuraishe pro Russia,You tube si Kila mtu anajipostia tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Supapawa anarecruit wafungwa
Russian prisoners recruited by Wagner 'already captured by Ukrainian forces'
Sources tell MEE that poorly trained and equipped convicts are being captured on the Kherson and Kharkiv frontswww.middleeasteye.net
Halafu machoko yanacomment eti supapawa wachongo hajatumia hata nusu ya uwezo wake, pumbav
Supapawa WA kureceruit wafungwa supapawa mafi ,aje huku tumuuzie wafungwa WA segerea
Manina javellins na Himars zinamfira supapawa ,kipigo kikali
[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787]Tulieni mnyonyolewe ,this time mnapigwa mpaka Kremlin , mnavamia sovereign state na kumega maeneo kama wendawazimu sasa tulia muonyeshwe kazi
Sawa muuza mbususu WA buza
[emoji1126] Politico: Many Hungarians believe that the truth is on Russia's side because they are tired of European values.
This is what the writer Attila Demko thinks: “After 12 years of pressure from the EU and the West, many Hungarians find themselves thinking that if the West is bad, then what Russia is doing must be true.”
The article notes that people in Hungary do not understand why they should support anti-Russian sanctions if their country is constantly criticized in the EU.
You tube si Kila mtu anajipostia tu
Yaan Mkuu,Hata mimi I am soon quiting!