Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Breaking N.....🔥🔥🔥🔥

Putin is expected to make a statement to the nation, along with Russian Defense minister Shoigu in 1 hour from now on.

Ukrainian telegram channels report that there’s panic amongst the government in Kiev, speculating that Putin will announce a major escalation to the conflict. According to online rumours (and nothing more than rumours), Kiev is afraid that the west will capitulate if Russia announces mobilization
 
Crimea ilijiunga na Russia lakini Marekani imeipa ruhusa Ukraine kuishambulia Kwa Makombora hivyo hata hizo referendum hazitazuia Ukraine kufanya mashambulizi kwenye maeneo zaidi hii vita itachukua Sura nyingine na sio ya kuisha Leo wala kesho sababu hakuna ambae anataka kurudi nyuma si Russia,Ukraine, Marekani,EU na washirika wengine wa NATO.

Zaidi tuupe muda nafasi tutajionea kitakachojiri.
 
tuliambiwa Ukraine is winning
 
Uzuri putin ukimuwazia X yeye anakupa Y.
Hotuba ya leo itazungumzia zaidi pensheni ya wapiganaji

Teh teh
 
Propaganda at work [emoji848]
 
IRAN HANA TECHNOLOGY NA NI MASKINI SANA
The operational command "South" of the Armed Forces of Ukraine reports on new cases of the use of Iranian kamikaze UAVs. Thus, drones hit infrastructure in the Nikopol district of the Dnipropetrovsk region, and infrastructure facilities in the city of Ochakov, Mykolaiv region, were also hit by new UAVs.
 
Mkiulizwa kwa nini Crimea ilikuwa sehemu ya Russia tangu 2014 lakini bado inapokea kichapo mnaishia kubwabwaja tu[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…