Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Binafsi nakushauri ujaribu kuficha huo upumbavu ulionao

Picha za hovyo wanazoleta akina green rajabu umewahi kuzikemea?..,umekalia tu kukosoa wale wenye mtazamo tofauti na wako..,huo ni upuuzi kama upuuzi mwingine..,acha upuuzi

Ungeonekana wa maana sana kama ungekosoa pande zote.., vinginevyo nitazidi kukuona mpuuzi tu

Kunya anye kuku,akinya Bata kaharisha

Acha upuuzi [emoji52][emoji52]
Sina hakika una umri gani...na Wala Sina hakika na elimu yako...ila kwa uzoefu wangu wenye majibu ya Aina hii Mara nyingi ni watu walioshindwa kimaisha au Wana matatizo ya kisaikolojia....fikiria unamwambia baba yako mzazi au mama mzazi kwamba wewe ' baba ni mpumbavu' au 'baba acha upumbavu' ....kwa kufuatilia comments zako humu Nina Shaka hata na heshima yako katika jamii inayokuzunguka...
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220917-213231.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine captured more territory in the last week than Russia did in the last five months of the war. See our latest maps tracking Russia's invasion.

Tekinolojia ya kisasa katika silaha zake. (Kifaru Armata 14 -kifaa kizuri- anashindwa kutengeneza. ) Na wanajeshi wa kutosha. Hata grenedi kwa mizinga yake (sasa ananunua Korea Kaskazini). Halafu mpango wa kutoka kwenye shima alilojichimbia. (sijui kama China inao?) . Kwa jumla akili kidogo, sivyo?
Ushubwada [emoji706]
 
Nyaraka za SIRI Mashirika ya Kijasusi ya US CIA, NSA na DNC zimevuja na kuonesha mipango ya Hila za US zajulikana nia yake kushusha uchumi wa Ulaya na Amepandikiza chawa kwenye Serikali za Ulaya kama Chanselor wa Ujerumani ni chawa US na wengine

Killing EU as a competitor was the plan all along, to kill the EU economy you kill Germany, von der leyen, Harbeck, Scholz and Baerbock are the US quislings who have acheived this. All traitors to their country.View attachment 2359957View attachment 2359960View attachment 2359961View attachment 2359962View attachment 2359964View attachment 2359965View attachment 2359966

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aiseee, US ni washenz sana.
 
Nimeisikiliza ndio maana nimepost,India na China wote wanamshangaa Putin kufanya upumbafu wa kuvamia nchi ya watu kwa sababu za kipumbafu Xi kampa za uso kwamba hawasapoti kuingilia nchi huru Kwa kisingizio chochote kule Modi kampa kavu kwamba Zama hizi sio Zama za vita. Putin kawa mdogo kabaki anajieleza tu kwa wakubwa wenzake. Putin huyu ndo Yule mlikua mnamsifia ni Genius[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AIBU!
Huyo china anajiandaa kuivamia taiwan. Leo ndege za china kibao tu tumesikia zimeingia anga la taiwan. Au unakubali taiwan sio nchi huru!? India na pakistan hawaelewani huko kashmir. India waseme hizi sio zama za vita wakati wao wameongeza matumizi wa jeshi lao sasa hv wako kwenye top tier.

Unaposema wanamshangaa unamaanisha nn!? Urusi narudia tena hahutaji msaada wa mtu yoyote yule ili op yake iendelee. Sio china sio india sio iran. Hao wote kwanza ndio wanamtegemea urusi kwenye mambo ya kijeshi.

Km unafkiri india na china wanaweza kuwa na say juu ya urusi ya putin, pole!
 
Urusi hiihii iliyoenda kupiga magoti Tehran ipewe drones au Urusi nyingine?!

Hivi Una habari baada ya Russia kuanza kuitisha Kazakhstan bwana Xi kapiga mkwara huko kasema atailinda Kazakhstan dhidi ya mvamizi wowote Yule?!
Yani Leo China inaipiga mkwara Russia,inasikitisha!!!!!!
 
Huyo china anajiandaa kuivamia taiwan. Leo ndege za china kibao tu tumesikia zimeingia anga la taiwan. Au unakubali taiwan sio nchi huru!? India na pakistan hawaelewani huko kashmir. India waseme hizi sio zama za vita wakati wao wameongeza matumizi wa jeshi lao sasa hv wako kwenye top tier.

Unaposema wanamshangaa unamaanisha nn!? Urusi narudia tena hahutaji msaada wa mtu yoyote yule ili op yake iendelee. Sio china sio india sio iran. Hao wote kwanza ndio wanamtegemea urusi kwenye mambo ya kijeshi.

