Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2361004

Uyo mtoto bado ana mihemuko
Huwa vijana hawa wanatia kinyaa sana. Hajui hata historia na Geography ya dunia anakuja kubwabwaja tu.
Iran (Persia, Achaemenid, Median Empire, Lydia) Kama mtu huyo ni mkristo atakuwa hajui hata biblia. Ndanj ya biblia Iran imeongelewa sana.
Kuna wafalme:-

Darius, Ahasuerus nk.
 

Hivi mbona mnadanganywa sana?? Hivi unaichukulia Russia poa sana mdogo wangu. Katika tech Russia yuko mbali sana ya US na uzuri Russia anajitegemea kwenye tech zake kamuacha US mbali sana hasa za kivita.

Kama ana hizo program anasubir nini kuingia moscow??? Kwanini anakataza mataifa mengine yasitumie S-400 ya mrussi??

Kuna Warship ya US inaitwa USS donald cook tuliamininishwa ina aegis combating system za kisasa na walijitapa sana lakin ilizimwa na kitu kidogo tu hii ni electronic warfare “khibiny US anavyosema hataki direct war na Russia hatanii maana anajua hawezi kupumua Mrussi ni dude kubwa endeleeni kulishwa matangopori.[emoji23][emoji23][emoji23]



 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Neither Moscow nor Beijing are seeking to rule the world – unlike some other countries, Kremlin spokesman Dmitry Peskov has said.

“In implementing their bilateral relations, Russia and China do not lay claim to ruling the whole world,” he told Russia’s Rossiya 1 channel on Sunday. However, “we know that some other countries have this tendency,” he added.

Moscow and Beijing also have “absolute similarity” in their views regarding “all sorts of provocative actions” by the US, according to President Vladimir Putin’s spokesperson. He added that both countries consider Washington’s “destabilizing behavior” to be “unacceptable.”

Here’s the real reason that the US wants to sanction China

The remark comes shortly after Putin met with his Chinese counterpart Xi Jinping in Uzbekistan’s Samarkand as part of the Shanghai Cooperation Organization summit last week.

The Russian head of state said Moscow “highly appreciates China’s balanced position on the Ukraine crisis,” adding that the Kremlin “understands China’s concerns.”

President Xi, in turn, thanked Moscow for its stance on the issue of Taiwan – an apparent reference to Russia’s condemnation of US House of Representatives Speaker Nancy Pelosi’s visit to the island last month.

Unlike most Western countries, China has not imposed sanctions on Russia in response to its military operation in Ukraine, maintaining a good rapport with the Kremlin
 

Nipe evidence yako
 

Biden anakiwaona hawa WANAUME tumbo la kuhara lazima limshike
 
Taratibu naona pro Russia mnaanza kumsahau super pawer wenu wa mchongo

Sifa na utukufu zinaanza kumwendea Iran Sasa [emoji2][emoji2]
Tuendelee kummuunga mkono super pawer wetu urusi,bado anapambana,.., mambo ya Iran tuyaache kwanza,
 
Russia yupo mbali ya US lakini cha ajabu huo umbali wake hatuuoni kwenye uwanja wa Vita pale Ukraine tena Ukraine ikiwa na silaha za zamani toka Marekani.

Air defense systems za Russia zimeshindwa kabisa kuzuia vikombora dhaifu kama M31 za Himars. AGM 88 HARM zinabomoa Rada za Urusi mpaka kufanya ndege za Ukraine kuanza tena mashambulizi halafu Leo unatuambia Yuko mbali ya USA?! Seriously?!

Hiyo habari ya Donald cook ni fake news ambayo ilianzishwa na vyombo vya habari vya Urusi na Marekani ilisha itolea ufafanuzi! Hivi kama hiyo Khibiny inaweza kuzima Meli nzima kwanini isizime vikombora vya Ukraine,juzi hapa nilipost picha ya Su-30 imetunguliwa Kharkiv ikiwa na huo mfumo WA Khibiny ambao Ukraine waliondoka nao baadae,sasa kwann hiyo ndege haikuzuia hiyo ant aircraft missile Kwa kuijam?!

Moskva ilizamishwa Kwa Makombora ya Ukraine huo mfumo ulikua wapi kujam hayo Makombora?! Achana na propaganda za Urusi kubrand silaha zao kwenye TV na magwaride lkn zikija kwenye battlefield zinakalishwa,Israel kila siku inaingia na kutoka Syria kama chooni lakini air defenses za Urusi zipo tu!

