kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Labda naweza kubaliana na wewe tu kwamba urusi atayatambua hayo majimbo kuwa sehemu yake kupitia hiyo anayoiita referendum, lakini hiyo haimaanishi kwamba vita ya ukombozi itaisha..,Ndugu ngoja nikuambie kitu na usikilize kisha jaribu kuelewa.
Russia mpaka sasa ndo amedhibiti situation yaani "in control of situation" kiuchumi na kisiasa hiyo amini usiamini. Wanokisema Russia ni kwamba wakumbusha kuwa wao wanazo silaha za nyuklia na atakaejaribu kuchikonoa pale Donbas atapata majibu.
Marekani na NATO wanafahamu hilo na wajitahidi saana kuwaambia wananchi wao kuwa hali ni shwari lakini ndani ya US na nchi za EU kuna shida kubwa, shida ni nishati na gesi imepungua na bei imekuwa ya juu sana.
Kuna mwenzetu mmoja humu alieleza hilo na mimi pia nikaeleza kusudio la US na NATO na Putin pia kasema jana kwamba, lengo la hawa jamaa juu ya Russia ni nini.
Sasa Russia kashika Donbas na aenda ongeza "manpower" kulinda mali hiyo yaani "asset". Donbas ndugu ni asset ya Russia.
Hivyo hiyo ya kufanya mobilisation ni kilelelezo kwamba mission ya military operation yaenda kuwa accomplished hapo na ndo akasema atalamiza huu mgogoro asap.
Hivyo ikifika jumatatu yale majimbo manne yatakuwa ndani ya Russia na Ukraine ikijaribu kushambulia basi DUMA itatangaza "All Out War" dhihdi ya Majeshi yote yaliyo chini ya US na NATO.
Hatupendi vita wala tusishabikie vita, ila Vladimir Putin keshatoa onyo.
Kinofuata sote twafahamu.
Tusishabikie tu propaganda, tusome mchezo mzima kisha tuwasikilize pande zote.
Nimekuuliza tu swali dogo kwamba Crimea ilikuwa sehemu ya Russia tangu mwaka gani??
Mbona inachakazwa kila uchao mpaka Russia kakimbiza meli na ndege zake huko?
Hapa ujataka kutoa ufafanuzi [emoji848]