Km unafkiri india na china wanaweza kuwa na say juu ya urusi ya putin, pole!
Haihitaji msaada wa Mtu yoyote lakini wakati huohuo anashusha Bei ya Mafuta na Gas na kuomba China na India zimuunge mkono!!!!! Duuh! Hatari Sana[emoji38]!
 
Lazima tushtuke. Haiwezekani BRICS yao India inampiga mkwara Putin na China inampiga mkwara. Zinabaki South Africa na Brazil wala hazina kauli dhidi ya West. Adui ni Putin wala sio Russia, nchi haichukiwi ni mtu mmoja analazimisha chuki na hasara kwa taifa lake
Hakuna India wana China inayoweza achilia mbali kuwa imefanya kweli kumpiga mkwara Russia! Yaani hata kama wakitaka (najua hawataki) uwezo huo hawana. Very Cheap propaganda!
 
Wow,the cat is out of the box:Swedish media outlet publishes a U.S. document outlining how to CRUSH Europe economy through the Ukraine-Russia war​

WORLD HAL TURNER 16 SEPTEMBER 2022 HITS: 16499
Swedish Media Outlet Publishes Claimed U.S. Document Outlining How to CRUSH Europe Economy thru Ukraine War Effort

Nya Dagbladet, a media outlet in Sweden, has published what it says appears to be classified US plans to crush the European economy by means of a war in Ukraine and an induced energy crisis.
Nya Dagbladet goes on to report as follows:
RAND Corporation’s think tank
, which has a huge work force of 1,850 employees and a budget of $350 million, has the official aim of “improving policies and decision-making through research and analysis”. It is primarily connected to the United States Department of Defense and is infamous for having been influential in the development of military and other strategies during the Cold War.
A document signed RAND, under the opening heading of “Weakening Germany, strengthening the U.S.”, suggests that there is an “urgent need” for an influx of resources from outside to maintain the overall American economy, but “especially the banking system”.
“Only European countries bound by EU and NATO commitments can provide us with these without significant military and political costs for us.”
According to RAND, the main obstacle to this ambition is the growing independence of Germany. Among other things, it points out that Brexit has given Germany greater independence and made it more difficult for the United States to influence the decisions of European governments.
A key objective that permeates this cynical strategy is, in particular, to destroy the cooperation between Germany and Russia, as well as France, which is seen as the greatest economic and political threat to the United States.
”If implemented, this scenario will eventually turn Europe into not only an economic, but also a political competitor to the United States.”, it declares.

The only way: “Draw both sides into war with Ukraine”​

In order to crush this political threat, a strategic plan, primarily focused on destroying the German economy, is presented.
“Stopping Russian deliveries could create a systematic crisis that would be devastating for the German economy and indirectly for the European Union as a whole”, it states, and believes that the key is to draw the European countries into war.
“The only possible way to ensure that Germany rejects Russian energy supplies is to draw both sides into the military conflict in Ukraine. Our continued actions in this country will inevitably lead to a military response from Russia. Russia is clearly not going to leave to the massive Ukrainian army’s pressure on the Donetsk People’s Republic without a military response. This would make it possible to portray Russia as the aggressive party and then implement the entire package of sanctions, which has already been drawn up”.

Green parties will force Germany to “fall into the trap”​

The green parties in Europe are described as being particularly easy to manipulate into running the errands of American imperialism.
“The prerequisite for Germany to fall into this trap is the dominant role of green parties and European ideologies. The German environmental movement is a highly dogmatic, if not fanatical, movement, which makes it quite easy to get them to ignore economic arguments”, it writes, citing the current foreign minister of Germany, Annalena Baerbock, and the climate minister, Robert Habeck, as examples of this type of politician.
“Personal characteristics and lack of professionalism make it possible to assume that it is impossible for them to recognise their own mistakes in time. I will therefore be sufficient to rapidly form a media image of Putin’s aggressive war – and make the Greens into ardent and tough supporters of sanctions – a ‘war party’. This will make it possible to impose the sanctions without any obstacles”.
Baerbock is, i.a., well known for declaring that she will continue the suspension of Russian gas even during the winter – regardless of what her constituents think about the matter and the consequences for the German population.
– We will stand with Ukraine, and this means that the sanctions will stay, also in winter time – even if it gets really tough for politicians, she said at a conference in Prague recently.

