Huwezi kusema eti waukraine zamani walikuwa ni warusi, hapo unaonyesha ulivyo na uelewa mdogo sana wa mambo, ni sawa na kusema hapo zamani wanyamwezi walikuwa ni wasukuma sasa unaweza ukaulizwa imekuwaje leo wamekuwa watu wawili tofauti.kwa bahati mbaya, hauna akili kufikiri na kuelewa kwamba waukraine zamani walikuwa warusi, na hata mle mle ndani kuna idadi kubwa sana ya warusi, na majority ya waukrain wanaongea kirusi. ni rahisi wafanya waadopt urusi hasa kwa kiongozi watakayemweka. kama wameteketeza vituo vya kijeshi, na wanaweka wazi hawatakubali ukrain iwe na nguvu ya kijeshi, ni mjinga gani atakayekataa kuwa pamoja nao ili awe salama? ni wajinga kama wewe tu ndio watakubali.
Huo uongo wa dikteta Putin kwamba kuna kipindi Russia na Ukraine walikuwa kitu kimoja unakanushwa vibaya sana na Ukraine na kwamba ni uongo unaotumiwa na huyo dikteta kuhalalisha uovu wake dhidi ya Ukraine.
