LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Atajulia wapi wakati akiamka tu anakimbilia kwenye page za Pro Russia anasoma huku kisha anakuja hapa kutuletea "breaking news" zake zilizopitwa na wakati
Kwenye vyombo vya habari Ukraine ni mshindi na shujaa ila kwenye uharisia Ukraine ina hali mbaya sana.

Ili kudhibitisha hilo ni kauli hii alio itoa raisi wa Ukraine ni kauli ya kukata tamaa.
Screenshot_20220305-091225.jpg

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
ilikuwa ni tatizo kubwa sana kuwaamini wamagaribi.lakini watu wajifunze. all in all, akili zao zimefumbwa ili kutimiza tu maandiko ya siku za mwisho. at the end of the day, jeshi kubwa toka mashariki litashuka mashariki ya kati pamoja na mpinga kristo. dunia imefika ukingoni, mwenye masikio ya kusikilia afue nguo zake katika Damu ya Mwana wa Kondoo, Yesu Kristo. nje ya hapo, kiuna aibu na kudharaulika milele katika ziwa la moto.
Ifahamu historia ya vita utagundua kuwa si mara ya kwanza kutokea vita. Jikite kwenye mwisho wako wewe kama binadamu, mambo ya mwisho wa dunia huyajui.
 
Kusema tuangalie vita kama muvi ni kwamba tusijihusishe sana mpk inafikia hatua watu wanakua na uhasama humu kisa vita visivyotuhusu unakuta watu wanazinguana wanapeana maneno makali wengine wanatukanana n.k

Sio vita vya Russia na Ukraine vifanye leo nikiona comment ya Joannah au T14 Armata kwenye uzi mwingine niwe bado nina ukakasi moyoni kwamba alishawahi kunitusi kwenye uzi wa vita vya Russia na Ukraine [emoji3][emoji3][emoji3] sisi tutoe tu maoni yetu tu turelax huo mtanange ni wao.

Amini kwamba wengine humu wanachangia kwa jokes wala hawako serious so tusichukulie too personal.

Tunajua kuna madhara ya moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja kutokana na vita kila mtu mwenye uelewa hilo lazma alione ila ni kwamba baadhi ya watu wana upande wanaotaka ushinde vita hii kwa sababu zake binafsi iwe mapenzi juu ya nchi flan/chuki juu ya nchi flan n.k. na wengine hawataki kusikia upande upi ushinde vita wao wanachotaka vita iishe waendelee na biashara zao mfano wapo wafanya biashara hapa tz wameathirika sana na vita hiyo walikua wanapeleka mboga mboga Ukraine so watu wana mitazamo tofauti.

View attachment 2139444
Propaganda za wakenya hizi. Mwananchi na the Citizen linamilikiwa na wakenya.

Wakenya hao waliletwa na mkapa kwaajili ya kuleta chachu ya habari. Lakini wameshakuwa pro NATO, wanaleta taarifa za uongo. Walikuwa wakipata pesa kutoka serikalini.

Baada ya mzee Magu kuingia aliwachinjia baharini, walianza kuwa omba omba. Mwishoni mwishoni alianza kuwapa pesa. Sasa wameanza tena kulewa na kuleta taarifa za kubumba.

Subiri njaa iletwe tena.
 
Zelensky amewazila huku, eti raia wakifa wanakufa kwa ajili yenu alafu Nyamizi unasema Urusi ndio wamefarakana😂😂😂😂 rais wenu ametoa ya moyoni
Bora yeye anaetoa ya moyoni hadharani kuliko Baba yenu Putin anaewamaliza kimya kimya wale wote wanaompinga katika hii vita ndani ya Russia,amevimba kama kifutu kwa hasira 🤣🤣 anataka kupasauka huko anapoona mambo bado kabisa Ukraine leo siku ya kumi.
 
Wewe Nyamiji, umeolewa kweli!?
 
rais wa ukraine lazima aongee kadri awezavyo kupata aina yoyote ya msaada inayowezekana, yeye na yeyote mwenye ufahamu anajua kuwa tangu NATO iundwe hakujawahi kuwa na direct clash kati yake na USSR/RUSSIA, anaplay politics tu, support aliopewa ukraine pamoja na vkwazo vyote dhidi ya urusi visingewezekana bila NATO,
 
Angetaka Genocide mapema Sana .....
Aaaah nimecheka kaM mazuri yaani Urusi leo ndo ya kuongea maneno ya kinyonge kama haya daah ajabu sana aisee kiukweli putini kawapeleka chaka ile mbaya yaani hamna hamu mlivyokuwa mkijitapa sasa apo mwanzo mwanzo wala hata hamkujua kama mngekutana na balaa la waukraini wenye uzalendo na nchi yao yaani kifupi ni kwamba mpKa sasa vita ikisitishwa basi mshindi ni Ukrain kataa ukubali
 
nlikua nasoma breaking news hp kwe RT naona ghafla imeandika error na siipati tena cjui ndo ht mtandaoni imeondoka, nliona breaking news kuwa russia wametangaza ceasefire but RT imetoweka ghafla na haipatikan tena
 
Ila Nyamizi usinikasirikie, mie swahiba wako ujue

Mengine changamsha genge tu
Hapana Mkuu,uwe na amani kabisa unapojibizana na mimi,huwa sipendi mtu anaekuja na lugha chafu kisa tu mmepishana mitazamo. Kwa upande wako nimependa ustaarabu wako wa kutokutumia na maneno ya kashfa na lugha ya matusi ndiyo maana umeona tumeendela kujibizana hapa.Wewe na Frustration mko poa kabisa kutoka kambi ya Putin 🤝
 
nlikua nasoma breaking news hp kwe RT naona ghafla imeandika error na siipati tena cjui ndo ht mtandaoni imeondoka, nliona breaking news kuwa russia wametangaza ceasefire but RT imetoweka ghafla na haipatikan tena
Hiyo haiwezi kutokea mzee. Ceasefire ni mpaka pale Ukraine watakapo weka silaha chini.
 
