Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kaka Kwa upendo kabisa nakushauri tena achana na hiyo source yako inatulisha matango pori,tafuta nyingine.
Kupiansk IPO chini ya Ukraine na Ukraine wameendelea kusonga mbele sasa wanavuka Oskill river ili waanze mashambulizi kuelekea Lyman


Unaleta evidence ya tarehe 17 leo tuko 18 kuwa serious bhs
 

Kuua raia wasio na hatia? Na kumbuka US alikua na NATO hakua peke yake turudi Ukraine sasa anapewa silaha za kila aina na mataifa yote makubwa duniani. Niambia Iraq, somalia, Libya, Yugoslavia walisaidiwa na nani???
 
Sijaona hoja yenye mashiko hapo kwa akili zako unafikiri US atakubali sasa ngoja nikushushie evidences
Sawa! Bhas wabishie na hawa watengenezaji wa hiyo System. Wanakwambia kabisa mpaka 2015 ndege pekee iliyokua imefungwa huo mfumo ni Su-34,kwenye taarifa yako unadai Su-24 ilifanya shambulizi.
Hii taarifa ni ya 2015 wakati hilo tukio unalosema lilitokea 2014

KRET is offering its foreign partners an export version of Khibiny, the latest Russian-produced multifunctional missile system that protects aircraft against missile attacks from fighter jets and other anti-aircraft weapons.

Fighter jets with Khibiny onboard are invisible to the enemy, as the system creates a radio-electronic protective field around the aircraft, causing guided missiles to lose their target. This system is currently being installed on Su-34 bombers.

"In addition to products supplied as part of Russian combat aircraft and helicopters, our foreign partners have expressed a lot of interest in air- and land-based electronic warfare systems. KRET currently offers its foreign partners the Rychag, Krasukha, President-S, Rtut, and Moskva electronic warfare systems, as well as the modified export version of the Khibiny individual protection system,” said Igor Nasenkov, First Deputy CEO of KRET, as reported by RIA.

KRET already supplies products to more than 30 countries throughout the CIS, Latin America, Africa, and Asia-Pacific.

DefesaNet - Air - KRET is offering an export version of Khibiny

Akili za kuambiwa changanya na zako[emoji124]
 

USS donald cook ilizimwa na khibiny naona unajitahid kucopy na kupaste kutetea hoja yako lakin tambua huo ndo ukweli US hawezi kukubali tukio la aibu kama hilo ngoja nitulie nikupe evidences zangu sio zako hizo za kuokoteza[emoji23]
 
Kuua raia wasio na hatia? Na kumbuka US alikua na NATO hakua peke yake turudi Ukraine sasa anapewa silaha za kila aina na mataifa yote makubwa duniani. Niambia Iraq, somalia, Libya, Yugoslavia walisaidiwa na nani???
Kwani Urusi hapo Ukraine yupo Peke yake?! Hapo ana Chenchen, wapiganaji toka Syria,kasaidiwa silaha na Iran, North Korea,nk
 
USS donald cook ilizimwa na khibiny naona unajitahid kucopy na kupaste kutetea hoja yako lakin tambua huo ndo ukweli US hawezi kukubali tukio la aibu kama hilo ngoja nitulie nikupe evidences zangu sio zako hizo za kuokoteza[emoji23]
Hahaha Mimi nishamalizana na ww kwenye hii topic,nimekuachia ubishane na watengenezaji wa Khibiny wanaosema mpk 2015 ilikua imefungwa kwenye Su-34 halafu wewe mbongo unayelimwa tozo unabisha kwamba ilikua imefungwa kwenye Su-24

KRET is offering its foreign partners an export version of Khibiny, the latest Russian-produced multifunctional missile system that protects aircraft against missile attacks from fighter jets and other anti-aircraft weapons.

Fighter jets with Khibiny onboard are invisible to the enemy, as the system creates a radio-electronic protective field around the aircraft, causing guided missiles to lose their target. This system is currently being installed on Su-34 bombers.

DefesaNet - Air - KRET is offering an export version of Khibiny

KAZI KWAKO!!!!!
 
Swali zuri,,,,mie nsaidie jibu boss.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo bomba lazima lipitie Syria then Turkey hapo itakua rahis kwenda nchi nyingine za EU sasa hapo Syria inakua ngumu sababu ya Russia yuko pale. Hata ule mgogoro wa West na Assad ni kuhusu kupitisha hiyo pipe aliwagomea ndo wakataka kumtoa madarakani. Russia akaingi kumkingia kifua Assad mpaka leo yuko madarakani.

Option ilobak ni kulipitisha mediterannean sea ambapo ni ngumu. Syria ndo kila kitu pale kama Syria angekua ni kibaraka wao basi gas wangekua wanachukulia Qatar muda sana. Mpaka wanajenga Nord stream2 ni kutokana na kukosa option.
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Ukraine.
Inabidi waokoteze wanajeshi wao mbalimbali wanaofanya peacekeeping ili waende Frontline wakachinjwe...

The 250 Ukrainian troops with the UN peacekeeping mission in the Democratic Republic of Congo have returned home to help fight Russian forces.

Source: BBC News.
 
Kwani Urusi hapo Ukraine yupo Peke yake?! Hapo ana Chenchen, wapiganaji toka Syria,kasaidiwa silaha na Iran, North Korea,nk

Naomba evidence zinaonesha Russia kaomba silaha kwenye hizo nchi ulizotaja leo babu yenu amesema hawana evidence kama China anatoa silaha kwa Russia umefika stage unajua kuliko biden[emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]. Then hao chenchen si Russian federation’s leo ndo naskia kutoka kwako kuna wapiganaji kutoka Syria achana na Propaganda kijana. Hakuna West media ambayo inaisemea mazuri Russia hakuna hizo medias zote zipo under democratic ni full propaganda

“Western media wants you to believe in a lot of lies. Don't be a fool. Do some research before believing anything you read.
 
Haikamati nafasi ya 14. Nimeshaeleza juu, nafasi hii iko ukitumia exchange rate bandia ya serikali ya Iran. Menginevyo wako 55 (si vibaya, afadhali kuliko Bongo!)
 
Wasikilizeni [emoji2380]

[emoji736]US military support for the Ukraine will cross red line for the Russian who have the capability to destroy our satellites providing military intelligence for the Ukraine the escalation of this war.
[emoji3502]US is facing a peril unequaled since Cuban Missile crisis[emoji779]
[emoji845]New York time
 
hii habari ya mda mrefu labda kama wameenda wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…