Nahisi watanzania wengi hawajui geopolitics, kwa speech aliyotoa PUTIN leo ni hatar kwani NATO na EU wakifanya kosa kidogo tu tayari Dunia nzima inaangia kwenye WW3, na Tanzania hatutabaki salama asa kwenye upande wa gharama ya maisha.
Kama umesikiliza speech vizuri, PUTIN anaandaa hii mobilization sio kwa UKRAIN tu bali na kwa nchi yotote itakayo hatarisha wanajeshi wa urusi watakao kuwa kwenye russian occupied territories uko UKRAIN.
Na watu wengi hawana huelewa na neno mobilization, kwenye vita mobilization sio wanajeshi tu (Human Resources) bali ni wanajeshi na silaha hatari zote zinaweka standby kwa matumizi muda wowote na saa yoyote.
Mobilization maana yake vitengo vya usalama na ulinzi vyote vinakuwa kwenye high alert [emoji599] kwa vita kamili pale reconnaissance survey kwenye uwanja wa vita ikionesha hali ni ngumu zaidi ya ilivyotegemewa basi nchi inatumia chchte kilichopo ikiwemo nukes.
Ni jambo la kuomba huu mgogoro usifike uko kwenye WW3, maana nukes za Russia au NATO basi hata Tanzania hatutabaki salama, maana Russia hatanii linapokuja kwnye swala la kushindwa vita yaani hatakubali itokee yeye kuonekana kashindwa vita na western countries au Ukrain, na akiona hali ni mbaya basi atataka tukose wote ikiwemo kutumia silaha yoyote ya maangamizi ikiwemo nuke na nyingne.Watanzania haya mambo sio ya kushabikia ni tishio for human extinction.