Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vijana wengi Pro-Russila hapa wanaijua Russia kupitia story za vijiweni tu
Sikia wewe bwana mdogo, nimeijua USSR toka iko mikononi mwa Nikita Krushchev ambaye mwaka 1956 alitumia maneno we will bury you akiwatishia viongozi na mabalozi wa nchi za Magharibi...yaani tutawazika!

Mimi nawachukia na siwapendi kabisa watawala mafashisti na madikteta katika umbo zao zote wawe weupe, wekundu au weusi tii kama Idi Amin Dada. Naisifia Marekani kwa kitu kimoja, uhuru na haki ya kutoa mawazo!

Mtu ama kikundi chochote kinachothubutu kujivika umungumtu na kudhani yeye ama wao peke yao ndio wenye haki ya kuongoza, nitawapinga. Ni katika msingi huo huo nasema adui mkubwa wa taifa letu ni moja tu, CCM.

Putin, pamoja na sifa zote za kijinga anazopewa na watu vilaza wasioijua Russia (si USSR tena) na viongozi wake, atapata anachokitafuta kama walivyowahi kupata madikteta wote waliomtangulia na watakaomfuata.

Juzi hapa Marekani katokea wannabe dictator moja kwa jina Donald Trump. Nadhani alidanganyika akisahau misingi imara waliyojiwekea hilo taifa kubwa la wahamiaji waliozikimbia nchi zao za asili wakitafuta fursa zaidi!

Alitamani sana awe kama huyo Putin na mafashisti wengine ambao wamewageuza wananchi wao kama mandondocha yasiyo na akili. Siyo Marekani, na kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo, unajua kwa sasa anachungulia nini.

The US has been very clear with the Russians publicly, and, as well as privately, to stop the loose talk about nuclear weapons. Any use of nuclear weapons would have catastrophic effects for, of course, the country using them!

Hilo ni onyo, sasa subiri huyo mwandawazimu aendelee...si muda mrefu atavuna anachopanda! Kama alivyotabiri mcheza chess maarufu aliyeikimbia Russia kwa sababu ya Putin, Gary Kasparov (RIP) that will be his end!
 
Tupe maana ya democracy acha maneno mengi yaliyo nje ya reli
Hii ndio maana wadanganyika mliyopewa!

A system of government by the whole population or all the eligible members of a state, typically through elected representatives.


 1.A system of government by the whole population or all the eligible members of a state-Hiki ni kitu ambacho hakiwezekani,labda kwa mjinga tu,na katika serikali zote duniani hii haiwezekani,it is a hollow promise based on lies.

2.typically through elected representatives-Hii pia ni empty words,it is never followed by action.Naweza kusema it is empty and hollow rhetoric.Again ni mjinga tu anayeweza kuamini ujinga huu.


The truth is infact far from that.Democracy means Demon Authority,Rule or Power.The word is coined from two Greek words,Daimon and Cracy.Cracy is authority or Power in Greek .Daimon is Demon.Maelezo mengine kinyume na haya ni uongo na kupindisha ukweli.

The word Democracy was wisely coined for an evil purpose and agenda,by combining forms occurring in loanwords from Greek ( aristocracy; democracy). On this model, cracy is used, with the meaning of “rule,” “government,” or governing body,” to form abstract nouns from other origins.

Amkeni,mmelala usingizi wa pono
.
 
Hpii ndio maana wa wadanganyika mliyopewa!

A system of government by the whole population or all the eligible members of a state, typically through elected representatives.

Tuichambue:-
 1.A system of government by the whole population or all the eligible members of a state-Hiki ni kitu ambacho lhakiwezekani,labda kwa mjinga tu,na katika serikali zote duniani hii haiwezeiani.
2.typically through elected representatives-Hii pia ni empty words,it is never followed by action.Naweza kusema it is empty and hollow rhetoric.Again ni mjinga tu anayeweza kuamini ujinga huo.


The truth is infact far from that.Democracy means Demon Authority.The word is coined from two words,Demon and Crasia.Crasia is authority in Latin.
Hakuna nchi ina democracy kwa asilimia mia ila ni mfumo unaofanya kazi na ni mfumo angalau unaowashirikisha wengi kuliko mifumo mingine.
Boss, Inaonekana ww ni mtu uliyeshika dini tena ya ulokole ndo huwa na hizi nadharia za kuhusisha mifumo na ushetani.
 
Hakuna nchi ina democracy kwa asilimia mia ila ni mfumo unaofanya kazi na ni mfumo angalau unaowashirikisha wengi kuliko mifumo mingine.
Boss, Inaonekana ww ni mtu uliyeshika dini tena ya ulokole ndo huwa na hizi nadharia za kuhusisha kila mfumo na ushetani.
Baba wa Democrasia Marekani wanopiga kura kumchagua raisi huwa ni wangapi!?.

Au niambie definition ya wengi kwenye population ni asilimia ngapi!?
 
Kwanza jifunze kuandika ili uweze kusomeka vizuri, je una haraka gani? Hebu angalia hizi facts halafu uzitafakari...
  1. The Russian American population in the US is estimated to be 3.13 million.
  2. The Chinese American population in the US is estimated to be 5.4 million
  3. The Indian American population in the US is estimated to be 4.6 million
  4. The Filipino American population in the US is estimated to be 4.2 million
  5. The Arab American population in the US is estimated to be 3.5 million
Hawa ni watu ambao wamelazimika kuzikimbia nchi zao za asili wakikataa tawala za kidikteta kwa fursa na usalama wao. Sasa na wewe nipe idadi ya Wamarekani waliokimbilia Urusi kwa sababu za kisiasa na kiuchumi!

