LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
View attachment 2138969
Kubwa jinga Putin full panick
Waleta taarifa hapa wa Putin hawaleti zile za upinzani wa ndani kule Russia,pana Kituo kimoja cha TV wamerisign wafanyakazi wote Live on Camera baada ya kushutumu jinsi wanavyolazimishwa utoaji wa habari wenyewe wameita "Media Crackdown".Nimekuja hapa nione kama imeletwa,naambulia ma screen shot ya TBC ya Russia peke yake.
 
Huwezi kusema eti waukraine zamani walikuwa ni warusi, hapo unaonyesha ulivyo na uelewa mdogo sana wa mambo, ni sawa na kusema hapo zamani wanyamwezi walikuwa ni wasukuma sasa unaweza ukaulizwa imekuwaje leo wamekuwa watu wawili tofauti.

Huo uongo wa dikteta Putin kwamba kuna kipindi Russia na Ukraine walikuwa kitu kimoja unakanushwa vibaya sana na Ukraine na kwamba ni uongo unaotumiwa na huyo dikteta kuhalalisha uovu wake dhidi ya Ukraine.
Tofauti ya wasukuma na wanyamwezi au wanyantunzu nini?
Naona unaongea vitu hivi jui.
 
Sio sawa lkn, wakae kama ndugu wazungumze, hali iliyofikia Ukraine ni mbaya sana. Mji umekuwa kama Syria, ingawa Zelensikyy alizingua mwanzoni kwa kujifanya mwamba, ila wakae wayamalize.
hakuna kuyamaliza mtoto kalilia wembe kapewa
 
Hapa ndipo mnapofail sana nyinyi Pro Putin,mnashindwa nini kujenga na kusimamia hoja bila kuihusisha Marekani,kila mnapobanwa mnakimbilia kuisema USA,simamieni hoja zenu,Marekani haikuwatuma mkaivamie Ukraine,ya Marekani waachie wao wapambane nayo au yaanzishieni Uzi wake,hapa tunaongelea Russia vs Ukraine.Btw vipi Kyiv imeshakuwa majivu au bado?
RUSSIA vs UKRAINE pia tuwaachie wenyewe MKUU[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ha ha ha,Russia aende kufanya nini,akiambiwa achague aende wapi hata sasa atakimbilia US.Wakiwa hapa JF wanaiponda US lakini ndiyo hao hao wanakuja kututambia humu kuwa wameshafika Marekani,sasa sijui kila mtu akianza kusema sehemu alizofika au anapoishi sijui hapa patakuwaje.
Sawa mmarekani wa namtumbo
 
Huo sio unafiki mkuu....diplomasia baina ya mataifa yenye nguvu ipo hivyo siku zote.....'ina usanii mwingi'..

Ndio maana wanasema wapo pamoja na Ukraine ila hawatapeleka jeshi ili kuepusha mzozo wa moja kwa moja na Urusi.

Maadam Ukraine imepakana na nchi wanachama wa NATO, mawasiliano kama hayo ni muhimu ili kuepuka mgongano wa bahati mbaya na Urusi inayoendesha operesheni za kijeshi huko Ukraine.
Lakini mkuu huoni ya kwamba inawakatisha tamaa viongozi wa Ukraine?
Si bora wange afikiana kwa siri?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mtaala wa historia inabidi ubadilike na wenyewe
255654404499_status_075e6a2e13c9483497b79a639f538328.jpg
 
Russia has taken control of Europe's largest nuclear power station in Ukraine after it was hit by shelling.
4999d37e761344d5890d92c388f86ddb



Russian troops attacked the Zaporizhzhia plant located in southeast Ukraine in the early hours of Friday.


The attack renewed fears of any other emergency just like the 1986 Chernobyl accident, the world’s worst nuclear disaster, which came about approximately sixty five miles north of the Ukrainian capital.
aa4d85cc41104ad480e321b62bb528cb


President Zelensky, said that the said attack could have caused destruction which could be equal to six Chernobyls, the site of the world's worst nuclear disaster in 1986. "If there is an explosion, it is the end of everything. the END OF EUROPE," he added.


The attack led to phone calls between Ukrainian President, and U.S. President, and other world leaders. The U.S. Department of Energy activated its nuclear incident response team as a precaution.
The UK Prime Minister, Boris Johnson condemned the attack as ‘reckless’ and accused Russia of ‘threatening the security of the whole of Europe’.

For more contents and updates, click on the follow button.
SOURCES:
https://www.bbc.com/news/world-europe-60613438
https://universul.net/russian-forces-seize-ukrainian-nuclear-plant-after-fire-europes-safety-directly-threatened-uk-pm/
 
Warusi wa Babati na Kateshi vip mpo tupeni habari ni mji gani hapo Ukrain wa maana mliofanikiwa kuukamata baada ya wiki moja na siku tatu za nyie kuanzisha vita

Aaaaah nacheka kama mazuri vile lakini daah warusi wa Hai mmepatwa na aibu sana kwa kweli kwa jinsi mlivyokuwaga mnajitapa kuwa mna jeshi lenye nguvu duniani na mmekutana na kipigo heavy kutoka kwa kitaifa kidogo kama Ukrain haya ni maajabu aisee

Urusi sasa mlipofikia hali ni mbaya zaidi ya kupiga tu mabomu ovyo ovyo na kupiga makazi ya Raia basi hakuna kingine cha maana mlichokipata kwenye hii vita mpaka sasa

Yaani ata jeshi lenu la anga ni mdebwedo kweli kweli , jeshi la majini ndo usiseme kabisa yote tisa kumi ni jeahi la ardhini kila likiiinua mguu linakula kipondo heavy kil likisogeza pua linakuala kipondo cha kufa mtu na ndo maana mpKa sasa mmeshindwa kufanya advancement ya maana yoyote ile
 
Back
Top Bottom