Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

SMO haikutumia jeshi rasmi la Urusi, operation ilifanywa na majeshi binafsi yalio na mkataba na jeshi la urusi. (mercenaries toka wagnar group).

Mercenaries wameshafanya kazi yao, jeshi la akiba la vijana 300,000 limeitwa kuja kudefend maeneo yaliokombolewa na mecenaries wa wagnar group.

Jeshi kamili la Urusi halijaingia bado vitani, nadhani linahiweka standby kusubiri NATO aingie mzigoni mzima mzima.
,
wewe unasema jeshi kamili la urusi halijaenda vitani.
taarifa zinaonyesha wanajeshi kutoka Syria waliishaitwa.
wanajeshi kutoka kazakkstan waliishaitwa.

S400 zilizopelekwa syria ziliisha rudishwa.
mitambo ya ulinzi kalinigrad ishapelekwa uwanja wa mapambano

now 300,000
 
Naenda kulala, nimeona sehemu kwamba hao watu 300,000 tayari wameishapewa taarifa na inasemekana ni combat ready.

sasa tukubaliane kitu.

hizi referendum naona ziko planned kukamilika ndani ya mwezi huu.

mnaweza nirekebisha, nachukulia maamuzi haya ya kuongeza wanajeshi ni mkakati wa putin kutimiza ahadi yake kwa modi, xi na edorgan probably, kwamba atamaliza hizi vita hivi karibuni haraka sana.

na mimi nataka hivi vita viishe pia.

tukubaliane, kwamba putin atamaliza hii vita lately by end of october.

sawa?
 
Wagner group hawako russia tu...wapo mpaka central africa hapo wanapiga kazi.

Kama kampuni inahisi kuna demand ya vijana kubwa zaidi Ukraine as compared na ilivyo syria , wana waita tu waongeze nguvu. Na ujue wagner group ni jeshi kamili, lina resources zake ikiwepo air defenses, air force etc.
 
ni jeshi la magereza, sababu majuzi walikuwa wanarectruit wafungwa?
 
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]View attachment 2363909
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20220912_133413_745.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi ulikuwa ni kudiscuss yanaotokea ukraine, historia yao, vita, vifaa, geopolitics, uchumi and more. Hapa tunaleta ushabiki wa kipumbavu mpaka unaboa. Vita hakusaidi lolote wewe mtu mweusi wa mbweni wala tabata. Hapa tunajifunza nini, je nchi yetu ipo wap, kipi tunaweza kuiga. Kwakweli, watu weusi ni watu wa hovyo mnoo
Kwani waafrika tusiposhabikia hii Vita,ndio Ukraine itaacha kupewa mkong'oto?
 
"If President Putin stops fighting there will be peace. If President Zelenskyy stops fighting, Ukraine will cease to exist as an independent sovereign nation – so we need to support them to enable a political solution,"

Stoltenberg
 
Jana niliwaekeza katika maswala ya usalama mtu akikuambia anataka ku mobilize usidhani ndio anakwenda kutafuta hao askari na hizo resources . Hao watu wapo na wanapata mafunzo katika kambi ndogondogo. Kilichosubiriwa ni haraka za bunge Ili maslahi ya hao jamaa yaeleweke. Russia kapata mpunga MWINGI anatoa mpunga wa maana kwa watakaoitwa mstari wa mbele na watakaobaki kulinda nchi
 
Putin alikuwa ni Jasusi wa KGB na sio mwanajeshi.Waliotakiwa kupanga mikakati ya kivita ni majenerali wake na sio yeye.Yeye amekuwa mtu wa kulazimisha mambo na sio kufuata ushauri wa wanajeshi.Matokeo yake imetokea wanajeshi wake wengi kufa wakiwemo na hao majenerali.Hata hili la kuita reservists nalo atapigwa za uso🤔
Uliambiwa na Nani?!
 
Naenda kulala, nimeona sehemu kwamba hao watu 300,000 tayari wameishapewa taarifa na inasemekana ni combat ready.

sasa tukubaliane kitu.

hizi referendum naona ziko planned kukamilika ndani ya mwezi huu.

mnaweza nirekebisha, nachukulia maamuzi haya ya kuongeza wanajeshi ni mkakati wa putin kutimiza ahadi yake kwa modi, xi na edorgan probably, kwamba atamaliza hizi vita hivi karibuni haraka sana.

na mimi nataka hivi vita viishe pia.

tukubaliane, kwamba putin atamaliza hii vita lately by end of october.

sawa?
Hii vita tuko nayo Kaka sio ya kuisha Leo wala kesho.
 
Back
Top Bottom