Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila Russia Kwa visingizio ni balaa,hii vita imewavua nguo nadhani zile mbwembwe za kubrag silaha zao sasa zitapungua

1) Walipofurushwa Kiev; Wakasema Nia Yao haikua kuikamata Kiev Bali ni Donbas na Luhansk,kama Nia Yao ilikua ni Donbas kwann walikua wanapeleka msafara wa vifaa vizito vya Kiev?!
Wale Askari WA miamvuli walioshuka pale Kiev usiku wa February walifata nini kama nia Yao haikua kukamata mji Mkuu? Au walienda kufanya birthday party na Zelenksy [emoji23][emoji23][emoji23]

2) Moskva ilipozamishwa: Walisema ni ajali ya Moto,kama ni ajali ya Moto kwanini baada ya Moskva kuzamishwa waliondoa Meli zao na kuzikimbiza karibu na Sevastopol?!

3) Baada ya Crimea kulipuliwa: Walisema ni ajali na sio shambulizi,lakini cha ajabu baada ya shambulizi lile Urusi iliondoa ndege zake zote kutoka Crimea,Mmmmh Strange!!!!

4) Baada ya kukimbia Snake Island: Baada ya kukimbia Snake Island walisema eti wameondoka Kwa Nia njema,kama ilikua Nia njema kwanini walikua wanataka kuweka mifumo ya kudaka Makombora pale lakini baada ya Meli iliyobeba huo mfumo kulipuliwa wakatangaza wanaondoka Snake Island kuonyesha Nia njema Kwa Ukraine [emoji23]

5) Baada ya Ukraine kuwachakaza kwenye uwanja WA vita: Wakasema kwamba hawapigani na Ukraine Bali na NATO,hivi NATO ana wanajeshi kule Ukraine?![emoji848][emoji134]

6) Na sasa kuna hii Referendum,ngoja tusubiri watakuja na kisingizio gani!!!!!

TUUPE MUDA NAFASI.

*"This is not a bluff" in Putin's voice [emoji23]
 
6) Na sasa kuna hii Referendum,ngoja tusubiri watakuja na sababu gani!!!!!

TUUPE MUDA NAFASI.

*"This is not a bluff" in Putin's voice [emoji23]
Russia wameaibika saana kwa Ukraine
 
Hivi ushawahi sikia Marekani anatishia Nuclear?! Nakumbuka Trump alitishia kuifuta NK kwenye hotuba yake ya UN alishambuliwa nchi nzima ikiwemo wanachama wenzake wa Republican. Marekani haina haja ya kusema Sana kuhusu uwezo wake wa nyuklia sababu unajulikana,tuje sasa kwa Urusi kila siku anatishia Nuclear,je haamini uwezo wa silaha zake?!

Alikua akisifu uwezo wa silaha zake lakini zimeprove failure vitani sio Ndege wala helicopters, nakumbuka wakati wa operation Desert storm Apache helicopters zilikua zinafanya SEAD operation,njoo sasa kwa Urusi Ka-52 helicopters kila siku zinapopolewa kama kumbikumbi. Njoo kwenye ndege sasa,si Su-35 au ndege yoyote ya Urusi inayothubutu kuingia anga la Ukraine,maana ikinusa tu inashushwa. Vifaru vyake alivyokua anavisifia hakuna ambacho kinapona dhidi ya ATGMs. Air defenses zake zimeprove failure kudaka vikombora kama vya Himars,kila siku ammunition depots zake zinalipuliwa,madaraja yanalipuliwa mpaka anakimbilia kutumia pontoon bridge sababu SAMs hazifanyi kazi ipasavyo kuzuia Makombora ya adui.
Urusi imechomoa mpaka S-300 iliyoipeleka Syria kuileta Ukraine,imechomoa baadhi ya Air defenses ambazo zilikua zinalinda miji kama St Petersburg na kuzipeleka Ukraine,je hii INA maana zile za mwanzo zimelipuliwa na HARMS za Ukraine?!

Halafu Putin anatuambia eti silaha zake zimewapita mbali West Kwa Miongo kadhaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. INASIKITISHA NA KUFURAHISHA.

*" This is not a bluff" in Putin's voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mihemko at best [emoji1787]

"Ulishawahi kusikia marekani inatishia kutumia nuclear" alafu hapo hapo "Trump alivyotishia kuifuta NK..."

Trump akitishia sio marekani imetishia ni Trump. Sasa ili iwe ni marekani imetishia inatakiwa nani ndio aseme!? Trump wakati anatoa hivyo vitisho si alikuwa ni raisi wa US!?

FYI

In 1950, President Truman publicly stated that the use of nuclear weapons was under "active consideration" against Chinese targets during the Korean War.

In 1953, President Eisenhower threatened the use of nuclear weapons to end the Korean War if the Chinese refused to negotiate.

In 2002, the George W. Bush administration declared that it was prepared to strike with nuclear missiles against Iraq if biological or chemical weapons were used against American troops or their allies during the Iraq War.

On January 2, 2018, US President Donald Trump threatened North Korea that the US has much more nuclear firepower than North Korea in response to a press release stating that a "nuclear button is on Kim Jong-un's desk at all times.

