LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huyo hapo baba yenu ameanza kuwalaani mpaka walio kuwa wana msaidia.View attachment 2139429

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
ilikuwa ni tatizo kubwa sana kuwaamini wamagaribi.lakini watu wajifunze. all in all, akili zao zimefumbwa ili kutimiza tu maandiko ya siku za mwisho. at the end of the day, jeshi kubwa toka mashariki litashuka mashariki ya kati pamoja na mpinga kristo. dunia imefika ukingoni, mwenye masikio ya kusikilia afue nguo zake katika Damu ya Mwana wa Kondoo, Yesu Kristo. nje ya hapo, kiuna aibu na kudharaulika milele katika ziwa la moto.
 
Angetaka Genocide mapema Sana .....
 
Kisu kinaanza kugonga mfupa taratibu. Somo litasomeka vizuri tu baadae.
 
Ngoja tukusaidie kukuza upeo wako, maana huwa wapiga makelele pasi na kujua uongealo

 
Hata mkiungana,mkiandamana,mkisua,mkitununia sisi tutashinda tu vita hii. MUNGU atufanyie wepesi
Mungu wa wapi tena atakaemfanyia wepesi Cousin wa Lucifer? Huyu Mungu atasimama daima siku zote na upande wa wanyonge ambao ni Ukraine,Russia anasimamiwa na Lucifer katika hii vita 🙂
 
Hoja yako ina msingi ila mambo ya drs la saba hayakuwa na umuhimu. Angekuelewa tu hata usingesema.
 
Tupe kwanza chanzo cha habari kinacho sema eti kinu cha Nukilia kime rudi kwa Ukraine.
Huyu hapa baba yenu kaanza kuwatukana mpaka wale walio kuwa wana msaidia hii ina maana ana hali mbaya sana.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wewe uko upande wa Russia na umetumia busara kulizungumzia Hilo suala?Pitia Uzi uone watu wanavyoshadadia....halafu kusema tuangalie Vita Kama movie hapo umepuyanga ndugu yangu
Kusema tuangalie vita kama muvi ni kwamba tusijihusishe sana mpk inafikia hatua watu wanakua na uhasama humu kisa vita visivyotuhusu unakuta watu wanazinguana wanapeana maneno makali wengine wanatukanana n.k

Sio vita vya Russia na Ukraine vifanye leo nikiona comment ya Joannah au T14 Armata kwenye uzi mwingine niwe bado nina ukakasi moyoni kwamba alishawahi kunitusi kwenye uzi wa vita vya Russia na Ukraine [emoji3][emoji3][emoji3] sisi tutoe tu maoni yetu tu turelax huo mtanange ni wao.

Amini kwamba wengine humu wanachangia kwa jokes wala hawako serious so tusichukulie too personal.

Tunajua kuna madhara ya moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja kutokana na vita kila mtu mwenye uelewa hilo lazma alione ila ni kwamba baadhi ya watu wana upande wanaotaka ushinde vita hii kwa sababu zake binafsi iwe mapenzi juu ya nchi flan/chuki juu ya nchi flan n.k. na wengine hawataki kusikia upande upi ushinde vita wao wanachotaka vita iishe waendelee na biashara zao mfano wapo wafanya biashara hapa tz wameathirika sana na vita hiyo walikua wanapeleka mboga mboga Ukraine so watu wana mitazamo tofauti.

 
Aliambiwa kitu kirahisi sana. Kuwa waambie wanajeshi wako waweke silaha chini. Lakini kajiona yeye anajua sana.

Sasa baada ya hapa kuna kesi zitamkabili. Huyu jamaa atanyea debe.
May be hakuliona hilo embu tuendelee kuwa wapenzi watazamaji tuombe tu yasije yakawa makubwa zaidi ya hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…