LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mbona wewe uko upande wa Russia na umetumia busara kulizungumzia Hilo suala?Pitia Uzi uone watu wanavyoshadadia....halafu kusema tuangalie Vita Kama movie hapo umepuyanga ndugu yangu
 
Aongezewe kuni za kutosha huko kuzimu ameua sana raia hadi Mungu kupitia taifa la Urusi amekuja kumteketeza mda huu. Mungu mwacheni aitwe Mungu
Anaefuata kufa ni Baba yenu Putin,tena huyu atakufa kifo kibaya sana cha kudharirika,kama siyo mimi basi watoto wangu watashuhudia Mungu akimwadhibu huyu shetani mkubwa cousin wa Rucifer
 
Anaefuata kufa ni Baba yenu Putin,tena huyu atakufa kifo kibaya sana cha kudharirika,kama siyo mimi basi watoto wangu watashuhudia Mungu akimwadhibu huyu shetani mkubwa cousin wa Rucifer
Umeandika kwa hisia sana yaani hadi naona sononeko lako juu ya yanayaoendelea Ukraine. Ila kama vipi njoo upande huu,sisi ni immortal
 
Umeandika kwa hisia sana yaani hadi naona sononeko lako juu ya yanayaoendelea Ukraine. Ila kama vipi njoo upande huu,sisi ni immortal
Hapana mimi nitasimama na Ukraine hadi dakika ya mwisho,wewe baki huko huko kwa mnywa damu za watu cousin wa Lucifer 😡
 
View attachment 2139414
Nini kinaendelea Ukraine?wanajeshi wa Russia ni kama wamesusa au?
Lazima wasuse ,hata uhakika wa chakula tu hawana na kama wanacho basi ni vilivyo expire hizo nguvu za kupigana wanatoa wapi? Kuficha aibu ya njaa za wanajeshi anakimbilia kubomb majengo matupu, Frustration wapelekeeni wali na maharage wanajeshi wenu wanakufa na njaa huko 😀
 
Anaefuata kufa ni Baba yenu Putin,tena huyu atakufa kifo kibaya sana cha kudharirika,kama siyo mimi basi watoto wangu watashuhudia Mungu akimwadhibu huyu shetani mkubwa cousin wa Rucifer
We ni nani unayetabiria watu kufa vifo vibaya? Tony, Obama,Bush, Benjamin na wao watakufa vifo vibaya? Is better you shut up your mouth!
 
We ni nani unayetabiria watu kufa vifo vibaya? Tony, Obama,Bush, Benjamin na wao watakufa vifo vibaya? Is better you shut up your mouth!
Nikusaidieje,peleka huko povu lako usinitemee mimate hapa aaargh 🤭
 
Unakosoa kwa kuzidi kukosea zaidi,punguza mihemko siyo 'Recifer" haya rekebisha comment yako ili uonekane mjanja zaidi 😎
Mods ndio walioedit, mie niliandika kama ulivyoandika wewe kimakosa ili nikurekebishe. Uwe wakiri makosa, sio warukaruka
 
5

Nasikia wanajeshi wa urusi wana njaa balaa, vifaru na magari ya mizinga yameisha mafuta,
Chakula wakitoe wapi kama tu mafuta ya magari yao wanaishiwa,muda si mrefu wataanza kuvamia makazi ya watu na kupora chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…