sihitaji maelezo marefu,umejifanya mjuaji wa kukosoa wenzio kumbe na wewe ni bure tu.Mods ndio walioedit, mie niliandika kama ulivyoandika wewe kimakosa ili nikurekebishe. Uwe wakiri makosa, sio warukaruka
hapa mim ndio huwa nashangaa sanaNear Mariupol, in the village of Talakovka, the Armed Forces of Ukraine shot down two cars in which local residents tried to leave the city - three people died.
The driver and passenger of the yellow minivan died immediately, the passenger of the red passenger car was seriously injured and died without waiting for an ambulance. The team of doctors did not have time to come to the rescue due to the incessant artillery fire of the Ukrainian military.
Source: Mash
View attachment 2138656
He he hee, lazima utanyooka tusihitaji maelezo marefu,umejifanya mjuaji wa kukosoa wenzio kumbe na wewe ni bure tu.
ni chanel ipi mkuu niweze kuchekHaya wanawashikiria raia wa nchi mbalimbali kama mateka, Kama sehemu ya kuwapata wanajeshi wa Russia That is Bad. Hiyo ndio strategy ya Ukraine kwa sasa.
Ministry of Defense of the Russian Federation:
- A catastrophic humanitarian situation has developed in most of the territory of Ukraine, which, unfortunately, is rapidly deteriorating.
- 217 tons of various humanitarian cargoes were delivered to Ukraine, 20 humanitarian actions were carried out.
“More than 7,500 foreign citizens are being held hostage in Ukrainian cities.
- The Kyiv regime has almost completely lost the ability to manage the administrations of the regions and districts of the country.
- 35 humanitarian actions are planned in Kiev, Sumy, Kharkiv, Kherson regions, as well as in the DPR and LPR.
- In Sumy, neo-Nazis fired at a hostel where Indian students live, five people were injured, the fate of 11 is unknown.
- Officials in the office of the President of Ukraine refused to help with the evacuation of civilians from Kharkov.
- The West, the OSCE and the UN do not give an adequate assessment of what is happening in Ukraine.
- In most Ukrainian cities, national battalions are rampaging, in fact, these are the Nazis and the mercenaries who joined them.
- The Ministry of Defense of the Russian Federation once again, the world community will get involved in the work of forcing Kyiv to comply with the rules of humane treatment of the civilian population.
View attachment 2138665
Hoja yako iko wapi uliyoleta ili niende huko?Nenda kwenye hoja!
Ushakuwa Mwajuma ndala ndefu sasa,unaanza na kicheko cha kuchambana? Huko siendi mkuu,tembea mbele kushoto kulia.He he hee, lazima utanyooka tu
Wee mwehu kweli leo asubuhi kinu cha mlichoteka juzi kimerudi kwa wenyewe Jeshi la Ukrainlimekikomboa au bado uko usingizini nini mzee amka stuka Putin anakupeleka chaka kweli kweliHatutaki jimbo lolote.mpaka sasa tuna vinu 2 vya kuzalisha umeme,bado vi 3 tu tuanze kuwauzia umeme wa ukraine
amemkosea nini Mungu labda, na kipi amekifanya ambacho marekeni na washirika wake hawajakifanya.Anaefuata kufa ni Baba yenu Putin,tena huyu atakufa kifo kibaya sana cha kudharirika,kama siyo mimi basi watoto wangu watashuhudia Mungu akimwadhibu huyu shetani mkubwa cousin wa Rucifer
Huyo hapo baba yenu ameanza kuwalaani mpaka walio kuwa wana msaidia.Ushakuwa Mwajuma ndala ndefu sasa,unaanza na kicheko cha kuchambana? Huko siendi mkuu,tembea mbele kushoto kulia.
Kumtaja Mwajuma hakusaidii kumaliza tatizo lako la kuzaliwa nalo, la kuchanganya matumizi ya 'R' na 'L' kwenye sentensi.Ushakuwa Mwajuma ndala ndefu sasa,unaanza na kicheko cha kuchambana? Huko siendi mkuu,tembea mbele kushoto kulia.
Tupe chanzo cha habari.Wee mwehu kweli leo asubuhi kinu cha mlichoteka juzi kimerudi kwa wenyewe Jeshi la Ukrainlimekikomboa au bado uko usingizini nini mzee amka stuka Putin anakupeleka chaka kweli kweli
Hahaha unanichekesha sana Nyamizi yaani Urusi jeshi lake linaasi? Jana tu wamegawa chakula huko Ukraine na pili raia wote huko Ukraine wanamwagiwa hela na wanafurahi sana. Inaonekana haujui kinachoendelea Ukraine nenda hata BBC ukapate taarifa maana wao wameposti PUTIN'S CRUELTY IN UKRAINE PEOPLE IS DANGEROUS. Kawa wao wanaona hatari ya Putin huko Ukraine sasa nyie akina nani?Lazima wasuse ,hata uhakika wa chakula tu hawana na kama wanacho basi ni vilivyo expire hizo nguvu za kupigana wanatoa wapi? Kuficha aibu ya njaa za wanajeshi anakimbilia kubomb majengo matupu, Frustration wapelekeeni wali na maharage wanajeshi wenu wanakufa na njaa huko 😀
Uyu ni mwehu kabosa akili zake zimekuwa cracked sijui anaongelea Urusi gani iyo kama ni hii ambayo ndani ya siku kumi za vita imeshindwa kuuteka ata mji mmoja mkubwa ndani ya nchi ya Ukrain alafu uniambie kuwa eti ina jeshi imara labda waongopee wenzio nimesoma hili gazeti lako nikaishia katikati maana ni ujinga tu umeandika brazaWew mwenyewe
Wew mwenyewe una ushabiki umesema ule alofanya Putin s uvamiz na uko serious kabisa umeleta na story za marekan kuwa nae anavamiaga kwahiyo nawew umerud kwenye ushabik wa simba na yanga
Atajulia wapi wakati akiamka tu anakimbilia kwenye page za Pro Russia anasoma huku kisha anakuja hapa kutuletea "breaking news" zake zilizopitwa na wakatiWee mwehu kweli leo asubuhi kinu cha mlichoteka juzi kimerudi kwa wenyewe Jeshi la Ukrainlimekikomboa au bado uko usingizini nini mzee amka stuka Putin anakupeleka chaka kweli kweli
Nyuma geuka,shoto kulia,shoto kulia,mbelee tembeaKumtaja Mwajuma hakusaidii kumaliza tatizo lako la kuzaliwa nalo, la kuchanganya matumizi ya 'R' na 'L' kwenye sentensi.
Hicho chakula wanachokigawa si ndicho kile kilicho expire 😂,nachojua wao wana njaa sana wapelekee wali na mandondo ya nazi wakale washibe wapate nguvu ya kushusha makombora kwenye majengo na makazi ya watu. Anyway ngoja niende kwa BBC nikajisomee na nitakuja kukujibu tena hapa.Hahaha unanichekesha sana Nyamizi yaani Urusi jeshi lake linaasi? Jana tu wamegawa chakula huko Ukraine na pili raia wote huko Ukraine wanamwagiwa hela na wanafurahi sana. Inaonekana haujui kinachoendelea Ukraine nenda hata BBC ukapate taarifa maana wao wameposti PUTIN'S CRUELTY IN UKRAINE PEOPLE IS DANGEROUS. Kawa wao wanaona hatari ya Putin huko Ukraine sasa nyie akina nani?