Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijajibu sababu naelewa mantiki ya swali lako linalenga kuonyesha udhaifu wa mfumo wa demokrasia ilihali mm nalinganisha huo mfumo na mifumo mingine ya kifalme.
Hapa tunaongelea mifumo ya kifalme tena!? Mzee mbona unabadikisha swali. Basi nataka uniambie Democrasia ya USA vs Democrasia ya Russia, maana zote hizi nchi mbili ni Republic.

Idadi ya kura zinazomuweka rais wa marekani madarakani na idadi zinazomuweka raisi wa Russia madarakani.
 
Aliyekuambia Ulaya au Marekani kuna what they call democracy ni nani,mbona mnadanganywa kama watoto!!??Fuatilia vizuri electoral process ya Marekani utagundua kwamba ni kiini macho tu,ila process yote inaishia "kuteuliwa" wale wanaotakiwa.

Mkuu hivii,Uingereza Malkia Elizabeth angetawala 70 years kama watawala wangeamini in democracy kweli,no let's come to our senses.Mbinguni kwenyewe hakuna democracy,sembuse duniani.The definition of Democracy "is ambiguous, hollow,with empty prominses and designed to cheat the population."
 
🇷🇺🗳 Cumulative turnout at the referendums on joining Russia after 3 days of voting:
  • 76.09% in the Luhansk People's Republic (more than 1 million voted in the LPR and 269,844 in Russia)
  • 77.12% in the Donetsk People's Republic (1.2 million voted)
  • 51.55% in Zaporizhzhia region
  • 48.91% in Kherson region (the outcome will be valid if the turnout tops 50%)
 
#Ukraine: Fighting in #Kharkiv Oblast continues - a Russian BMP-2 and BMP-3 infantry fighting vehicles were destroyed by the Ukrainian Air Assault Forces recently.

KHARKIV mapigano yanaendelea huu mji si mlisema kama RUSSIA aliutelekeza baada ya kipigo[emoji23][emoji16][emoji23]
Biibiisii nawa UKRAINE wa jf kiboko aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss, Hapa nalinganisha mfumo wa demokrasia na mifumo mingine na sio kuonyesha udhaifu wa demokrasia. Hakuna tofauti ya demokrasia ya Urusi na USA iwapo uchaguzi wa aliyepo madarakani uliwahusisha raia.
 
KHARKIV mapigano yanaendelea huu mji si mlisema kama RUSSIA aliutelekeza baada ya kipigo[emoji23][emoji16][emoji23]
Biibiisii nawa UKRAINE wa jf kiboko aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwaamini Vunjo na Kipala mkuu(I believe ni Kipara),wote wawili ni waongo kama baba yao Ibilisi.Like father like son.
 
Sijajibu sababu naelewa mantiki ya swali lako linalenga kuonyesha udhaifu wa mfumo wa demokrasia ilihali mm nalinganisha huo mfumo na mifumo mingine ya kifalme.
Anachotaka kukionesha Jesus Mlokozi sio udhaifu
Ila anataka kukuonesha kwamba US hakuna demokrasia
Haiwezekani wengi wapewe kama inavyhubiri demoghasia ila kwa US inakua kinyume chake
Yaani maamuzi ya wa US 300M yanaamuliwa na watu hawazidi 4k hapa hakuna demo hata robo ni ujanja ujanja tuuuu!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wanasema washakomboa huo mji?
Ndio nashangaa hapa jamaa anasema nn cjui [emoji23][emoji16][emoji23]
Biibiisii hata wakikwambia nn usiwaamini hata
Kifo cha yule dikteta wao walokua wanamwita malkia wao kama wasingetangaza vyombo vyengine nisinge waamini hata robo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du unaongelea malkin tena,unayajua majukumu ya malkia mkùu,au unadhani ndiye anaendesha uk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…