Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Nao huo u-lunatic amewaambukiza hadi wafuasi na mashabiki wake waliojaa Buza ambao hawawezi kuguswa na huo upuuzi anaouita "partial mobilization"
Putin is lunatic, anasema ana advanced weapons, alafu ana mobilize mass reserve soldiers.
Hivi advanced weapons zinahitaji manpower kubwa namna hii?