Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Pole kijana ukikua utabishana na watu kwa hoja na uelewa wamaswali na majibuSwali la kijinga Sana so ulitaka wapambane na mikuki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kijana ukikua utabishana na watu kwa hoja na uelewa wamaswali na majibuSwali la kijinga Sana so ulitaka wapambane na mikuki?
Kwan majeshi ya RUSSIA yameondoka kwenye hio SVO hapo UKRAINE kama walivyofanya NATO kule AFGHANISTANKwa muktadha huu bhas Kwa sasa tunahitimisha kwamba SMO imefeli.
We jamaa kwa mihemko ni next level! Ni wapi na lini Putin alitaka wanajeshi wa ukraine wamng'oe raisi wao!? Source!?Naaminije anachosema Putin wakati mambo Kwa front ni tofauti?! Huyuhuyu Putin aliyetaka wanajeshi wa Ukraine wamng'oe Rais wao kwamba ni mnazi,haha!
Swali linarudi palepale,kama hii special operation inaenda vizuri Partial mobilization ni ya kazi gani?!
Akili za kuambiwa changanya na zako achana na fix za Putin
Source dah,ya mashaka sana.Anapasuliwa mtu huko[emoji1787][emoji1787]View attachment 2363664
Referendum haijaleta mabadiliko yoyote. , vijana wa zelensiky wanazidi kumtembezea kichapo tu [emoji848]Source dah,ya mashaka sana.
Hahaha kumbe ulikua hujui kama Babu yako Putin alitaka wanajeshi wa Ukraine waung'oe utawala za ZelenksyWe jamaa kwa mihemko ni next level! Ni wapi na lini Putin alitaka wanajeshi wa ukraine wamng'oe raisi wao!? Source!?
Umeona ulivyo na mihemko
Hilo swali lako ni vague na irrelevant. Hakuna uhusiano wowote wa Operation kwenda mrama na mobilization. Nilikuuliza hukujibu kwa sababu sijui hukuelewa. Ni kwa vipi mobilization inatatua tatizo la operation kwenda south!? Yaani operation ikifeli ndio solution yake ni mobilization!? How!?
Kubali tu mkuu unaforce
Kuna pahali pa kuchanganya na zako. Sio kila unachoambiwa uchanganye na chako. Huo utakuwa ni ujuaji na utakugharimu siku moja. Ukienda hospitali ukaambiwa unaumwa malaria unywe amoxilin inabidi ufate kama ulivyoambiwa. Ukijidai kuchanganya na zako mwisho wake hautakuwa mzuri.
Eti Putin ana Fix wewe ndio mkweli [emoji1787].
Hivi unaelewa lakini maana ya kuichukua mikoa hiyo aliyochuka Urusi?.Tuseme Kenya kaichukua Mwanza,Shinyanga na Tabora kwa mfano.Wewe kwa akili zako utataka Kenya iendelee kutumia wanajeshi waliokuwa idadi sawa na eneo la Kenya tu kutumika tena kwenye mikoa iliyongezeka?.Jibu ni hapana,mikoa mipya ni lazima ipate wanajeshi wapya ili nguvu ya jeshi kubalansi.Kumbe wamekaribia mwisho. Igizo la "spesho opereshoni" - hakuna anyeamini. Askari - hawana wa kutosha.
Wanahitaji maelezo mazuri wakitaka kulazimisha wananchi kushiriki vitani na kuchunua wanaume kuwa wanajeshi (maana hadi sasa walitangaza kiynume).
Kumbe wanaanda kura bandia kuhusu Donabas na Kherson - watatangaza maeneo kuwa sehemu ya Urusi - watatangaza Urusi huo unashambuliwa - wameshapata sababu ya kulazimisha wanaume kuwa askari
Ila: Nani ataamini???
Mobilization ina moral legal and material meaning. Kuhalalusha vita na matumizi ya raslimali kwa namna ya dharura . Kupata uungwaji mkono kutoka public ya Russia na Kwingineko . Kudhibiti wenye mawazo tofauti kwa mujibu wa sheriaMobilization inafanyika baada ya kutangazwa kwa referendum. Thats is to say Russia wanategemea lolote linaweza kutokea during or after referendums. Staying ready so that you won't have to get ready! Strategy.
