Hizo kupiga Ukraine ni upotevu wa rasilimali vita...Russia ana hypersonic missiles ujue[emoji38]
Halafu kuna pimbi atakuja kusema ni propaganda, mi mwenyewe nimepost kitu cha hivi humu tena Kwa kutumia link ya Washington post .JUST IN NI HATARI SANA VITA VYA KIUWENDAWAZIMU , VIDEO NIMESHAIONA ILA SIKU I SAVE KWA SIMU MAANA NILIONA UJINGA NA UWENDAWAZINU NA KUNIPOTEZEA MB TUU , NIMEONA HII INAFAA SCREENSHOT YA KB HATA 200 HAZIZIDI ,
SO WE LIKE AND LEAVE DON'T QUOTE OR REPLY , IF YOU NEED THE FULL PICTURE WEE GOOGLE HIYO. HEADING YA WAGNER AU CHEKI HUKO YOUTUBE KUNA EVIDENCE KAMA ZOTE WAKIWA MAGEREZANI...View attachment 2360706
Kwahiyo unafurahia Russia kufanya uhalifu wa kivita?!Russia akiyakamata magaidi ya Ukraine lazima akayang'oe kucha na kuminya kende na Adjustable [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91]View attachment 2360953
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Supapawa WA kupewa misaadaShahed-136 vs Bayraktar
The first photos of the consequences of the use of Shahed-136 Iranian kamikaze drones by Russian troops (localized as Geran UAVs) appeared on the Web A drone hit an enemy self-propelled gun.
View attachment 2360728
View attachment 2360729
View attachment 2360730
Ni takataka huyu kama takataka pro invaders zilizomo humuHuyu jamaa nilikua namheshimu Sana Ila nimekuja kugundua ni kilaza aliyeisha kazi, hapo ukimchallenge kidogo anakublock halafu analilia demokrasia
Tuwekeze hapa source inayoonyesha Putin alikiri Hilo , sio empty words hapaHii ya kutumia wafungwa na makundi ya kukodi mbona imesemwa na Putin mwenyewe!
Uvivu wako wa kutafuta na kusoma habari ndio unakupa shida.
Hivi wewe kwa aliki zako unaamini Russia kaishiwa wanajeshi?
Na kinachoshangaza zaidi Kuna jamaa mmoja anajiita " green rajabu" huyu kila saa analeta picha za kutia aibu ,huku akiwadhalilisha viongozi mbalimbali wa west.., lakini huwezi kuwaona wakikosoa upuuzi huuMachoko hawa , wanaoongoza kuto lugha za shombo mara Waite wenzao mashoga nk
Huna akili mmelazimishwa kukopa ? Au utaahira wenu na maidiots mnaowachagua wamefilisi nchi zenu zinazinuka Umasikini WA kutishaMazungu yanataka kutuletea ukoloni wa kfwalaa Dunia ya leoView attachment 2360921
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wanawazimu hawa watotoNa kinachoshangaza zaidi Kuna jamaa mmoja anajiita " green rajabu" huyu kila saa analeta picha za kutia aibu ,huku akiwadhalilisha viongozi mbalimbali wa west.., lakini huwezi kuwaona wakikosoa upuuzi huu
Wao wanatamani kuona yanayowapendeza wakati wote,
Ni udikteta wa namna... Si vibaya kama ufashisti kamili, isipokuwa kama wewe ni sehemu ya makundi yasiyotakiwa (kama Wakristo waliozaliwa kama Mwislamu, si Bahai, si Msunni anayesisitiza yeye ni Mwislamu sawa na Washia walio wengi, si kama wewe u Mwislamu katika tarika ya Kisufi, si kama wewe u mwanamke anayetaka kufanya kazi mojawapo iliyokataliwa kwako, au kutembea bila hijabu , au ukitaka kukutana tu na girlfriend au boyfriend katika mgahawa...). Ukia na ajira serikalini popote, unaangaliwa kama unasali wakati wa kazi na kama unashiriki katika maandamano yote yanayoamriwa unapotakiwa kuita kwa sauti "Mauti kwa Israeli, Mauti kwa Marekani"Nilikuwa sijui kama iran inaongozwa kidikteta
Hii elektroniki inaonekana imezeeka kidogo?Aiseee T-90M sasa mikononi mwa Ukraine
Ndiyo kuna sheria inayokataza. Kuna sheria ya kimataifa. Anayeua wafungwa wa vita au kuwatesa anatenda jinai. Tumwombee atashikwa baada ya vita na kupata anachostahili.Kwa nini wasiwalime Shaba za kwenye kisogo? Au kuna Sheria inayowakataza mateka kupigwa Shaba ? Mbona wanajeshi wa Russia wanaua wazee na watoto
Si bora hiyo mkuu 🤣🤣🤣🤣 katuma taarifa ya msiba wa Malikia baada ya kumkataza mwenzie yaani nimebaki nachekaJe, haya Mambo ya Armenians yanahusika na huu uzi? Maana hapo juu umetoka kumwambia mkuu Jesus Mlokozi , aache kuwa destructive kwa kuleta habari za European Union. Je, na wewe hufanyi destruction?
Sijui wewe unajua kivipi Nato inajua nini?Urusi anasajili wafungwa na makundi mengine kwa sababu anaepuka sana kutumia wanajeshi wake halisi,kwa sababu anajua inawezekana NATO wakaingia mzigoni,ndipo nae ataingiza askari kamili.
Hata silaha anazotimia anatumia kwa tahadhari hatumii zana zote muhimu,anajua baadae NATO wanaweza wakaingia mzigoni,hivyo anaweka akiba ya vita kamili na kubwa.
Ni akili TU.
Ila wasiojua wanaona kama kaishiwa askari.
Hata NATO wanajua lengo hilo la Urusi.
Huna akili , kama hujui vitu kaa kimya
Yaani vitu common kama hivi hujui halafu upo hapa kubishana upumbav .
Israel inaua Iranian nuclear scientists na officials almost kila mwaka , mwaka Jana Tu kuna Yule jamaa kauawa Iraq na agents WA Mossad tena kwa drone kabisa ,sijui unachobisha hapa ni nini , na wapuuz wenzako wamelike Huu upupu ulioandika hapa .
Empty heads .
View attachment 2360925View attachment 2360926View attachment 2360927View attachment 2360928View attachment 2360929View attachment 2360930View attachment 2360931
Halafu usipangie watu cha kuongea humu , kama panakukera gtf out of here !
Jamii forum si mali ya Baba yako
Keng£ wewe