Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo referendum haibadilishi chochote.., binafs naona hii inatumika kama kichaka Cha kujificha kutokana na aibu wanayopata kutokana na hii counteroffensive inayoendelea,

Crimea imehesabika kama sehemu ya Russia tangu 2014.. lakini inachakazwa na hakuna kipya kimetokea
 
[emoji91][emoji91][emoji91]The administration of the Kherson region made a decision on the entry of the Kherson region into the Russian Federation - the head of the Regional State Administration Saldo[emoji91][emoji91][emoji91]

Hii mikoa haitaki kuwa chini ya Ukraine inataka kuwa RF hii ni habari njema sana sijui upande wa Ukraine hizi hbr wamezipokeaje.
 
BREAKING NEWS
Tomorrow, Sept 21, Russian Duma to Vote on MOBILIZATION

20 SEPTEMBER 2022
In a surprise move, it has just been announced that tomorrow, September 21, the Russian Duma (Their Congress) will consider, among other things, MOBILIZATION.

This item was added to the Duma agenda just a very short while ago, and is a very important item. If the DUMA votes to MOBILIZE Russia, it will be for war.
More details as I get them.
10:12 AM EDT

UPDATE 10:47 AM EDT --
The Russian Duma will also consider amendments to the Criminal Code of the Russian Federation on looting, and . . . . martial law . . .

UPDATE 10:51 AM EDT --
Russian President Vladimir Putin is holding a meeting with ALL of Russia's "Military-Industrial-Complex" in the Hall of Catherine the Great, inside the Kremlin.

MORE:
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov just dropped a verbal bombshell: "The time is coming hard, the war with NATO will be protracted. Billboards with the popularization of Suvorov and Nakhimov schools should replace the posters of the Pugachevs and Galkins. And jesters and minstrels will not be translated in Russia. Just do not make a cult out of them, and then they will become just entertainment, and not a tool for throwing yeast into the flour mass."
(HT REMARK: While I do not yet know the meaning of his later remarks about Jesters and Minstrels, I understand the first sentence perfectly. There is trouble of the worst kind coming.)
 
Volunteers of the DPR and LPR, when the republics become part of Russia, will become Russian military, said the head of the Duma Defense Committee Kartapolov

Russia kalamba biko na wale wanaosema kherson inarud wako wapi?? Tunawaambia daily achaneni na propaganda hawaelewi[emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373]
 
Wanazidi kuukubali mziki wa Ukraine mpaka wameona watafute plan B [emoji2]
 
Russia kalamba biko na wale wanaosema kherson inarud wako wapi?? Tunawaambia daily achaneni na propaganda hawaelewi[emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373]
Ya Donbass yanazidi kuwaelemea watayaweza ya kheson

Ukraine ni wazee wa kazi, wanazidi tu kusonga mbele,nyie mtajuana wenyewe,
 
Referendum haiwezi kuwaokoa na hii fedheha

Uzuri rais zelensiky ashaweka wazi, hakuna Cha mazungumzo Wala referendum..,ni mwendo wa kipigo mpaka dikiteta Putin na mafashist wenzake wafurushwe [emoji91][emoji91]
 
Russia kalamba biko na wale wanaosema kherson inarud wako wapi?? Tunawaambia daily achaneni na propaganda hawaelewi[emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373]
Kutoka opreshen, wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe hadi kuhitisha referendum kwa hofu ya nguvu ya Ukraine ni ushujaa then mkiitwa masala mado mnakasirika, mnaita mods wapige watu bans😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…