Wewe hapo ukiletewa visa mbili uchague pa kwenda kati ya Russia na Marekani hata kama ni kwa kutembea tu utachagua wapi? Najua kwa unafiki ule wa Kitanzania si ajabu ukasema Russia! Huo utakuwa ni uenda wazimu, siyo kweli! Huwezi!
Kitu cha ajabu ni inakuwaje Marekani inaweza ishi na maadui zake ndani ya nchi yake na hawamletei shida...

Waarabu wengi wamekimbilia huko Marekani

Waarabu wa Buza wanaitusi Marekani, afu jioni wanaenda chukua condom za bure, vyandarua vya bure

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
⚡⚡⚡ Center-right wins Italian elections
▪️For the first time in history, the country will be led by a woman, the leader of the right-wing Brothers of Italy party, George Meloni;
▪️The winning coalition of centre-right forces unites the parties "Brothers of Italy", "League", "Forward Italy" and "We Moderates";
▪️It is already known that the current Italian Foreign Minister Di Maio will not get into the new parliament;
The Democratic Party of Italy admitted defeat. Its leaders announced that the party was going into opposition⚡⚡⚡
 
[emoji298]️ Blinken: US has plan in place if Russia uses nuclear weapons against Ukraine.

U.S. Secretary of State Antony Blinken told CBS News on Sept. 25 that the U.S. has made it clear to Russia that the consequences of using nuclear weapons would be “horrific.”

Blinken did not share how the U.S. would respond if Russia used nuclear weapons against Ukraine, but said the administration has a plan.
 
[emoji298]️ Ukrainian forces destroy 5 ammunition depots in southern Ukraine.

Ukraine’s Operational Command “South” reported that Ukrainian forces also killed 43 Russian troops and destroyed three tanks, a self-propelled artillery system, and nine armored vehicles on Sept. 25.
 
[emoji298]️Minister: Serbia won’t recognize Russian annexation ‘referendums’ in occupied Ukrainian areas.

Serbian Foreign Minister Nikola Selakovic said that Serbia, a country considered a close ally of Russia, would comply with international law and the UN Charter.

“(The annexation referendums) completely contradict our state and national interests, our policy of dealing with territorial integrity, sovereignty and the principle of inviolability of borders," Selakovic said.
 
Hpii ndio maana wa wadanganyika mliyopewa!

A system of government by the whole population or all the eligible members of a state, typically through elected representatives.

Tuichambue:-
 1.A system of government by the whole population or all the eligible members of a state-Hiki ni kitu ambacho lhakiwezekani,labda kwa mjinga tu,na katika serikali zote duniani hii haiwezeiani.
2.typically through elected representatives-Hii pia ni empty words,it is never followed by action.Naweza kusema it is empty and hollow rhetoric.Again ni mjinga tu anayeweza kuamini ujinga huo.


The truth is infact far from that.Democracy means Demon Authority.The word is coined from two Green words words,Daimon and kratos.Kratos is authority or Power in Greek .Maelezo mengine kinyume na haya ni uongo na kupindisha ukweli.
Hiyo ni maana uliyoikariri wewe hapo ulipokaa kama kiwete na si ajabu ukaamini kuwa hata hapa Tanzania kuna demokrasia kwa kuwa chaguzi hudaiwa kufanyika.

Fanya utafiti japo kidogo ujue demokrasia ni nini na ili iwepo vitu gani vinatakiwa vifanyike na masharti gani yanatakiwa yazingatiwe.

Nakuomba uepuke kudandia mijadala inayokuzidi kimo kwa ku-copy and paste kila aina ya takataka unayokutana nayo mtandaoni, grow up dude!
 
Hakuna nchi ina democracy kwa asilimia mia ila ni mfumo unaofanya kazi na ni mfumo angalau unaowashirikisha wengi kuliko mifumo mingine.
Boss, Inaonekana ww ni mtu uliyeshika dini tena ya ulokole ndo huwa na hizi nadharia za kuhusisha mifumo na ushetani.
Sija tanguliza ulokole hapo,huo ndio ukweli 100%.Kama hutaki kujifunza endelea kudanganyika.Halafuu,kwani wewe hujui kwamba Dunia is controlled by Satan,mbona hata mtu ambaye sio Mkristo analiona hili,unless you are dumb or burrying your head in the sand.
 
Hiyo ni maana uliyoikariri wewe hapo ulipokaa kama kiwete na si ajabu ukaamini kuwa hata hapa Tanzania kuna demokrasia kwa kuwa chaguzi hudaiwa kufanyika.

Fanya utafiti japo kidogo ujue demokrasia ni nini na ili iwepo vitu gani vinatakiwa vifanyike na masharti gani yanatakiwa yazingatiwe.

Nakuomba uepuke kudandia mijadala inayokuzidi kimo kwa ku-copy and paste kila aina ya takataka unayokutana nayo mtandaoni, grow up dude!
Nipe wewe basi maana ya "Democracy." Mimi hiyo niliyotoa
ndiyo niliyofundishwa Chuoni tena na wanaojiita "Professors." I call them "Professors of Lies." Laiti ungejua kwamba "most" of what we are taught in Schools,Colleges and Universities is actually fake!
 
The last kick of a dying horse....

Baada ya kuyakini kuwa Ukraine yapoteza rasmi kilomita za mraba zaidi ya laki moja na ushehe, Zelensky kwa hasira na jazba aamua kushambulia shule mojawapo kwenye Jamuhuri ya Watu wa Luhansk...

Mwambieni Zele kuwa teke la mnyama anayekata roho baada ya kuchinjwa, haliwezi kuwazuia wachinjaji kuendelea na michakato yao ya kumchuna mnyama huyo na kumla nyama...

SmartSelect_20220926-104532_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom