Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,065
- 5,976
Mmarekani hatoi bure huo msaada, vita ikiisha atatoa invoice na Ukraine watalipa hilo deni siku zote taifa hilo likiwepo. Vita na silaha ndio biashara kuu ya Marekani duniani..... Mungu awabariki sana wamarekani; kwa hisani ya watu wa Marekani.
Vv