green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
NATO waoga sana wakiona jinsi mnyamwezi Putin anavyoshusha maghorofa kua magofu lazima wakane kujiingiza kwenye mgogoroKwa hiyo Russia wanadhani kichapo wanachokula sio toka kwa wanajeshi wa Ukraine?Hadi ahisi Kuna mamluki,Basi Kuna kitu Russia kimewakuta
wanajadili nini hawa kila siku mkutanoni au wanasuka mkeka mix option za gg 1XThe third round of negotiations may take place on March 5 or 6 - member of the Ukrainian delegation Podolyak
View attachment 2138687
Hajui mkuu anashangilia kwa kuruka ruka ili tuone Shanga zake kiunoniunajua maana ya warned samahani kidogo mie kiingereza sijui
Usingizi utakuja wakati kasha ambiwa watu wameandaa mafuta ya naziNimeangalia mazungumzo ya Rais wa Ukraine, nikiri wazi anaonekana halali, muda wote yuko na hofu kubwa san. Sasa inatosha wakae mezani, huwezi bishana na Urusi. Wafanye makubaliano maisha yaendelee.
Hao jamaa wanatembea na mafuta mgando kwenye sikio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni wamongolian watata balaa
NATO waoga sana wakiona jinsi mnyamwezi Putin anavyoshusha maghorofa kua magofu lazima wakane kujiingiza kwenye mgogoro View attachment 2138691View attachment 2138693
anasikilizia wapi kuna kelele nyingi akiona ni huku naye huyoo anaunga telaHajui mkuu anashangilia kwa kuruka ruka ili tuone Shanga zake kiunoni
elimu gani ? Ebu tuambie elimu ipi unaisemea !
Wapo tayari hata Russia warushe ICBM litue Nairobi ili wapewe kibali cha kwenda EuropeUnamaanisha Kenya inatamani kipigo hicho cha ukraine wangekuwa wao ili misaada na huruma za Ulaya i.e USA na NaTo ziwekwe kwao.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
ImbecileEmpty head
mi nimeuliza we naye umeuliza nijibu ndio nami nitakujibuUnahisi elimu ipi ?
Acha apate kipigo cha paka mla mboga na tutapiga Carpet bomb kumtoa kwenye mapango apelekwe Kremlin kuna Wachechen wanatembea na mafuta kwenye sikio wanamsubirHuwa namuonea Huruma Sana Yule Raisi tangu kuanza kwa Vita,sura take umejaa hofu,Huruma na mashaka...yaani Hadi imefanya niwe upande wake,huyu Putin angewaacha tu aisee
kila mmoja anaonesha msimamo kwa mwenzie. Hawa ilipaswa wafungiwe kama mahabusu hadi mmoja aiubali msimamo wa mwenzieIVI HIZI NEGOTIATIONS HAZIIISHI NA HAZIKO WAZI SANA! KWA NINI?
Yaani we upo Kinyangiri unafananisha akili yako na Jasusi wa KGBUwezo wa Putin umedhihirika ni mdg sana kiakili.wacha watu wamsaidie ku think
.Kifupi ni kubwa jinga
Marekani hasingiziwi ndilo taifa lililoongoza uvamizi wa nchi nyingi duniani...Marekani ni taifa la kinyama kabisa...ni taifa la kishetani...USA imevamia zaidi ya nchi 15 duniani na kuwaondoa viongozi...Panama, Irak, Chile, Haiti, Libya, Serbia na nchi nyingine kadhaa duniani...hata Syria Kama siyo Russia saa hizi Assad ingekuwa ni historia...Mimi nimesoma historia na politics za USA na nchi nyingine ambazo ni Industrial States duniani..na nimefika Marekani...kwa wasiojua watu wa asili wa Marekani ni Wahindi Wekundu...lakini waliuawa kwa mamilioni ...More than 20 million Red Indians died...ni genocide ya Aina yake...Wahindi Wekundu waliobaki huko Marekani hivi Sasa wanaishi kwenye maeneo yaliyotengwa Kama wanyama kwenye zoo...Wamarekani kwa Sasa huwa hawataki kabisa kuzungumzia issue ya Red Indians kwani kwao ni fedheha...USA Ina jela ya kutisha ya Guantamano iliyoko Cuba...democracy???!!! Stupid...suala la Ukraine walioharibu ni USA na mashoga zake wa ulaya...stupid guys...wanajacili Uhuru wa kutoa maoni lakini wao wenyewe ni washenzi na ambao wanafungia vyombo vyote vya habari vinavyotoa taarifa tofauti na za kwao kuhusu Ukraine.....Unaanza kuwasingizia tena Marekani Mkuu,rudi nyuma hapa kwa comments za pro Russia kabla ya vita utaona na source walikuwa wnaweka wao,sasa sijui na hao wameshiba propaganda za USA?
kila mmoja anaonesha msimamo kwa mwenzie. Hawa ilipaswa wafungiwe kama mahabusu hadi mmoja aiubali msimamo wa mwenzie
Wajinga sanaWapo tayari hata Russia warushe ICBM litue Nairobi ili wapewe kibali cha kwenda Europe
Mabomu hayana macho ya kuchagua huyu raia huyu beduiAcha ushabiki maandazi,zile Ni roho za watu sio mawe Yale kuwa na Utu.