Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanazidi kuukubali mziki wa Ukraine mpaka wameona watafute plan B [emoji2]
Ukraine hawana kitu, compared to Russia,labda ungesema US,NATO na Europe combined.Hata hivyo hiki wanacho-fanya Russia ni War strategy ya kawaida, katika vita.Russia walidhani kimakosa kwamba they were fighting Ukraine,kumbe they are fighting a more powerful enemy,US NATO and Europe combined,and hence the need to change their war strategy.
 
Kutoka opreshen, wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe hadi kuhitisha referendum kwa hofu ya nguvu ya Ukraine ni ushujaa then mkiitwa masala mado mnakasirika, mnaita mods wapige watu bans[emoji23][emoji23]

Mtu kaingia kwako kamgonga mke wako kaondoka na watoto bado umwita looser?? Na hayo ndo yalikua malengo ya Russia
 
Duh....mikoa hiyo ndiyoo basi tena kwani itakuwa sehemu ya Russia....kelele za kwamba sijui Russia ameshindwa Vita na Ukraine sijui Nini hazisaidii...Russia does not care about kelele za mashabiki wa Ukraine...yeye amechukua maeneo na Sasa yatakuwa Mali yake....West wanajua red lines za Russia na Russia nayo inajua red lines za west...Escalation ya Vita it's kuwa mbaya kwa dunia nzima na siyo Russia peke yake...there will be no winner.....miji mikubwa iwe ya west au Russia itaangamizwa...hata nyie humu pro NATO mlioko kinyerezi mtaguswa mkiwa kwenye key board zenu na kauli zenu za Super power wa mchongo, anapelekewa Moto na kadhalika...of course pro-Russia nao hawatakuwa salama...everyone will lose..
But the big question is: is the West ready and prepared to lose everything they have just to save Ukraine...Are they.ready kupoteza Kila kitu including civilization, riches, global leadership etc...Are they ready miji yao kuwa ashes ?! Na kwa Russia is it ready kupoteza Kila kitu?! I can guarantee you that Russia is ready and is damnly prepared for a nuclear showdown...Why?! Because it considers itself being cornered by the West...
But another question may be that who is calling the bluff in this crisis??...
Tutajua siku chache zijazo...
 
Crimea ilikuwa sehemu ya Russia since 2014.., lakini inachakazwa na hakuna kipya kimetokea
Kaa kwa kutulia,hiyo referendum ni kiinimacho tu Ili kuwazuga wajinga [emoji106]
 
You would imagine that after seeing the horrors of War,one wouldn't like to be engaged in war again!Aisee,nadhani jamaa wamegeuka kuwa Wanyama kabisa.
 
Scholz also decided to speak out about the referendums: "Russian 'fake' referendums in Ukraine 'cannot be accepted'." It is curious that in 2008 the situation with Kosovo did not cause such a reaction in anyone, and during the violent protests of Kosovo Serbs against the Albanians and the UN, a Ukrainian (!) peacekeeper was killed
 
Nasoma humu kuhusu comments za pro-NATO na Pro-Mabeberu kuhusu referendum iliyopangwa kufanyika kwenye baadhi ya Ukraine...kwa comments hizo ni wazi Ndugu zetu wapendwa wamechanganyikiwa...
Nyie ndo mmechanganyikiwa kwa kipigo anachopokea super pawer wa mchongo [emoji12]
Mpaka mnaamua kufanya kiinimacho cha referendum Ili kuwazuga wajinga

Sisi hapa tupo kuharibu faraja yenu tu.
.

Uzuri tumeshazawadiwa silaha za kutosha kutoka Russia..,mungu atupe nini Tena [emoji3059][emoji3059]
 
Wanazidi kuukubali mziki wa Ukraine mpaka wameona watafute plan B [emoji2]
Ndugu, hivi unajua kweli kinachoendelea huko Ukraine?!? Unadhani hiyo mobilization ni kwa ajili ya Ukraine?! Unadhani maana ya tangazo la referendums ni Nini?! Russia ipo tayari kwa Vita na NATO...it is WWIII...ni Vita kamili...Sasa huo ushabiki wa sijui muziki wa Ukraine sijui Nini dah....
 
Pole sana Ndugu...hujui kinachoendelea...endelea na mtizamo wako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…