“Ideally – a complete halt of supplies”​

The authors express a hope that the damage between Germany and Russia will be so great that it will make it impossible for the countries to re-establish normal relations later on.
“A reduction in Russian energy supplies – ideally, a complete halt of such supplies– would lead to disastrous outcomes for German industry. The need to divert significant amounts of Russian gas for winter heating will further exacerbate the shortages. Lockdowns in industrial enterprises would cause shortages of components and spare parts for manufacturing, a breakdown of logistics chains and, eventually, a domino effect”.
Ultimately, a total collapse of the economy in Europe is seen as both probable and desirable.
“Not only will it deliver a devastating blow to the German economy, the entire economy of the entire EU economy will inevitably collapse.”
It further points out that the benefits of US-based companies having less competition on the world market, logistical advantages and the outflow of capital from Europe, would mean that they would be able to contribute to the economy of the United States by an estimated 7-9 trillion dollars. In addition, it also emphasises the important effect of many well-educated and young Europeans being be forced to immigrate to the USA.

RAND denies originating the report​

RAND Corporation issued a press release on Wednesday denying that the report originates from them. No comments are made regarding what parts of the report are false or what is accurate, apart from simply writing that the content is “bizarre” and that the document is “fake
 
Hakuna India wana China inayoweza achilia mbali kuwa imefanya kweli kumpiga mkwara Russia! Yaani hata kama wakitaka (najua hawataki) uwezo huo hawana. Very Cheap propaganda!
China warns against meddling in Kazakhstan ahead of Putin meeting
It sounded like Xi Jinping was warning Putin against any adventures in Central Asia.

Russian-ally Kazakhstan has been shaken by the Kremlin’s invasion of Ukraine, while facing down saber-rattling from Russian nationalists angry at what they deem Kazakh disloyalty over the war.

After meeting President Kassym-Jomart Tokayev in Kazakhstan’s capital, Xi made it clear that Beijing would not tolerate any encroachments on Kazakhstan’s territory.

However the international situation changes, going forward we will also resolutely support Kazakhstan in the defense of its independence, sovereignty and territorial integrity; firmly support the reforms conducted by you to assure stability and development; [and] categorically come out against interference by any forces in the internal affairs of your country.”

Given that the most obvious potential threats to Kazakhstan’s territorial integrity emanate from its northern neighbor Russia, Xi’s words looked like a warning to Putin not to meddle in Central Asia, where Russia and China are the two major geopolitical players.

“Xi’s visit to Kazakhstan can be seen as a sign that Beijing sees Kazakhstan as a friend – and Russia should not do anything to hurt Beijing’s friend,” Mark Katz, a professor specializing in Russian foreign policy at George Mason University, told the South China.

Sasa Putin ajifanye kichwa ngumu aone kama hakunywa hiyo Gas na mafuta yake maana China Kwasasa ndio anayemuweka mjini
 
Nyaraka za SIRI Mashirika ya Kijasusi ya US CIA, NSA na DNC zimevuja na kuonesha mipango ya Hila za US zajulikana nia yake kushusha uchumi wa Ulaya na Amepandikiza chawa kwenye Serikali za Ulaya kama Chanselor wa Ujerumani ni chawa US na wengine

Killing EU as a competitor was the plan all along, to kill the EU economy you kill Germany, von der leyen, Harbeck, Scholz and Baerbock are the US quislings who have acheived this. All traitors to their country.View attachment 2359957View attachment 2359960View attachment 2359961View attachment 2359962View attachment 2359964View attachment 2359965View attachment 2359966

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukute tu urusi na us lao moja
 
Haihitaji msaada wa Mtu yoyote lakini wakati huohuo anashusha Bei ya Mafuta na Gas na kuomba China na India zimuunge mkono!!!!! Duuh! Hatari Sana[emoji38]!
Kushuka au kupanda kwa bei ni jambo linaloamriwa na kanuni za uchumi. Dd & Ss!!!

Do the math bro, bei kwa china inashuka wakati bei kwa ulaya inapanda shida iko wapi!? Bei ndogo ya china na india itafidiwa na bei kubwa ya ulaya. Akili tu mtu wangu!!!

Mpk utoe ushahidi wa kuwa Urusi ameiomba China na India zimuunge mkono 'kwenye SMO' haya yanabakia kuwa ni maneno yako tu yamechagizwa zaidi na tamaa zako za kutaka kuona urusi ikiomba. Wishful thinking!!!
 
Huyo china anajiandaa kuivamia taiwan. Leo ndege za china kibao tu tumesikia zimeingia anga la taiwan. Au unakubali taiwan sio nchi huru!? India na pakistan hawaelewani huko kashmir. India waseme hizi sio zama za vita wakati wao wameongeza matumizi wa jeshi lao sasa hv wako kwenye top tier.

