Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata apige ukraine yote kwa NUCLEAR hakuna wa kusogeza pua yake kwenye vita ya NUCLEAR.wewe unaona ni nani atakayeingilia kwenye vita ya nuclear?
Akipiga nyukria, urusi yote inageuka majivu ndani ya dakika kidogo tu.., kumbuka kila nchi ya NATO imeelekeza mitambo yake ya nyukria urusi,.., hivyo akijichanganya tu atagombaniwa kama mpira wa Kona

Nafikiri wakati huo taifa linaloitwa urusi litabaki historia dunian

Wanamsubiri ajichanganye..Wala hawatishiki na mikwara yake,
 
Walete hao 300K🤔
Recent updates as of 22.09👇
FB_IMG_1663865876583.jpg
 
Kila nikikumbuka Yale maconvoy ya magari ya kivita wanajeshi na silaha kuelekea Kyiv km 65 nacheka Sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hebu warusi WA namtumbo mtuambie Ile misululu ya kwenda kumng'oa zelensky na genge lake iliishia wapi ?
Msijifanye hatukumbuki hebu mtuambie [emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pumbaf
Vita kwenye battle fronts ingekuwa inashindwa Kwa mikwara Russia wangekuwa wanaelekea kuiteka Poland sasa hivi na Finland
 
Russian men are going to need a second plane ticket to avoid mobilization.[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ Kazakhstan won't issue residency permits to Russians without Kremlin approval.

Kazakhstan's parliament speaker Maulen Ashimbaev said on Sept. 22 that the country wouldn't provide permanent residence permits to Russians without the Kremlin's agreement.
 
[emoji298]️ Finland arrests assets of Russian businessmen Arkady Volozh, gas tycoons Boris and Arkady Rotenberg.

Helsingin Sanomat reported that authorities arrest the holdings of Russia's technology company Yandex after the EU added company’s CEO Arkady Volozh to its sanctions list.

Excellent.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Send the money to Ukraine.
 
Shida sio kuwa nazo shida upo tayari kufa kwa ajili ya taifa la UKRAINE?.

Mfano mzuri wewe upo tayari kufa kwa ajili ya UKRAINE?

Unategemea USA atangaze vita ya Nuclear na URUSI kwa sababu ya UKRAINE?.

USITEGEMEE ICHO KITU
USA akitangaza vita ya nyukria hapo automatically mataifa yote yenye nyukria ya NATO ikiwemo France na england zitahusika..,

Hapo urusi atagombaniwa kama mpira wa Kona na kitakachofuata ni kufutika kwenye uso wa dunia,
 
#Ukraine: Further Russian losses in the vicinity of Bilohorivka, #Luhansk Oblast; a BMP-2 IFV captured, plus T-72B tank, BMP-1 IFV and BTR-82A APC all destroyed. Two tanks and an MT-LB can also be seen, but it is unclear of date/what side operated them.

Ila shabaha ya hizi HIMARS ni balaa na Nusu

#Ukraine: Previously unseen and very rare footage of the moment of impact of two M31A1 GMRLS missiles fired from the HIMARS/M270 system hitting a Russian ammunition staging point in #Kharkiv Oblast. At least one vehicle is seen to be destroyed as the munitions detonate.

Wako busy na referendum huku Ukraine akizidi kuwatembezea kichapo [emoji2]
 
Ila shabaha ya hizi HIMARS ni balaa na Nusu

#Ukraine: Previously unseen and very rare footage of the moment of impact of two M31A1 GMRLS missiles fired from the HIMARS/M270 system hitting a Russian ammunition staging point in #Kharkiv Oblast. At least one vehicle is seen to be destroyed as the munitions detonate.

Wazee wa referendum mkujeni hukuuu [emoji2]

Super pawer wa mchongo anazidi kupelekewa moto [emoji91]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu acheni kunichekesha.ivi dunia hii kuna mtu gani mwenye ujasiri wa kwenda kuipiga URUSI.ULAYA itangamia na MAREKANI pia itangamia.mshindi atqkayebaki labda akaishi mwezini

Back
Top Bottom