Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Bora zako wewe mwanajeshi (kama ulivyojigamba kuwa sio civilian) ambaye unaijua vita zaidi kuliko hata Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin ambaye yeye aliongoza vikosi kadhaa ktk vita vya Baghdad. General Austin yeye anasema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kupambana na Ukraine ambayo hawajaamua kuitumia.Umeongea mengi kuona kama unaelewa sana kumbe bado uwela wako wa medani uko chini, kama hujui vita ni sanaa sio kama unavyofikilia wewe, kuna vitu vingi vinatokea kwenye vita ambavyo vinahusisha uwezo wa makamanda wa vikosi ambavyo viko front, najua wengi humu ni civilian hawaijui vita in its technical sense, in fact urusi amezudiwa mbinu za medani na mabeberu ambayo yanampa backup Ukraine, cha kwanza alitumia military showoff kuwa intimidate wa ukraine na pili kitendo kufanya drilling mpakani kili wa alert ukraine na washirika wake kujiandaa kivita. Inaonekana wazi kabisa mpango wao wa uvamizi ulivuja ndio maana beberu mkuu USA aliwaomba raia wake kuondoka Ukraine alijua nini kitatokea. Kwa mwenye uwezo wa kutumia common sense Niko tayari kukoselewa mabeberu yamemzidi Putin mbinu, vikosi vyake vimeshindwa kabisa ku advance richa ya kutumia powerful fire support lakini group assualt hawapenyi kila wakisogea wanabondwa
Nitakutafuta unifundishe namna ya kuvuja/pasua matofali kwa kichwa ili niende nikatumie ujuzi huo huko Ukraine