Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nahisi watanzania wengi hawajui geopolitics, kwa speech aliyotoa PUTIN leo ni hatar kwani NATO na EU wakifanya kosa kidogo tu tayari Dunia nzima inaangia kwenye WW3, na Tanzania hatutabaki salama asa kwenye upande wa gharama ya maisha.

Kama umesikiliza speech vizuri, PUTIN anaandaa hii mobilization sio kwa UKRAIN tu bali na kwa nchi yotote itakayo hatarisha wanajeshi wa urusi watakao kuwa kwenye russian occupied territories uko UKRAIN.

Na watu wengi hawana huelewa na neno mobilization, kwenye vita mobilization sio wanajeshi tu (Human Resources) bali ni wanajeshi na silaha hatari zote zinaweka standby kwa matumizi muda wowote na saa yoyote.

Mobilization maana yake vitengo vya usalama na ulinzi vyote vinakuwa kwenye high alert [emoji599] kwa vita kamili pale reconnaissance survey kwenye uwanja wa vita ikionesha hali ni ngumu zaidi ya ilivyotegemewa basi nchi inatumia chchte kilichopo ikiwemo nukes.

Ni jambo la kuomba huu mgogoro usifike uko kwenye WW3, maana nukes za Russia au NATO basi hata Tanzania hatutabaki salama, maana Russia hatanii linapokuja kwnye swala la kushindwa vita yaani hatakubali itokee yeye kuonekana kashindwa vita na western countries au Ukrain, na akiona hali ni mbaya basi atataka tukose wote ikiwemo kutumia silaha yoyote ya maangamizi ikiwemo nuke na nyingne.Watanzania haya mambo sio ya kushabikia ni tishio for human extinction.
Screenshot_20220921-140413_Twitter.jpg
 
The hand writings on Wall are clear.. Russia is no longer trustworthy with her allies.. Maduro has seen the signs that the one who is rallying to is useless and powerless.. How can a sensible person raly on Rusia?. Even Asad will japa from him.
This is what I have seen
russia atauza kupitia mgongo wa venezuela
 
[emoji2407][emoji1130]"A new order is beginning to take shape to replace the existing one and there is no doubt that it will be created

America is guided exclusively by its own interests to the detriment of the interests of other countries "

Iranian President at the 77th UN General Assembly...He is just stating facts...
Kama unasubiri new world order itakayoongozwa na Russia utasubiri Sana Kaka mpaka vitukuu vyako hawataiona. Kama alishindwa wakati wa USSR iliyokua na nguvu zaidi ndo ataweza kwa hii Russia ya Leo dhaifu!?. New order haiandikwi Kwa wingi wa silaha,Bali Uchumi na influence na kwenye hilo Russia kafeli atabaki kua chawa China,huoni hivi sasa mpaka majirani zake wanamkimbia Mfano mzuri ni Kazakhstan.
 
Nyie watu sijui mmelogwa au Putin kawapa nini. Hivi kwa akili yako unadhani nchi kama Marekani haijui Russia ana nini! Really? You have got to be crazy. The world is prepared na nakuhakikishia hakuna surprise yoyote ile. Kama unayo masikio utakuwa umesikia ONYO alilopewa, ASITHUBUTU!
Na ndo maana Marekani anakuwa na kiburi sana, kwani anajua kila kitu
 
🇫🇷
Emmanuel Macron declares that the European Union must put even more pressure on Putin to end this war.

🇺🇸
The White House declares that the Russians have violated all the basic rights of the United Nations, Biden also wants the war to end on "fair" terms.
 
Naona Rais wa marekani analalamika huko UN. Kipi kimemsibi!? Gear zote haziingii
Biden amebadilisha hotuba yake baada ya kusikiliza hotuba ya Putin.

Na azungumza kwa kuashiria kwamba Marekani inazingatia hotuba hio ya Putin.

Kisha azungumzia kuhusu nchi moja kutovamia nchi zingine bila kuzingatia kanuni za UN au UN charter!!

Najiuliza Marekani aliivamia Iraq na NATO wakaivamia Libya bila kufuata kanuni za UN?

Hapa najiuliza je, Biden asema hii ni historia mpya?
 
Karibu Mkuu. Tupo huku kitambo tunapigana vikumbo juu ya mambo ya wenye Tambo huko Ukraine na Magharibi kwa ujumla.

Kwa kuwa, na kuamini u mtu wa facts. Nakuomba ufafanue kauli yako juu ya Putin kwa mifano halisi. Hii itasaidia kuwekana sawa kwenye uzi huu. Ingawa najua lengo la uzi huu ni suala Zima la kinachoendelea Ukraine.
Kumbe na wewe upo huko, pole!
 
Russia releases 10 mercenaries captured in Ukraine through the mediation of the Crown Prince of Saudi Arabia. Among them are citizens of the United States, Great Britain, Sweden, Croatia and Morocco, Reuters reports citing a representative of Saudi Arabia.
 
Back
Top Bottom