Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The head of European diplomacy, Josep Borrell, said that the EU will not participate in the conflict in Ukraine

Russia ni baba lao maana wameanza kukimbia wengine wamekimbilia UN. Ndugu zangu Pro NATO mkae mjiulize NATO imeundwa na mataifa makubwa tena yenyame nguvu kijeshi, kiuchumi, kiteknolojia lakini bado wanamwogopa Russia [emoji635].

Mnaona ndugu zenu wanavyohaha huko sasa Russia, China, India, Iran, NK zikaamua kuunda alliance yao West si watakufa kwa presha??
 
Haya maandamano kama hayana mkono wa mtu si chochote wala si lolote. Iran kashazoea maandamano makubwa sana, tatizo hatujui lini yatafanikiwa. Sina uhakika ila nimesoma kwamba internet imeshafungwa.
Huyo binti naamini itakuwa kafa bahati mbaya tu
Naam
Maandamano haya yakawaida sana hasa kama yatakua yandani tuuu
Kwenye kifo sina neno ila kama wamemuua wamemdhulumu bure kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea NATO ipi Shekhe

Russia cannot win nuclear conflict – NATO
21 Sep, 2022 15:49 /

The head of the US-led bloc didn’t elaborate on who would emerge victorious
NATO has told Moscow very clearly that Russia cannot win a nuclear war and has been amassing troops on its eastern border to “remove any room for miscalculation or misunderstanding,” the secretary general of the US-led bloc, Jens Stoltenberg, told Reuters on Wednesday.

“This is dangerous and reckless nuclear rhetoric,” he told Reuters editor-in-chief Alessandra Galloni on the sidelines of the UN General Assembly in New York. “He knows very well that a nuclear war should never be fought and cannot be won and it will have unprecedented consequences for Russia,” he added, referring to Russian President Vladimir Putin.

Asked what NATO would do in the event that Russia used atomic weapons, however, Stoltenberg said it “depends” on the circumstances, but that the bloc was very clear in their communications with Moscow that “a nuclear war cannot be won by Russia.”

“So far we are not seeing any changes in the nuclear posture” of Russia, he added, but NATO is “monitoring very closely” if that changes.

https://www.rt.com/news/563266-nato-nuclear-war-russia/amp/
 

Hizo ni kelele tu unajua madhara ya nuclear? Hizo ni kelele hazina utofauti na mtu anayejaribu kuvuka kwenye mto wenye mamba. Hivi unafikir lile nuclear la Sarmat 2 lina war head 15 zote za nuclear afu hypersonic likitua unajua impact yake?? Hata ukilidungua bado impact ni kubwa sana.

Achana na wapiga kelele hao kama wameshindwa kwenda Ukraine wataweza nuclear?? Hivi hujiulizi kwanini west wamepagawa sana??

Hujaona article ya EU wamesema hawataingilia huu mgogoro wa Ukraine na Russia??
 

Josep Borell: the EU will not participate in the conflict in Ukraine
 
Hii ina uhusiano gani na uzi huu wewe MBUGILA??
 
Reuters, quoting Ukrainian Parliament: The Russian Government has released some Senior Commanders from Ukraine's Azov Regiment who were taken prisoners after the end of Mariupol Siege

In total, per information, 215 Ukrainian PoWs were exchanged for 55 Russian PoWs, according to the Office of the President of Ukraine, 108 of the 215 are members of the National-Socialist Azov Regiment

Alongside of the Russian PoWs, Moscow also demanded that Ukraine's Opposition Leader, Viktor Medvedchuk, to be handed to Russian side, which was made so, according to what RBK-Ukraine says.
 
Of the 55 Russians who returned from captivity today in prisoner exchange:
2 senior officers (lieutenant colonel and major)
6 junior officers
4 warrant officers
40 privates and sergeants
2 servicemen of the NM DPR
1 serviceman of NM LNR
 
Siko upande wa yoyote lakini nikuambie tu west hawajashindwa kwenda ukraine. West ni wanachoogopa ni kunyooshewa vidole, ili image zao zisichafuke tena kama gulf war.

And usidhani kuwa west hawana nuclear wa heads pia. Wanazo nyingi tu.. difference is madhara ya nuclear ni makubwa kuliko faida.

Is why wana nyemeleana si cha russia wala west. Ni kuchimbama biti tu. In reality hakuna anaetaka nuclear war
 
Nato wanamuogopa russia? Clarify wana muogopa kwenye nn?
 
Mossad na CIA wanapewa lawama
 
Kwa hichi kitendo cha Putin kuagiza wanajeshi wa akiba Sasa naamini ripoti ya Ukraine ya hasara aliyopata Russia kwenye hivi vita [emoji848]View attachment 2364089
Kwa hiyo kumbe ulikua huamini...ukawa anawalisha watu matango pori..na sasa ndo unaanza kuamini...una hakika gani hiyo imani yako inayoanza kujengeka ni kweli??Isitoshe haya mambo ni masuala ya kiimani au ni Fact??
 
Hii ni mara ya tatu Russia inaita mobilization. Ya kwanza ni WW1, ya pili WW2 na ya tatu ni Special Military Operation ambayo its going according to planView attachment 2364081
Mbona hesabu ndogo sana hizo zinakusumbua? Mobilization number 1: for WW1
2:WW2
3:Is for WW3
Kwa hali ilipofikia hii haipingwi. West hawawezi ku surender kwa Rusia wakifanya hivyo manake u super power wa Marekani ndio kwaheri.
Pia Rusia hawezi ku surender kwa West maana ndio itakuwa mwisho wa Taifa linaloitwa Rusia.
Hapa ni lazima kipigike wakukosa akose na wakupata apate. Tunakoelekea ni kugumu na kubaya sanaa.
Wazee wa MAANDIKO tunajua nini kinachofuata.
"Ombeni kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…