Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Warusi hawataki kufa kwa upuuzi wa Mzee mmoja anayekaribia kufa[emoji23][emoji23][emoji23]

Trending in RU Google

How to leave Russia?
How to leave Russia during mobilization?
How to leave the country?
How to leave the country without any money?

Kama warusi wangekua wanaondoka kama tunavyoambiwa na hizo media kwasasa RUSSIA ingekua imeindokewa na watu wengi sana MKUU
Kama unakumbuka MSM wakat wa SVO inaanza walisema wananchi wanaikimbia RUSSIA ila baada ya muda wakawa kimya namaisha yaka na yanaendelea
Pia baada ya referandum na wakati wa hii SVO inaendelea RUSSIA itakua ama ishakua na rasilimali watu zakutosha tokea UKRAINE
Acc na MSM walitangaza kwamba watu 2.5 wameingia RUSSIA kama wakimbizi wakitokea UKRAINE
Sasa naomba tu upige hesabu za watu walioikimbia RUSSIA wakat wa SVO inaendelea na waliikufa kwenye mapigano tuseme 200k kama mnavyosema na hawa waliokimbia leo je wanafikia watu 2.5 ambao RUSSIA imewavuna kutokea huko UKRAINE ambao watareplace nafas zahao walio kimbia nchi kama mnavyosema
Mwisho:-RUSSIA hakukurupuka na hii SVO alijipanga na alipiga mahesabu mengi sana MKUU tena kama haya yahao watu kukimbia mahesabu mepesi sana hata wewe ukiacha mahaba ukaongea fact unaweza kuyapiga MKUU
Acha tuupe muda nafas yake walau mpaka referandum ipite hem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwendo wa kipigo tu [emoji848][emoji57]
1663764705658.jpg
 
Swali ambalo najiuliza,akishaleta na hao 300k wa ziada wakichapwa atakuja na kisingizio gani?!

Huyu Babu anaweza rusha nukes akatuletea balaa kwa upuuzi wake
Hatatumia Nuke
Ila kama akiamua kuna ubaya gani kama atakua analinda usalama wa taifa lake MKUU
Kwanza yeye hatakua wakwanza kutumia kama atatumia
Mwisho usalama wa taifa unalindwa kwa gharama kubwa sana ikibidi wengi wafe ili taifa liwe salama basi hamna namna mtakufa tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635] What will Russia get after the referendum?

[emoji3503]Russia will add 5 to 6 million new citizens.

[emoji3503]In the future, when refugees begin to return, the total population of the new regions may grow to 8-9 million people.

The area of the liberated territories where the referendums will be held is about 113,000 square kilometers.

[emoji3503]In terms of area, this is larger than Bulgaria, Cuba or South Korea.

[emoji3503]The population is larger than Belgium, Belarus, Israel or Austria.
@Pietro unaona watu wanavyopigana kwa mahesabu MKUU
Katika hio koment yangu ya juu nilisahau kuwataja watu watakao patikana hapo baada ya referendum
MKUU kwahili la watu kuikimbia RUSSIA nakuhakikishia hawatafika watu 500k na kama watafika basi wao watavuna wengi zaidi kuliko hao watakaosepa
Bado RUSSIA anakamatia mpini hapa MKUU ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji298][emoji298][emoji298]Sergey Markov: All mobilization agendas have already been delivered to all 300,000 today. They must report to military registration and enlistment offices tomorrow morning from 5:00 to 7:00 a.m[emoji298][emoji298][emoji298]
Ngojea nisubirie huo muitikio hapo kesho tuone itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unasubiri new world order itakayoongozwa na Russia utasubiri Sana Kaka mpaka vitukuu vyako hawataiona. Kama alishindwa wakati wa USSR iliyokua na nguvu zaidi ndo ataweza kwa hii Russia ya Leo dhaifu!?. New order haiandikwi Kwa wingi wa silaha,Bali Uchumi na influence na kwenye hilo Russia kafeli atabaki kua chawa China,huoni hivi sasa mpaka majirani zake wanamkimbia Mfano mzuri ni Kazakhstan.
Unaongozwa sana na mihemko MKUU hakuna sehem watu wametaka kuongozwa na RUSSIA ama UCHINA
Na hata wenyewe jana juzi walisema kuhusu hili
Hapa watu wanalolitaka nikwamba Multipolar ikamate nafas yake
Na kwenye hili limeonesha kwenda kufanikiwa kwa %kubwa sana
Fatilia western walivyotaka RUSSIA aekewe vikwazo mataifa mangapi yalimuekea
Kama hamuoni viashiria vya oder mpya poleni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ulikuwa ni kudiscuss yanaotokea ukraine, historia yao, vita, vifaa, geopolitics, uchumi and more. Hapa tunaleta ushabiki wa kipumbavu mpaka unaboa. Vita hakusaidi lolote wewe mtu mweusi wa mbweni wala tabata. Hapa tunajifunza nini, je nchi yetu ipo wap, kipi tunaweza kuiga. Kwakweli, watu weusi ni watu wa hovyo mnoo
 
Putin alikuwa ni Jasusi wa KGB na sio mwanajeshi.Waliotakiwa kupanga mikakati ya kivita ni majenerali wake na sio yeye.Yeye amekuwa mtu wa kulazimisha mambo na sio kufuata ushauri wa wanajeshi.Matokeo yake imetokea wanajeshi wake wengi kufa wakiwemo na hao majenerali.Hata hili la kuita reservists nalo atapigwa za uso[emoji848]
Pole MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama warusi wangekua wanaondoka kama tunavyoambiwa na hizo media kwasasa RUSSIA ingekua imeindokewa na watu wengi sana MKUU
Kama unakumbuka MSM wakat wa SVO inaanza walisema wananchi wanaikimbia RUSSIA ila baada ya muda wakawa kimya namaisha yaka na yanaendelea
Pia baada ya referandum na wakati wa hii SVO inaendelea RUSSIA itakua ama ishakua na rasilimali watu zakutosha tokea UKRAINE
Acc na MSM walitangaza kwamba watu 2.5 wameingia RUSSIA kama wakimbizi wakitokea UKRAINE
Sasa naomba tu upige hesabu za watu walioikimbia RUSSIA wakat wa SVO inaendelea na waliikufa kwenye mapigano tuseme 200k kama mnavyosema na hawa waliokimbia leo je wanafikia watu 2.5 ambao RUSSIA imewavuna kutokea huko UKRAINE ambao watareplace nafas zahao walio kimbia nchi kama mnavyosema
Mwisho:-RUSSIA hakukurupuka na hii SVO alijipanga na alipiga mahesabu mengi sana MKUU tena kama haya yahao watu kukimbia mahesabu mepesi sana hata wewe ukiacha mahaba ukaongea fact unaweza kuyapiga MKUU
Acha tuupe muda nafas yake walau mpaka referandum ipite hem

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongezea baada ya referundum ukivamia hiyo miji utakuwa umeivamia Russia hapi ndio ukraine na western wamepagawa.
 
Back
Top Bottom