Unaposema wanamshangaa unamaanisha nn!? Urusi narudia tena hahutaji msaada wa mtu yoyote yule ili op yake iendelee. Sio china sio india sio iran. Hao wote kwanza ndio wanamtegemea urusi kwenye mambo ya kijeshi.

Km unafkiri india na china wanaweza kuwa na say juu ya urusi ya putin, pole!

Tukiachana na ibada za kizalendo, Kwa lugha nyingine India anamwambia Urusi, wewe ni soko letu, ukipoteza tumepoteza, Kuwa mwangalifu na vita visivyo na maslahi katika zama hizi za uchumi kwanza.

India Exports to RussiaValueYear
Pharmaceutical products$417.03M2020
Electrical, electronic equipment$333.07M2020
Organic chemicals$233.28M2020
Machinery, nuclear reactors, boilers$231.48M2020
Iron and steel$130.78M2020
Coffee, tea, mate and spices$101.46M2020
Fish, crustaceans, molluscs, aquatics invertebrates$83.63M2020
Vehicles other than railway, tramway$83.39M2020
Miscellaneous chemical products$67.28M2020
Cereals$58.17M2020
Optical, photo, technical, medical apparatus$49.88M2020
Oil seed, oleagic fruits, grain, seed, fruits$42.52M2020
Articles of iron or steel$39.35M2020
Plastics$38.92M2020
Edible fruits, nuts, peel of citrus fruit, melons$38.46M2020
Meat and edible meat offal$38.22M2020
Miscellaneous edible preparations$37.67M2020
Rubbers$37.43M2020
Lac, gums, resins$36.67M2020
Tanning, dyeing extracts, tannins, derivatives, pigments$33.01M2020
Articles of apparel, not knit or crocheted$30.35M2020
Ceramic products$29.25M2020
Edible vegetables and certain roots and tubers$28.57M2020
Articles of apparel, knit or crocheted$27.18M2020
Inorganic chemicals, precious metal compound, isotope$24.58M2020
Vegetable, fruit, nut food preparations$19.70M2020
Tobacco and manufactures tobacco substitutes$19.10M2020
Footwear, gaiters and the like,$18.73M2020
Arms and ammunition, parts and accessories$18.19M2020
Tools, implements, cutlery of base metal$15.09M2020
Aircraft, spacecraft$13.24M2020
Articles of leather, animal gut, harness, travel good$12.35M2020
Stone, plaster, cement, asbestos, mica or similar materials$11.99M2020
Manmade filaments$11.93M2020
Manmade staple fibers$11.82M2020
Animal, vegetable fats and oils, cleavage products$11.00M2020
Other made textile articles, sets, worn clothing$10.55M2020
Essential oils, perfumes, cosmetics, toileteries$10.26M2020
Raw hides and skins (other than furskins) and leather$9.66M2020
Miscellanneous manufactured articles$8.96M2020
Carpets and other textile floor coverings$8.59M2020
Printed books, newspapers, pictures$8.56M2020
Soaps, lubricants, waxes, candles, modelling pastes$5.96M2020
Glass and glassware$5.59M2020
Pearls, precious stones, metals, coins$4.61M2020
Mineral fuels, oils, distillation products$4.46M2020
Dairy products, eggs, honey, edible products$3.87M2020
Base metals not specified elsewhere, cermets.$3.83M2020
Vegetable textile fibers not specified elsewhere, paper yarn, woven fabric$3.61M2020
Toys, games, sports requisites$3.46M2020
Miscellaneous articles of base metal$3.35M2020
Paper and paperboard, articles of pulp, paper and board$3.24M2020
Copper$3.19M2020
Wadding, felt, nonwovens, yarns, twine, cordage$2.96M2020
Furniture, lighting signs, prefabricated buildings$2.89M2020
Salt, sulphur, earth, stone, plaster, lime and cement$2.34M2020
Aluminum$2.29M2020
Meat, fish and seafood preparations$1.73M2020
Albuminoids, modified starches, glues, enzymes$1.65M2020
Cotton$1.36M2020
Bird skin, feathers, artificial flowers, human hair$1.33M2020
Wood and articles of wood, wood charcoal$1.03M2020
Impregnated, coated or laminated textile fabric$994.03K2020
Residues, wastes of food industry, animal fodder$837.11K2020
Cereal, flour, starch, milk preparations and products$734.30K2020
Railway, tramway locomotives, rolling stock, equipment$660.80K2020
Vegetable plaiting materials, vegetable products$269.79K2020
Sugars and sugar confectionery$250.34K2020
Musical instruments, parts and accessories$221.88K2020
Nickel$203.60K2020
Beverages, spirits and vinegar$183.70K2020
Headgear and$155.48K2020
Zinc$131.16K2020
Wool, animal hair, horsehair yarn and fabric$126.75K2020
Special woven or tufted fabric, lace, tapestry$119.82K2020
Live trees, plants, bulbs, roots, cut flowers$61.55K2020
Cocoa and cocoa preparations$53.43K2020
Products of animal origin$42.44K2020
Photographic or cinematographic goods$39.11K2020
Manufacturers of plaiting material, basketwork$31.38K2020
Milling products, malt, starches, inlin, wheat gluten$15.53K2020
Silk$10.76K2020
Clocks and watches$6.49K2020
Knitted or crocheted fabric$5.40K2020
Works of art, collectors' pieces and antiques$2.23K2020
Commodities not specified according to kind$1.70K2020
Ships, boats, and other floating structures$1.25K2020
Fertilizers$7092020
Ores slag and ash$24.30K2019
Cork and articles of cork$4.28K2019
Umbrellas, walking-sticks, seat-sticks, whips$7552019
Lead$6802019
Furskins and artificial fur, manufactures$20.32K2018
Tin$2152017
Live animals$1822016
Explosives, pyrotechnics, matches, pyrophorics$32.85K2014
Pulp of wood, fibrous cellulosic material, waste$13.79K2011
 
