LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The BBC has announced that it will temporarily stop working in Russia and will work outside the Russian Federation
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Baada ya putin kusema msipige majengo ya raia sasa wanajeshi wa ukraini wakaamua kujificha kwenye makazi ya raia kichapo kikawakuta humo humo huu ni mji wa kharkivView attachment 2138758View attachment 2138755View attachment 2138757View attachment 2138756
Wajiangalie kisije kikawakuta kama kilichowakuta waasi wa Syria katika mji wa Aleppo, Aleppo warusi walipapiga mabomu mpaka pakawa panaonekana kama vile wakandalasi wameweka vifusi kwa ajili ya kuanza ujenzi
 
NATO statements on the situation in Ukraine:

- The organization agreed that there should be no NATO aircraft in the sky of Ukraine, and there should be no alliance soldiers on the territory.

— The Alliance calls on Russia to immediately withdraw troops and start negotiations.

- NATO expects the situation in Ukraine to worsen in the coming days.

— The organization will study the implications of the conflict in Ukraine for Euro-Atlantic security.

- The Alliance is responsible for ensuring that the conflict does not go beyond the borders of Ukraine, but does not seek war with Russia.

- NATO plans to maintain channels of communication with Russia in order to avoid conflict situations.View attachment 2138682
Msaada wa NATO kwa Ukraine haujatangazwa?
 
Kinachochelewesha kuimaliza Kyiv ni yule gaidi Comedian. Alizuia wageni hasa waafrika na waasia wasiondoke wawe kama shield ya kumkinga.

Sasa jana wamekubaliana raia wote waruhusiwe kuondoka tumalizie kiporo chetu.

Putin hataki kuua watu wasio na hatia.

#tunapigatunakulisha


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Yaan mm nimekua upande aa putin kwa kujali wamakonde wenzetu ila hao ukraine wapigwe mpaka wachakae kwa ubaguzi walio uonyesha ...sina dua nzuri kwa mbaguzi
 
Ukrainian servicemen blew up the railway bridge with Pridnestrovie today.
Railway traffic is now impossible

 
Haya wanawashikiria raia wa nchi mbalimbali kama mateka, Kama sehemu ya kuwapata wanajeshi wa Russia That is Bad. Hiyo ndio strategy ya Ukraine kwa sasa.

Ministry of Defense of the Russian Federation:

- A catastrophic humanitarian situation has developed in most of the territory of Ukraine, which, unfortunately, is rapidly deteriorating.

- 217 tons of various humanitarian cargoes were delivered to Ukraine, 20 humanitarian actions were carried out.

“More than 7,500 foreign citizens are being held hostage in Ukrainian cities.

- The Kyiv regime has almost completely lost the ability to manage the administrations of the regions and districts of the country.

- 35 humanitarian actions are planned in Kiev, Sumy, Kharkiv, Kherson regions, as well as in the DPR and LPR.

- In Sumy, neo-Nazis fired at a hostel where Indian students live, five people were injured, the fate of 11 is unknown.

- Officials in the office of the President of Ukraine refused to help with the evacuation of civilians from Kharkov.

- The West, the OSCE and the UN do not give an adequate assessment of what is happening in Ukraine.

- In most Ukrainian cities, national battalions are rampaging, in fact, these are the Nazis and the mercenaries who joined them.

- The Ministry of Defense of the Russian Federation once again, the world community will get involved in the work of forcing Kyiv to comply with the rules of humane treatment of the civilian population.
View attachment 2138665
What's the source of your news?
 
Brother Pumzika Pata kawaha kidogo, Nitalipia snacks
Thanks ...binafsi huwa nashangazwa na namna baadhi ya watu wanavyopumbazwa na USA.....Marekani imeshambulia nchi kadhaa duniani ...ukiachama hizo nilizozitaja awali Kuna nyingine Kama Grenada, Bolivia,Liberia na nyinginezo nyingi...kiongozi wa Kwanza wa Kongo huru, Patrice Lumumba aliuawa kutokana na njama za CIA...huko Vietnam Marekani ilikuwa mabomu hatsri ya Napalm yanayoungsza vibaya ngozi Kama sulphuric acid...Marekani ndilo taifa pekee duniani ambalo limewahi kutumia silaha za nyuklia huko Japan kwenye Vita vya pili vya dunia kwenye miji ya Hiroshima na Nagasaki..maelfu kwa maelfu ya watu waliuawa kwenye miji hiyo..na mpaka leo madhara yake bado yapo...Sasa unashangaa unafiki wa nchi ya Marekani inavyojifanya eti inapinga silaha za maangamizi...stupid Americans .
 
Back
Top Bottom