Us hajawahi kutishia kutumia nuke!?? Tena yeye ndio anaeongoza kwa kutoa vitisho.

Punguza mihemko!!!

Unapiga kelele sana silaha za urusi zimeprove failure sijui blah blah gani. Lots of talking but nothing said. Hizo silaha zilizoprove failure ndio zimechukua mikoa mitano ya Ukraine mpaka sasa licha ya upinzani kutoka Nato, eu na Ukraine mwenyewe. 110k kmsq and counting. That is a proof for failed weapons [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa triga, ila kwa Tsh anayetumia akili ya kawaida kabisa na asiye na uelewa wa mambo ya kivita, maeneo aliyochukua kimabavu ni sehemu ya kipimo cha mshindi.

Ukiwa msomaji zaidi kuna mambo mengi unayaona, na ninachokiona hapa ni kwamba Urusi ina nia ya kumaliza hii vita kwa mtindo wa kuyakalia maeneo aliyoyateka na kusema si sehemu ya Ukraine.

Kwamba Hii ilikuwa ni objective tangu mwanzo au kabadili gia hilo siwezi thibitisha, ninachosubiri kuona ni je ardhi aliyoiba Urusi itashambuliwa na Ukraine? Kama ndio atafanyaje? MUDA UTASEMA.
Point of correction

Hajaiba ardhi bwana. Wenye ardhi yao ndio wameamua.
 
Nilishawai kusema humu ndani kuwa NATO kwa sasa wako kwenye “Panic mode” hawajui nini cha kufanya maana plan zao zilishafeli pale Ukraine. Wameishia kukimbilia media wengine UN wengine wanasema hivi wengine hv yaani wamechanganyikiwa unaweza ukawaonea huruma.

Tukianza kurefer matukio ya nyuma wakati wametia sanctions zao Russia walitulia kimya wakaja na Ruble tuliona jinsi walivyo haha hio ilikua kete ya moto.

Russia wamekuja na referendum za maeneo waliyoshikilia ambayo yanakwenda kuwa RF, West wamepoteana sana bila shaka kuna watu wamelia sana yaani wamechanganyikiwa hatari[emoji23][emoji23][emoji23].

Russia wana viongozi intelligents sana embu fikiria nchi moja ina fanya mataifa makubwa hapa duniani yanapiga kelele mpaka yanakimbilia kupata huruma UN how powerful Russia is????

Endeleeni kukaririshwa Russia ni maskini, mara hana uwezo wa kudumu kwenye vita zaid ya week, mara magari yake hayana mafuta yani blah blaah na propaganda ndo media zao wanajua.

Hapa ndo mjue Russia ndo taifa pekee linaloweza kuwanyamazisha west pamoja na kuunda NATO yao lakini bado wanashindwa kupambana na Russia. Mnaona UN kama haipo sahv West ndo wamekua wasemaji wa UN[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
MULTIPOLAR WORLD [emoji736]
 
Mihemko at best [emoji1787]

"Ulishawahi kusikia marekani inatishia kutumia nuclear" alafu hapo hapo "Trump alivyotishia kuifuta NK..."

Trump akitishia sio marekani imetishia ni Trump. Sasa ili iwe ni marekani imetishia inatakiwa nani ndio aseme!? Trump wakati anatoa hivyo vitisho si alikuwa ni raisi wa US!?

FYI

In 1950, President Truman publicly stated that the use of nuclear weapons was under "active consideration" against Chinese targets during the Korean War.

In 1953, President Eisenhower threatened the use of nuclear weapons to end the Korean War if the Chinese refused to negotiate.

In 2002, the George W. Bush administration declared that it was prepared to strike with nuclear missiles against Iraq if biological or chemical weapons were used against American troops or their allies during the Iraq War.

On January 2, 2018, US President Donald Trump threatened North Korea that the US has much more nuclear firepower than North Korea in response to a press release stating that a "nuclear button is on Kim Jong-un's desk at all times.

Us hajawahi kutishia kutumia nuke!?? Tena yeye ndio anaeongoza kwa kutoa vitisho.

Punguza mihemko!!!

Unapiga kelele sana silaha za urusi zimeprove failure sijui blah blah gani. Lots of talking but nothing said. Hizo silaha zilizoprove failure ndio zimechukua mikoa mitano ya Ukraine mpaka sasa licha ya upinzani kutoka Nato, eu na Ukraine mwenyewe. 110k kmsq and counting. That is a proof for failed weapons [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha....kijana 'wa Putin kasema' upo[emoji23][emoji23][emoji23]

"This is not a bluff" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jazba ya nini wakati ukraine anazidi kusoma mbele
Na Leo sijamuona manning na Ile article yake ya Kila siku kutoka Russian ministry of defense, sijui nini kimemsibu[emoji1787][emoji1787]
Mbona Russia anasonga mbele pia. Hii vita ipo pande nyingi . KILA mmoja anasonga kwa urefu wa kamba na malisho anayopenda. Sie tunasonga kwenye assets nyie mnaongeza tu uwanda
 
Nilishawai kusema humu ndani kuwa NATO kwa sasa wako kwenye “Panic mode” hawajui nini cha kufanya maana plan zao zilishafeli pale Ukraine. Wameishia kukimbilia media wengine UN wengine wanasema hivi wengine hv yaani wamechanganyikiwa unaweza ukawaonea huruma.

