Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpo kwenye dunia ya peke yenu kweli kweli,sijui na ninyi ni cocaine pushers Kama Zelensky!Yaani hivyo vieneo kiduchu Ukraine walivyorudisha,tena Warusi wameviachia as a war strategy, ndivyo vimewatia kichaa mtadhani na ninyi mpo kwenye front line.Zelensky asubiri,vita kamili,vita ilikuwa bado,sasa wababe wanakuja.
Duu ameacha silaha na vifaru latest kama T90 as war strategy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
IMG_20220921_162759_512.jpg

"Putin's speech is an escalation"

Russia will not be able to win in a nuclear conflict — NATO Secretary General

Russian troops are poorly equipped, they lack proper command and control

Putin miscalculated regarding Ukraine, he made a big mistake-Jens Stoltenberg
 
Mkuu niwe nalo ama nisiwe nalo hiyo haikuwa hoja ya msingi. Nafkiri umefuatilia tangu huko nyuma na unaijua hoja ya msingi ni ipi.

Labda na wewe umsaidie. Amejuaje kuwa op inavyoenda hivi sio according to plan km ilivyosemwa!?
Putin: We lost nothing, everything is going according to plan

Also Putin: partial mobilization [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama umemsikiliza vizuri Mwamba Putin, utagundua kwamba amechufukwa.

Kwanza kuna kura za maoni zinapigwa kwenye maeneo waliyochukua wiki hii, mobilisation inamaana kwamba Ukraine atakapozigusa maeneo hayo kwa namna yoyote ile atakua amevamia mipaka ya Urusi, ili kujihakikishia usalama wake, Putin anatarajia kuwapeleka wanajeshi zaidi ya laki tatu kulinda hayo maeneo.

Putin kwa mara ya kwanza ameongea kwa ukali na amedhamiria kuifanya Ulaya na Marekani jambo lolote kwa sasa. Ukisikiliza mashoga wameufyata badala ya kumfata Putin uwanja wa vita kama walivyotaka, wamekimbilia UN eti kuomba UN iitenge Urusi, jambo ambalo haliwezekani na hata likifanyika, Urusi itakuwa na uhuru zaidi ya kugawa dozi bila kumsikiliza mtu yeyote. Kumbuka Guteres anaendelea kuwasiliana na Putin kwa ukaribu mkubwa kwasababu UN na hao mashoga wanajua uwezo wa Urusi.

Jambo la pili ni mashoga kukimbilia kusema hawatayatambua majimbo yatatayo jitenga na Ukraine.

Mobilisation hivyo ina maana kwa muktadha wa sasa, Urusi itakuwa na uwezo mkubwa wa wanajeshi walioko tayari na mafunzo kwa kazi iliyoko mbele yetu.

Nuke inaweza kutumika muda wowote endapo NATO na West wakileta fyongo.

Kiuchumi, Urusi inaua bara la Ulaya pia kwa sasa wako hoi.
Hebu soma hii habari🤔
.........
In Britain the Defence Secretary Ben Wallace said that Mr Putin's announcement was "an admission that his invasion is failing". "He and his defence minister have sent tens of thousands of their own citizens to their deaths, ill-equipped and badly led. No amount of threats and propaganda can hide the fact that Ukraine is winning this war, the international community are united and Russia is becoming a global pariah
Source:Skynews
 
Mpo kwenye dunia ya peke yenu kweli kweli,sijui na ninyi ni cocaine pushers Kama Zelensky!Yaani hivyo vieneo kiduchu Ukraine walivyorudisha,tena Warusi wameviachia as a war strategy, ndivyo vimewatia kichaa mtadhani na ninyi mpo kwenye front line.Zelensky asubiri,vita kamili,vita ilikuwa bado,sasa wababe wanakuja.
Zelensiky angekuwa mvuta bangi asingemfanya Putin akaishi kwa kujificha kwenye mahandaki kama nguchiro
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1663764484670.jpg
 
Ukraine wameshambulia kinu cha Nuklia ajabu Gazeti la Australia la leo limeripoti uwongo limegeuza kua Urusi imeshambua mtambo wa

Nuke [emoji779]️Ukraine Shells Zaporozhye Nuclear Power Plant

According to local authorities, the plant’s cooling system has been damaged.

Photos from Izvestia.

Subscribe to RT
IMG_20220921_163750_743.jpg
IMG_20220921_163158_726.jpg
IMG_20220921_163148_774.jpg
IMG_20220921_163211_513.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Uh
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Uragan MLRS strikes Ukrainian army positions with 220mm missiles

The Russian Defense Ministry has published footage of “Hurricane” multiple rocket launcher systems performing combat tasks.

The system utilizes 220mm missiles and is targeting Ukrainian army positions.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2363701
"Putin's speech is an escalation"

Russia will not be able to win in a nuclear conflict — NATO Secretary General

Russian troops are poorly equipped, they lack proper command and control

Putin miscalculated regarding Ukraine, he made a big mistake-Jens Stoltenberg
Amechachawa!

Amejua kabisa kwa kinachoendelea Russia yupo tayari kwa lolote na kazi imebaki kwao kufanya maamuzi.
 
Wakati Warusi wa Mchongo toka Buza wakishabikia tangazo la Putin kuhusu partial mobilization,Hivi ndivyo Warusi halisi toka Moscow walivyopokea hilo Tangazo🤔
.......
How has the announcement been received in Russia?

Shortly after the address Russian media reported a big rise in demand for flights out of the country, despite the very high price of tickets.

Dmitry Oreshkin, a Russian political analyst, said that the announcement smacked of "an act of desperation". He predicted Russians will resist the mobilisation through "passive sabotage".

"People will evade this mobilization in every possible way, bribe their way out of this mobilization, leave the country," Mr Oreshkin told the Associated Press. He said the announcement will not go down well with the public and described it as "a huge personal blow to Russian citizens, who until recently (took part in the hostilities) with pleasure, sitting on their couches, (watching) TV. And now the war has come into their home."

The Vesna opposition movement called for nationwide protests on Wednesday. It said: "Thousands of Russian men - our fathers, brothers and husbands - will be thrown into the meat grinder of the war. What will they be dying for? What will mothers and children be crying for?"

It was unclear how many would dare to protest in the face of Russia's suppression of opposition and its harsh laws against discrediting soldiers and what it calls a "special military operation".
Source:Sky news
 
[emoji635] What will Russia get after the referendum?

[emoji3503]Russia will add 5 to 6 million new citizens.

[emoji3503]In the future, when refugees begin to return, the total population of the new regions may grow to 8-9 million people.

The area of the liberated territories where the referendums will be held is about 113,000 square kilometers.

[emoji3503]In terms of area, this is larger than Bulgaria, Cuba or South Korea.

[emoji3503]The population is larger than Belgium, Belarus, Israel or Austria.
 
Itakua imejimilikisha the biggest sources of nuclear power in Europe, lazima Ukuraini industrial power iwe dependant on Russian mercy.
 
Partial mobilization.. Kwa tafsiri rahisi kabisa ni kwamba baada ya kuteka na kuyadhibiti maeneo waliyayataka na yamepiga kura kujiunga na Urusi inabidi nchi iongeze human resources na material kulinda maeneo husika. Mnaotafsiri hii kama kufeli kwa operation nadhani mmeelewa vibaya
 
Back
Top Bottom