kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Binafsi nakushauri ujaribu kuficha huo upumbavu ulionaoMtu making,
Mtu makini, mwenye hekima, mwelewa na mstaarabu hawezi kujibu hoja kwa namna hiyo kwenye mijadala
Picha za hovyo wanazoleta akina green rajabu umewahi kuzikemea?..,umekalia tu kukosoa wale wenye mtazamo tofauti na wako..,huo ni upuuzi kama upuuzi mwingine..,acha upuuzi
Ungeonekana wa maana sana kama ungekosoa pande zote.., vinginevyo nitazidi kukuona mpuuzi tu
Kunya anye kuku,akinya Bata kaharisha
Acha upuuzi [emoji52][emoji52]