Tukianza kurefer matukio ya nyuma wakati wametia sanctions zao Russia walitulia kimya wakaja na Ruble tuliona jinsi walivyo haha hio ilikua kete ya moto.

Russia wamekuja na referendum za maeneo waliyoshikilia ambayo yanakwenda kuwa RF, West wamepoteana sana bila shaka kuna watu wamelia sana yaani wamechanganyikiwa hatari[emoji23][emoji23][emoji23].

Russia wana viongozi intelligents sana embu fikiria nchi moja ina fanya mataifa makubwa hapa duniani yanapiga kelele mpaka yanakimbilia kupata huruma UN how powerful Russia is????

Endeleeni kukaririshwa Russia ni maskini, mara hana uwezo wa kudumu kwenye vita zaid ya week, mara magari yake hayana mafuta yani blah blaah na propaganda ndo media zao wanajua.

Hapa ndo mjue Russia ndo taifa pekee linaloweza kuwanyamazisha west pamoja na kuunda NATO yao lakini bado wanashindwa kupambana na Russia. Mnaona UN kama haipo sahv West ndo wamekua wasemaji wa UN[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
MULTIPOLAR WORLD [emoji736]
Mwanangu!
Umefunguka kinyama.
 
Hahahaha....kijana 'wa Putin kasema' upo[emoji23][emoji23][emoji23]

"This is not a bluff" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo,

Naona na wewe Kijana wa "op imefeli..., putin anahaha..., kama haijafeli kwa nini..., silaha za urusi zimeprove failure..." upo

Ushawahi kusikia US anatishia kutumia nuclear!? [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mihemko at best [emoji1787]

"Ulishawahi kusikia marekani inatishia kutumia nuclear" alafu hapo hapo "Trump alivyotishia kuifuta NK..."

Trump akitishia sio marekani imetishia ni Trump. Sasa ili iwe ni marekani imetishia inatakiwa nani ndio aseme!? Trump wakati anatoa hivyo vitisho si alikuwa ni raisi wa US!?

FYI

In 1950, President Truman publicly stated that the use of nuclear weapons was under "active consideration" against Chinese targets during the Korean War.

In 1953, President Eisenhower threatened the use of nuclear weapons to end the Korean War if the Chinese refused to negotiate.

In 2002, the George W. Bush administration declared that it was prepared to strike with nuclear missiles against Iraq if biological or chemical weapons were used against American troops or their allies during the Iraq War.

On January 2, 2018, US President Donald Trump threatened North Korea that the US has much more nuclear firepower than North Korea in response to a press release stating that a "nuclear button is on Kim Jong-un's desk at all times.

Us hajawahi kutishia kutumia nuke!?? Tena yeye ndio anaeongoza kwa kutoa vitisho.

Punguza mihemko!!!

Unapiga kelele sana silaha za urusi zimeprove failure sijui blah blah gani. Lots of talking but nothing said. Hizo silaha zilizoprove failure ndio zimechukua mikoa mitano ya Ukraine mpaka sasa licha ya upinzani kutoka Nato, eu na Ukraine mwenyewe. 110k kmsq and counting. That is a proof for failed weapons [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akikujibu kwa namna yoyote ile iwe kukubaliana na wewe au kutafuta visingizio atakuwa hana aibu. Hizi nondo ulizompa ni za kupitia kimya kimya unakula buyu, unaacha members kama 200 wachangie ndo unarudi kwenye uzi
 
#Ukraine: The Russian army lost three extremely rare T-72B3 obr. 2014 tanks developed specially for their tank biathlon during that infamous attack near Bohorodychne, #Donetsk Oblast.
Two were destroyed and another one captured by the Ukrainian army.
twitter.com/UAWeapons/stat…

1663872006835.png

Theses of the statement of the head of the US Strategic Command, Charles Richard
:
Possibility of direct nuclear conflict with Russia or China seems real
Russia and China can achieve any level of violence anywhere in the world.
The United States hasn't faced such enemies in a long time
.
As the threat from China continues to grow, we need to implement a very good strategy against it
We don't know how this will end as the threat from Russia also continues to grow
 
According to a VTsIOM poll, 95% of the residents of the DPR and LPR support the entry of the republics into Russia. Given Ukrainian terrorism, these figures are never surprising. There is reason to believe that in the LDNR the numbers will exceed even the peak figures of the Crimean referendum.
 
Israeli Liberal Prime-Minister Yair Lapid, is set to tell the United Nations says that Israel remains committed to a two-state resolution to the Israeli-Palestinian conflict, thus creating an independent Palestinian State, alongside an Independent Israeli State, a major change in Israeli Foreign Policy in decades! This is the second time the Israeli liberal leader has spoken of doing a 2-state solution, arguing that this is the only way that "Israel would remain a Jewish majority state" and that "Peace would reign over the Holy Land"
 
Back
Top Bottom