Hiyo mikoa ikipiga kura kurudi urusi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Ukraine. They can do anything out of pain. Zaporozhie, lpr, dpr, kherson. Ndio maana urusi anajiandaa kbs.
Unaweza kunipa shule labda kwa uelewa wako wa haya mambo how is Mobilization solves the problem of operation going South!?
Mheshimiwa triga vipi una la kupinga hapa?Hahaha kumbe ulikua hujui kama Babu yako Putin alitaka wanajeshi wa Ukraine waung'oe utawala za Zelenksy
Russian President Vladimir Putin on Friday called on the Ukrainian army to overthrow the government whose leaders he described as "terrorists" and "a gang of drug addicts and neo-Nazis."
Putin also accused "Ukrainian nationalists" of deploying heavy weapons in residential areas of major cities to provoke the Russian military, a claim that could fuel fears Moscow is creating pretexts for justifying civilian casualties.
In a televised address, he urged the Ukrainian military to "take power in your own hands."
"It seems like it will be easier for us to agree with you than this gang of drug addicts and neo-Nazis," he said, referring to the leadership in Kyiv under President Volodymyr Zelensky, who is Jewish.
Putin Calls for Ukraine Army to Overthrow Zelensky - The Moscow Times
Source: THE MOSCOW TIMES
Mpaka hapo Kati ya Mimi na wewe unayelishwa propaganda na Putin nani anafosi?!
hio ndio KEY🇧[emoji1096]🇺[emoji1255]Referring to Putin's speech about partial mobilisation, Belgian Prime Minister Alexander De Croo urges EU countries to remain calm and not add fuel to the fire, says we must not provoke (Russia).
Atasema ni Propaganda. Na akibisha ntamletea na video ya Babu PutinMheshimiwa triga vipi una la kupinga hapa?
Swali ambalo najiuliza,akishaleta na hao 300k wa ziada wakichapwa atakuja na kisingizio gani?!Russia imeongeza mikataba ya wapiganaji mpaka mwisho wa partial mobilization. Kwahiyo wale wapiganaji waliokuwa wanasubiri kwa hamu contracts zao ziishe itabidi wasubiri automatically mpaka mobilization iishe na haijulikani ni lini. Kazi wanayo, na huwezi pata morali hapa
Mpo kwenye dunia ya peke yenu kweli kweli,sijui na ninyi ni cocaine pushers Kama Zelensky!Yaani hivyo vieneo kiduchu Ukraine walivyorudisha,tena Warusi wameviachia as a war strategy, ndivyo vimewatia kichaa mtadhani na ninyi mpo kwenye front line.Zelensky asubiri,vita kamili,vita ilikuwa bado,sasa wababe wanakuja.Referendum haijaleta mabadiliko yoyote. , vijana wa zelensiky wanazidi kumtembezea kichapo tu [emoji848]
“Do not allow neo-Nazis and Banderites to use your children, your wives and the elderly as a human shield. Take power into your own hands. It seems that it will be easier for us to come to an agreement than with this gang of drug addicts and neo-Nazis.”Hahaha kumbe ulikua hujui kama Babu yako Putin alitaka wanajeshi wa Ukraine waung'oe utawala za Zelenksy
Russian President Vladimir Putin on Friday called on the Ukrainian army to overthrow the government whose leaders he described as "terrorists" and "a gang of drug addicts and neo-Nazis."
Putin also accused "Ukrainian nationalists" of deploying heavy weapons in residential areas of major cities to provoke the Russian military, a claim that could fuel fears Moscow is creating pretexts for justifying civilian casualties.
In a televised address, he urged the Ukrainian military to "take power in your own hands."
"It seems like it will be easier for us to agree with you than this gang of drug addicts and neo-Nazis," he said, referring to the leadership in Kyiv under President Volodymyr Zelensky, who is Jewish.
Putin Calls for Ukraine Army to Overthrow Zelensky - The Moscow Times
Source: THE MOSCOW TIMES
Mpaka hapo Kati ya Mimi na wewe unayelishwa propaganda na Putin nani anafosi?!