Wataelewa tu kidogo kidogo namna gani makali jinsi yalivyo!NATO Secretary General says conflict in Ukraine should end at negotiating table but wants to help Kiev secure "good negotiating positions"
Nyie watu sijui mmelogwa au Putin kawapa nini. Hivi kwa akili yako unadhani nchi kama Marekani haijui Russia ana nini! Really? You have got to be crazy. The world is prepared na nakuhakikishia hakuna surprise yoyote ile. Kama unayo masikio utakuwa umesikia ONYO alilopewa, ASITHUBUTU!...na akiona hali ni mbaya basi atataka tukose wote ikiwemo kutumia silaha yoyote ya maangamizi ikiwemo nuke na nyingne.Watanzania haya mambo sio ya kushabikia ni tishio for human extinction.
Karibu Mkuu. Tupo huku kitambo tunapigana vikumbo juu ya mambo ya wenye Tambo huko Ukraine na Magharibi kwa ujumla.You must be blind dude, I look at Putin....
Akisema hata hii ni propaganda atakuwa na wazimu [emoji848]Wewe mrusi wa Buza source nyingine hii hapa:
Masalkheir, natumai umekuwa na siku yenye utulivu. Muda mfupi ujao, Dunia Yetu Leo Jioni itakuwa hewani na haya ndio yaliyomo:
[emoji635]Idadi kubwa ya raia wa Urusi wamekimbia kukata tiketi za kuondoka nchini humo leo baada ya rais Vladmir Putin kutangaza amri ya kutayarisha wanajeshi wa akiba kwa ajili ya vita nchini Ukraine.
[emoji635]Katibu mkuu wa jumuiya ya NATO amesema hatua ya Putin inachochea zaidi mzozo huo huku afisa wa juu nchini Marekani akisema Washington inachukulia kwa uzito kitisho cha Putin kuhusu matumizi ya nyuklia.
Source😀w
Sikiliza Dw kiswahili saa 12 jioni!
Leta coordinates za hayo maeneo yote yaliyoshambuliwa. Hii itajenga imani ya kuaminika kwa taarifa zako unazozileta hapaAnapasuliwa mtu huko[emoji1787][emoji1787]View attachment 2363664
Mwisho wa siku hio vita ya tatu ya dunia itatokea tu kama sio kupitia ukraine basi wengine nk.Nahisi watanzania wengi hawajui geopolitics, kwa speech aliyotoa PUTIN leo ni hatar kwani NATO na EU wakifanya kosa kidogo tu tayari Dunia nzima inaangia kwenye WW3, na Tanzania hatutabaki salama asa kwenye upande wa gharama ya maisha.
Kama umesikiliza speech vizuri, PUTIN anaandaa hii mobilization sio kwa UKRAIN tu bali na kwa nchi yotote itakayo hatarisha wanajeshi wa urusi watakao kuwa kwenye russian occupied territories uko UKRAIN.
Na watu wengi hawana huelewa na neno mobilization, kwenye vita mobilization sio wanajeshi tu (Human Resources) bali ni wanajeshi na silaha hatari zote zinaweka standby kwa matumizi muda wowote na saa yoyote.
Mobilization maana yake vitengo vya usalama na ulinzi vyote vinakuwa kwenye high alert [emoji599] kwa vita kamili pale reconnaissance survey kwenye uwanja wa vita ikionesha hali ni ngumu zaidi ya ilivyotegemewa basi nchi inatumia chchte kilichopo ikiwemo nukes.
Ni jambo la kuomba huu mgogoro usifike uko kwenye WW3, maana nukes za Russia au NATO basi hata Tanzania hatutabaki salama, maana Russia hatanii linapokuja kwnye swala la kushindwa vita yaani hatakubali itokee yeye kuonekana kashindwa vita na western countries au Ukrain, na akiona hali ni mbaya basi atataka tukose wote ikiwemo kutumia silaha yoyote ya maangamizi ikiwemo nuke na nyingne.Watanzania haya mambo sio ya kushabikia ni tishio for human extinction.
Mwisho wa siku hio vita ya tatu ya dunia itatokea tu kama sio kupitia ukraine basi wengine nk.
Diplomasia aliishindwa Zelensky maana ni kibarua wa West. Kama wangekaa meza moja toka mwanzo kupata win win situation hio vita isingetokea ni ujeuri wa West kuendeleza wanachokijua. Kupigana!
WW1 na WW2 walianzisha wao na hio WW3 pia wataanzisha wao.
Lakini ukumbuke kuwa West wana project yao inayoitwa the Great Reset yenye kauli mbiu kuwa " you will own nothing and you will be happy"
Of course the whole world will suffer but those who know their God and will perservere to the end will be saved! It was all prophesied 1000years ago!
Ukiachana na sababu za kiuchumi/gharama za maisha kupanda,Hivi UKRAINE akipigwa Nuclear,Tz itapataje Madhara?Nahisi watanzania wengi hawajui geopolitics, kwa speech aliyotoa PUTIN leo ni hatar kwani NATO na EU wakifanya kosa kidogo tu tayari Dunia nzima inaangia kwenye WW3, na Tanzania hatutabaki salama asa kwenye upande wa gharama ya maisha.
Kama umesikiliza speech vizuri, PUTIN anaandaa hii mobilization sio kwa UKRAIN tu bali na kwa nchi yotote itakayo hatarisha wanajeshi wa urusi watakao kuwa kwenye russian occupied territories uko UKRAIN.
Na watu wengi hawana huelewa na neno mobilization, kwenye vita mobilization sio wanajeshi tu (Human Resources) bali ni wanajeshi na silaha hatari zote zinaweka standby kwa matumizi muda wowote na saa yoyote.
Mobilization maana yake vitengo vya usalama na ulinzi vyote vinakuwa kwenye high alert [emoji599] kwa vita kamili pale reconnaissance survey kwenye uwanja wa vita ikionesha hali ni ngumu zaidi ya ilivyotegemewa basi nchi inatumia chchte kilichopo ikiwemo nukes.
Ni jambo la kuomba huu mgogoro usifike uko kwenye WW3, maana nukes za Russia au NATO basi hata Tanzania hatutabaki salama, maana Russia hatanii linapokuja kwnye swala la kushindwa vita yaani hatakubali itokee yeye kuonekana kashindwa vita na western countries au Ukrain, na akiona hali ni mbaya basi atataka tukose wote ikiwemo kutumia silaha yoyote ya maangamizi ikiwemo nuke na nyingne.Watanzania haya mambo sio ya kushabikia ni tishio for human extinction.
[emoji298][emoji298][emoji298]Sergey Markov: All mobilization agendas have already been delivered to all 300,000 today. They must report to military registration and enlistment offices tomorrow morning from 5:00 to 7:00 a.m[emoji298][emoji298][emoji298]
J
Hao hao west wanatumia janja zao kuleta mfumo mpya duniani.
Kwanza walianza na corona na kulazimisha nchi zote ziue uchumi wake na kufata tamko la UN pia wakainfluence hio vita wanayoitumia kuangusha uchumi wa dunia.
ORDER OUT OF CHAOS is the work in process kwa wale "wataalam" wa mambo wataelewa hii
Kama ana handle vizuri bunduki aende front line aache kutuma vijana wa watu.Mwamba kama mwamba nileteeni picha ya kiongozi yoyote wa west anayeweza kuhandle bunduki kama mzee Putin.View attachment 2363773
The hand writings on Wall are clear.. Russia is no longer trustworthy with her allies.. Maduro has seen the signs that the one who is rallying to is useless and powerless.. How can a sensible person raly on Rusia?. Even Asad will japa from him.What a betrayal to Putin's regime