Venus Star na Nyamizi mna attack personal each other sio poa kabisa. Uzi wetu unapambwa na ushindani wa maneno na vijembe vidogovidogo na hii inatoa afya kwa thread hii. Kwa mfano watu wanatafuta habari kutoka vyanzo tofauti tofauti na wanaleta hapa kwa lengo moja tu kujuwa nn kinaendelea Ukraine,kwa hiyo mm naomba mpunguze mumkari kwani wakushinda vita au kushindwa vita tutajua tu. Tusubiri dakika 90 za mtanange.
Natanguliza shukrani za dhati kwa Putin kwa kukubali kwake kutowadhuru na kuwasaidia wanafunzi wa kitanzania waliopo Ukraine.
 
Mzee unaanza kutupangia cha kuweka humu!? Wewe ni nani!?
 
Aaaah nimecheka kaM mazuri yaani Urusi leo ndo ya kuongea maneno ya kinyonge kama haya daah ajabu sana aisee kiukweli putini kawapeleka chaka ile mbaya yaani hamna hamu mlivyokuwa mkijitapa sasa apo mwanzo mwanzo wala hata hamkujua kama mngekutana na balaa la waukraini wenye uzalendo na nchi yao yaani kifupi ni kwamba mpKa sasa vita ikisitishwa basi mshindi ni Ukrain kataa ukubali
Unakumbuka mikwala ya Putin akiwaamrisha wanajeshi wa Ukraine wamtoe Rais wao,sijui alikuwa anadhani anaamrisha Houseboy wa nyumbani kwake,lahaula majibu anayopewa kwenye uwanja wa mapambano hadi mtu mzima anapanic na kukimbilia kwenye Nyuklia
 
Watu wote wanaokufa wanakufa kwasababu yenu'
Akiripotiwa kuzungumza kutoka katika ofisi yake katika mji mkuu Kyiv rais wa Ukraine Zelensky amelaani kutendo cha viongozi wa Nato cha ' kukataa Ijumaa kuanzisha eneo la anga ambalo ndege hazipai -no-fly-zone juu ya nchi yake.

Zelensky alisema: "Watu wote wanaokufa wanakufa kwasababu yenu, kuanzia leo, watakufa kwasababu yenu. Kwasababu ya udhaifu wenu, kwasababu ya kutoungana."

Aliendelea kusema kuwa: " Mkutano wa Nato ulifanyika leo. Mkutano dhaifu. Mkutano uliokanganyikiwa. Mkutano unaoonyesha kwamba sio kila mtu anayechukulia mapambano kwa ajili ya uhusu kwa Ulaya kuwa lengo namba moja.

"Mashirika yote ya ujasusi yan chi za Nato yanafahamu fika kuhusu mipango ya adui. Walithibitisha kuwa Urusi inataka kuendeleza mashambulizi.

"Kwa makusudi Nato iliamua kutofunga anga juu ya Ukraine. Nchi za Nato zimebuni fikra kwamba kufunga anga za juu ya Ukraine kutakuwqa ni uchokozi wa moja kwa moja dhidi wa Urusi dhidi ya Nato.

“Haya ni mawazo ya kipekee ya wale ambao ni dhaifu, wasio jiamini, licha ya ukweli kwamba wanamiliki silaha silaha ngingi zaidi ya zile tulizo nazo."

Zelensky baadaye aliuhutubia umati mkubwa wa waandamanaji wanaoendelea kuandamana katika mataifa ya Ulaya, akiwaambia waandamanaji : " Iwapo Ukraine haitanusurika, Ulaya yote haitanusurika.

"Kama Ukraine itaanguka, badi Ulaya nzima itaanguka."
Source:BBC
Uyo ndio comedian
 
Warusi wa Babati na Kateshi vip mpo tupeni habari ni mji gani hapo Ukrain wa maana mliofanikiwa kuukamata baada ya wiki moja na siku tatu za nyie kuanzisha vita

Aaaaah nacheka kama mazuri vile lakini daah warusi wa Hai mmepatwa na aibu sana kwa kweli kwa jinsi mlivyokuwaga mnajitapa kuwa mna jeshi lenye nguvu duniani na mmekutana na kipigo heavy kutoka kwa kitaifa kidogo kama Ukrain haya ni maajabu aisee

Urusi sasa mlipofikia hali ni mbaya zaidi ya kupiga tu mabomu ovyo ovyo na kupiga makazi ya Raia basi hakuna kingine cha maana mlichokipata kwenye hii vita mpaka sasa

Yaani ata jeshi lenu la anga ni mdebwedo kweli kweli , jeshi la majini ndo usiseme kabisa yote tisa kumi ni jeahi la ardhini kila likiiinua mguu linakula kipondo heavy kil likisogeza pua linakuala kipondo cha kufa mtu na ndo maana mpKa sasa mmeshindwa kufanya advancement ya maana yoyote ile
Asante Kwa hisani ya myukreni wa buza Yombo Kwa limboa🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom