Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Okey: humu ndani kale kaugomvi ka wazalendo kutupiana tumatusi twa hapa na pale naona upepo umebadilika.
Kipimo cha ushindi kwa kutazama objectives kama dimilitarization si hoja tena, hoja hapa sasa ni baada ya kura iwapo maeneo mapya ya Urusi yatashambuliwa, yakishambuliwa tafsiri ni kwamba Urusi imeshambuliwa.
Yale mambo ya kwanza yamefutika tu vuup, na mm nasema tuachane nayo sababu hakuna namna, sasa kipimo cha ushindi ni iwapo kuna atakayeweza kugusa ardhi mpya ya Urusi baada ya kura.
MUDA UTASEMA.