Bayraktar drones zimelipua Mifumo ya Ulinzi ya Pantsir kuanzia Armenia, Syria,Libya,Ukraine...
 
Russia’s claims about harming the Donald Cook are false,” said Jorge Benitez, director of NATOSource and senior fellow at the Atlantic Council’s Brent Scowcroft Center on International Security. “The Russian fighter jet was unarmed and there is no evidence that it damaged the U.S. ship in any way.”

During the incident, a Russian Su-24 buzzed the USS Donald Cook within 300 meters for some 90 minutes. A video shot from the ship shows that the Russian aircraft had neither external weapons hanging under the wings or fuselage, nor any external pods essential to house the electronics that Vesti claims it used against the Cook.

The U.S. Navy also says there was no damage to the destroyer. In an email response to VOA's Polygraph.info website, the Navy wrote, that on April 12, 2014, a Russian SU-24 indeed “made numerous close-range and low altitude passes” over the USS Donald Cook in international waters in the Black Sea.

The Navy described the Russian action as “unsafe and unprofessional” adding that “the [the Russian] aircraft did not respond to multiple queries from the Donald Cook. The event ended without incident after approximately 90 minutes, and the ship continued without impact on its original tasking.”

Benitez believes that the Russian media produces false stories of this kind “to cover up the weaknesses of the Russian military.”

While the Russians failed to “intimidate the Donald Cook,” the expert said the incident was connected to Russia’s actions in Ukraine in 2014.

“The original lies about this non-existent electromagnetic wonder weapon appeared in 2014 during Russia’s attacks against Ukraine,” Benitez said. “The Donald Cook was the first U.S warship into the Black Sea after Russia’s illegal annexation of Crimea and Putin’s media seems to have wanted a story of acting tough against the presence of the American military so close to the crisis area. Thus, they fabricated this story of disabling the electronic systems of a U.S. warship.”

Stephen Blank, an analyst at the American Foreign Policy Council, said the story about the Russian “wonder weapon” is “a standard Russian propaganda trick to disseminate false articles” meant to “impress audiences with Russian military-technological might
 
Ukipenda kujifariji kwa kutuletea takwimu kutoka List of countries by GDP (nominal) - Wikipedia, sawa.
Ila jaribu kusoma jedwali inayoleta data kutoka vyanzo vitatu: IMF, UM, World Bank.
Ona hapa
Iran ni ajabu katika jedwali hii kwa sababu ni nchi ya pekee ambako data ziko tofauti kabisa. Kwa nini? Soma tanbihi chini, inasema IMF inatumia exchange rate iliyo rasmi Iran - lakini hii ni ndoto, pesa ya Iran iko duni mno ingawa serikali inajaribu kuificha na kutangaza tofauti. Ukitumia data za World Bank, Iran si nafasi ya 14 duniani, bali nafasi ya 55.
Sababu ni ule udikteta maalum katika Iran ambako upande moja serikali, upande mwingine taasisi zilizopo mkononi mwa akina Khamenei zinatawala sehemu kubwa ya uchumi.
Ile exchange rate ya ajabu (inayoopeleka Iran kwa na. 14) inawasaidia tu hao watu wachache (na marafiki wa kiongozi mkuu) wanaopata USDollar kwa bei nafuu maana unahitaji kibali. Wote wengine wananunua dollar kwenye soko huru ambako rate ni tofauti kabisa.
 
Imagine inakamata nafasi ya 14 kwa GDP despite kuandamwa kote huko miaka kenda rudi na vikwazo juu ya vikwazo. Lau kungekua na fair competition kwenye international sphere angekuwa wapi leo?

We need a multipolar world, tumechoshwa na hii hegemony ya Global north 🤔
 
....and superiority over the U.S.”

8 years later ilichosema USA tunakiona Ukraine jinsi silaha za Mrusi zinavyochakazwa kuanzia vifaru vya kisasa kama T-90M,drones,air defenses,nk.

https://www.google.com/amp/s/www.vo...een-as-sign-of-military-weakness/3834792.html
 

Russia bado hajafanya chochote Ukraine. Angalia Iraq, Libya, Somalia, yugoslavia then compare na Ukraine utakua umepata jibu. Ishu ya Donald ni fake news?? Upo dunia gani kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…