kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Itakuwa vema sanaTomorrow, at the meeting of the UN General Assembly in New York, Biden will allegedly present a proposal to exclude Russia from the UN.
Unajua urais ni taasisi.. Je, taasisi ya Kuu inayotawala Urusi nzima ndiyo inawaza hiki ulichokiandika hapa?.Mtu kaingia kwako kamgonga mke wako kaondoka na watoto bado umwita looser?? Na hayo ndo yalikua malengo ya Russia
Icho kitu akiwezi kutokea daima Russia tayari anapawa ya VETOTomorrow, at the meeting of the UN General Assembly in New York, Biden will allegedly present a proposal to exclude Russia from the UN.
Wengi watatoka hiyo UN itabaki Tanzania na USItakuwa vema sana
Yule fashsti dikiteta shetani wa urusi anatakiwa kutengwa na kila mpenda haki [emoji120]
Tunaichukua Donbass [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Mlibomoa bwawa juzi mkasema kyiv itajaa maji imeishia wapi na vipi ile miundombinu ya umeme na maji mlilipua mkasema Ukraine itakuwa giza na kukosa supply ya maji vip mmefanikiwa?
Nipeni link nione matangazo live ya hotuba ya Putin. Nilijua ni saa mbili kamili kumbe sio
Hahahaha Putin ni kichaa lakini hatothubutu kugusa satellite ya USA. Mark my words.Wapo tunaodhani ukitangaza mobilization ndio unaianza hiyo mobilization HAPANA. Mobilization inakua imeshafanyika kwa kiwango kikubwa kinachofanyika ni hamasa na ushirikishwaji imma zaidi.
Mara tu baada ya justification ya mobilization mzigo mkubwa utapelekwa front . Hapa SASA KAZI itaanza . Wanamgambo wachache majeshi ya Urusi mbele. Ndio muda huu satellite za USA zitoharibiwa .
pole sana kama US wenyewe wanalijua ilo kuwa ikitangazwa full war siyo US wala NATO zitakazo tia pua zao UkraineHahahaha Putin ni kichaa lakini hatothubutu kugusa satellite ya USA. Mark my words.