China warns against meddling in Kazakhstan ahead of Putin meeting
It sounded like Xi Jinping was warning Putin against any adventures in Central Asia.

Russian-ally Kazakhstan has been shaken by the Kremlin’s invasion of Ukraine, while facing down saber-rattling from Russian nationalists angry at what they deem Kazakh disloyalty over the war.

After meeting President Kassym-Jomart Tokayev in Kazakhstan’s capital, Xi made it clear that Beijing would not tolerate any encroachments on Kazakhstan’s territory.

However the international situation changes, going forward we will also resolutely support Kazakhstan in the defense of its independence, sovereignty and territorial integrity; firmly support the reforms conducted by you to assure stability and development; [and] categorically come out against interference by any forces in the internal affairs of your country.”

Given that the most obvious potential threats to Kazakhstan’s territorial integrity emanate from its northern neighbor Russia, Xi’s words looked like a warning to Putin not to meddle in Central Asia, where Russia and China are the two major geopolitical players.

“Xi’s visit to Kazakhstan can be seen as a sign that Beijing sees Kazakhstan as a friend – and Russia should not do anything to hurt Beijing’s friend,” Mark Katz, a professor specializing in Russian foreign policy at George Mason University, told the South China.

Sasa Putin ajifanye kichwa ngumu aone kama hakunywa hiyo Gas na mafuta yake maana China Kwasasa ndio anayemuweka mjini
Sorry man this is an overkill [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilipoona tu "it sounded like..." nikaacha kusoma hapo hapo

Ok, it sounded like...
 
Deadly STINGER Anti-Aircraft Missile seized by German police for sale on the black market.It came from Ukraine!​

WORLD HAL TURNER 17 SEPTEMBER 2022 HITS: 2587
Deadly STINGER Anti-Aircraft Missile Seized by German Police for Sale on black Market; came from Ukraine!

Police in Bremen, Germany have arrested at least one man in possession of a fully operational U.S. "Stinger" anti-aircraft system - originally sent to Ukraine as military aid - which ended up on the black market. This is one of the most deadly, accurate, and fully portable systems in the world!
A Stinger missile, fired from the shoulder of any single man, can hit and destroy an aircraft flying up to 15,000 feet, and up to five miles away!
It has been previously reported that an enormous amount of weapons being sent to Ukraine by the United States have been stolen by Ukrainians, and then offered for sale on the black market. In fact, it is now an open secret that only about thirty percent (30%) of the weapons sent, actually make it to the Ukraine military!
One such batch of weapons included U.S. "Stinger" shoulder-fired, anti-aircraft missile launchers.
The image above is the actual Stinger missile seized by German Police. It was fully operational and could have downed a plane. The man who had it, was selling it on the black market.

Hal Turner Remarks
Police in Germany have been ordered to keep quiet about this, due to the embarrassing situation for the US and NATO, that our own weapons are being stolen by Ukraine and sold on the black market.
They were also ordered to keep this quiet "so as not to cause public panic" that military-grade weapons systems are now being sold to anyone who has enough cash, inside Germany, where such systems might actually be used.
 
Back
Top Bottom