Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya kipigo kuwa kikali wameona wageukie referendum,

Uzuri ni kwamba ukraine wanazidi kusonga mbele, mambo ya referendum anayazungumzia Putin na mafashist wenzake [emoji848]
Baada ya referendum hayo maeneo hayarudi kyve maana Russia atakuwa na uhalali wa kutumia RUNGU kuua nzi
 
The last kick of dying horse.[emoji237][emoji237][emoji237][emoji237]
 
Je hiyo ndo itawasaidia?
 
I am sure that good news awaits all of us soon, which will overcome the despondency of the great Kharkov retreat. And we will finally start to fight. And we will do this until the enemy is completely defeated and destroyed. It will be hard, a lot of time wasted, but we are Russians, which means God is with us! .
 
Turkey's President Recep Tayyip Erdogan told PBS that Vladimir Putin is willing to talk to Ukraine after Kyiv's lighting counteroffensive pushed Russians out of Kharkiv Oblast.

Erdogan said he "asked (Putin) to return Crimea to its rightful owners."
Mwisho watamgeuka wote
 
[emoji91][emoji91][emoji91]Citizens who left for territories controlled by Kyiv will not be able to vote in a referendum in the Kherson region, said Stremousov[emoji91][emoji91][emoji91]
Urusi anaihesabu Crimea kama sehemu ya nchi yake tangu 2014, lakini hiyo haijazuia Ukraine kuwatembezea kichapo [emoji2]
 


❗️People should be able to ‘decide their fates’ - Lavrov on referendums

Russia’s Foreign Minister Sergey Lavrov has commented on the recent announcements from the DPR, LPR, Kherson and potentially Zaporozhye regions to hold referendums on joining Russia.

“We have, from the beginning of the ‘Special Operation’ and before that, been saying that the peoples living in their regions should be able to decide their fates,” he said Tuesday.

“The ongoing situation confirms that they wish to take control of their fate.”
 
Je hiyo ndo itawasaidia?
Russia anataka kuescalate hii vita baada ya kuona ameshindwa kijeshi na Ukraine,nadhani anatafuta kisingizio cha kufanya mobilization.

Sidhani kama itawasaidia maana Nina hakika Russia akiingiza jeshi zima kwa kisingizio eti hayo maeneo ni sehemu ya Russia, Marekani na washirika wake hawatakubali wataipa Ukraine Makombora makali ya masafa marefu kama ATACMS na vita itachukua Sura mpya. Mpaka sasa Marekani bado inasapoti kwamba maeneo yaliyo ndani ya Ukraine ni target halali kwa majeshi ya Ukraine ikiwemo Crimea.

Ngoja tuone.
 
This is the day dreams.., awake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…