Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu ni kwa ufahamisho tu kwa wale wanaoshangaa Marekani kuisidia Ukraine...

Wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia Wajerumani chini ya Fuhrer Adolf Hitler aliyekuwa na wazo la kuitawala dunia, waliivamia Urusi mwezi June, 1941 kwa lengo la kuiteka kama Urusi inavyofanya sasa huko Ukraine.

Waamerika hawakukaa kimya baada ya kuona Urusi ikiivamiwa na hivyo mwezi December, 1941 waliamua kuisaidia Urusi kwa kupeleka silaha na vifaa vya kivita kuisaidia Urusi kama inavyofanya hivi sasa katika kuisaidia Ukraine.

Marekani si kama baadhi yenu msiojua historia mnavyodhani. Marekani ni nchi ya dunia yote na tunachoshuhudia hapa hi historia ikijirudia. Wana JF wenzangu, Urusi kama ilivyo haijawahi kutoa msaada kama huo kwa Wamarekani.

Hii ni changamoto tu kwenu ambao kwa bahati mbaya historia iliwapita kushoto.
Kwa namna ile ile Hilter aliivamia Urusi ndivyo Putin alivyoivamia Ukraine.
 
Tuliwaambia mkubwa mkubwa tu Bwana Utam uko wapi?!

Russian media: Armenia, Vietnam and Kazakhstan suspend use of Russian Mir cards.

Vietnam and Kazakhstan have suspended transactions through the Russian payment system Mir, according to Russian state-controlled media Izvestia.

Armenian banks also stopped accepting Russia's Mir cards and suspended money withdrawals for their holders, Ukrainska Pravda reported on Sept. 20.
 
Huu ni kwa ufahamisho tu kwa wale wanaoshangaa Marekani kuisidia Ukraine...

Wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia Wajerumani chini ya Fuhrer Adolf Hitler aliyekuwa na wazo la kuitawala dunia, waliivamia Urusi mwezi June, 1941 kwa lengo la kuiteka kama Urusi inavyofanya sasa huko Ukraine.

Waamerika hawakukaa kimya baada ya kuona Urusi ikiivamiwa na hivyo waliamua kuisaidia Urusi na hivyo kupeleka silaha na vifaa vya vita kuisaidia Urusi kama inavyofanya hivi sasa katika kuisaidia Ukraine mwezi December, 1941.

Marekani si kama baadhi yenu msiojua historia mnavyodhani. Marekani ni nchi ya dunia yote na tunachoshuhudia hapa hi historia ikijirudia. Wana JF wenzangu, Urusi kama ilivyo haijawahi kutoa msaada kama huo kwa Wamarekani.

Hini changamoto tu kwenu ambao kwa bahati mbaya historia iliwapita kushoto.
Usifananishe SMO na mambo ya kijinga ya Hitler.
 
Based on Kadyrov’s report, it’s pretty clear that Putin will announce a major escalation of Russian Armed Forces engagement in Ukraine. After all, Erdogan was right when he said after meeting with Putin that Putin is looking to finish the war ASAP. Kadyrov suggests unprecedented display of power by Russian Armed Forces starting tomorrow (presumably tomorrow)

t.me/asbmil
 
Hakuna anayetaka kufa Kwa ujinga wa Mtu mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ Reuters: Flights out of Russia sell out after Putin's address.

After Russian President Vladimir Putin's morning address on Sept. 21, in which he ordered the immediate call-up of 300,000 reservists, one-way flights out of Russia started to sell out quickly, Reuters reports.

Direct flights from Moscow to Istanbul and Yerevan – destinations that allow Russians visa-free entry – were sold out, Reuters wrote, referring to Aviasales data.
 
Iran alimuua Nani kule Iraq zaidi Makombora yake yalitua sehemu za kutupia taka.

Marekani walimuua Qaseim suileman powerful man in Iran. Kwa Marekani ni sawa na General Mark.A Milley chairman of the joint Chiefs of Staff halafu unakuja kusema ni sawa na kurusha Makombora sehemu za wazi tena unawapa taarifa Maadui eti saa fulani nitarusha Makombora?!

Media za West ndo ziliwadanganya hivyo??[emoji23][emoji23][emoji23]. Na walivyo storm US embassy in bagdad??
 
USA kakimbia Syria?! Unaishi dunia gani shekhe?!

Syrian Oil Minister Bassam Toma'a has revealed that around 90 per cent of Syrian oil is under the control of US forces, Aram News Network reported on Friday.

"The Americans and their followers are acting like pirates as they are targeting the Syrian oil wealth and oil supplies," the Syrian regime minister asserted.

The minister added: "There is a promising future for the oil industry in the [Syrian] waters. We need tranquillity and stable logistic circumstances."

He stated that the total direct and indirect losses of the Syrian oil sector had exceeded $92 billion, noting that what happened in Syria has never previously occurred regarding the exploitation of wealth and supplies.

US controls 90% of Syria oil

Venezuela??
 
Ukraine hawana uwezo wa kushinda dhidi ya warusi hiyo mobilization ni Kwa sababu ya kulinda mikoa mpya ya urusi.
Saw hata mwanzo mlisema Ukraine itaanguka ndani ya wiki
IMG_20220921_144001.jpg
 
Sio hivo anataka kutimiza lengo lake la kulinda mipaka mipya ya maeneo mapya ya Russia baada ya kura ya maoni referendum kwenye hayo majibo 4, ambayo ni 15% ya nchi ya Ukuraini.....na wa kiavamia awe tayari kuwajibu ipasavyo hiyo inaitwa pre emptying the enemy
Sababu kubwa ndio hii:
........
Rais wa Urusi Vladmir Putin amesaini amri ya kuwahamasisha raia kujiunga na jeshi wakati Moscow ikipata hasara katika uwanja wa vita nchini Ukraine. Putin amesema Moscow itatumia kila njia kulinda ardhi na watu wake.
 
Mkuu sio dhambi hakuna anayejua kila kitu.
Sasa ndio wajaze lenzi zote hizo. Kwanini wasichukue lenzi moja au mbili yenye uwezo halisi, badala yake hawawezi zipata wanaishia kupata civilians parts ambazo hazina uwezo wa kufanya kazi hiyo. Tatizo ni vikwazo, hata Uturuki lenzi za drones nyingi walinunua Canada.

Effectiveness ya kuungaunga hivi inakuwa ndogo
 
“We will not fight a war against Russia in Ukraine. Direct conflict between NATO and Russia is World War III, something we must strive to prevent.” Biden

Something we must strive to prevent

Dalili za uoga hizo mbona Libya, Iraq, yugo, Somalia walibebana na shoga zake wakaenda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama nakumbuka vizuri ulisema Demilitarisation imefanikiwa kwa 90%,sasa ukiangalia Kwa mwenendo wa Vita hivi sasa hilo unaona ni sahihi?!
Imefanikiwa ila lengo kuu halijafikiwa nandio mana mambo yanaendelea nakuchukua sura mpya zaidi
Jengine usiniangalie mie nasema nini muangalie zele akiomba msaada anaomba nini nakwanini aombe anachokiomba
Baada ya referendum hoi SVO italeta sura mpya zaidi nahisi acha tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom