Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

06C187E6-BBD1-44B3-A080-CCE72D1C92C9.jpeg
 
Well, Crimea ilichukuliwa na Russia mwaka 2014 na malengo khasa ni ulinzi wa Russia kwa sehemu hiyo ya kusini magharibi kwa zile manowari zake kwenye bahari ya Kusini yaani Black Sea Fleet na zikawa zaegeshwa pale bandari ndogo na "back-up" ya Sevastopol.

Kama wafuatilia pale mwanzoni mwa vita Russia ilitumia hizi manowari kutupa makombora ya Kalibr na kisha manowari zikaegeshwa pale Odesa.

Lakini kwa kuwa hizi manowari ni "assets" nyeti za Russia mashambulizi ya Ukraine yalikuwa na lengo la kuharibu hizi manowari na kuondoa uwezo wa Russia kutupa makombora ya Kalibr.

Ni kweli Ukraine ilikuwa ikishambulia Crimea kwa malengo nilosema hapo juu lakini kuanzia September hadi leo, hatujasikia tena Ukraine ikishambulia Crimea kwani hakuna cha kuharibu.

Crimea ni kama Kigamboni hapa Tanzania hivyo Russia yasema ni sehemu yake na Ukraine yasema yataka kuirudisha.

Lakini ukweli utabaki kuwa kuanzia Jumatatu Crimea itajiunga na yale majimbo mengine manne na kuwa matano yalo chini ya Russia.
we jamaa naona unajaribu kulikwepa swali kimasihala tu,
Mimi sijakataa kwamba hayo majimbo yatajiunga na Russia na kutambulika Kama sehemu ya Russia.., lakini swali la msingi ni kwamba yakijiunga na urusi ndo mashambulizi ya Ukraine yatakoma?

Russia illiitambua Crimea kama sehemu ya Russia tangu mwaka 2014 lakini hiyo haikuzuia Crimea kuchakazwa, na hakuna kitu Russia alifanya zaidi ya kukimbiza meli na ndege zake huko,

Hivyo basi; hata luhansik, Donetsk , kheson,zapozhia, na kwingineko,watapiga hiyo kura Yao bandia ya kuwa sehemu ya Russia..,na watafanikiwa kufanya hivyo.

Swali ni kwamba atua hiyo itazuia wazalendo wa Ukraine kuendelea kupigana kukomboa ardhi Yao?
Putin anajaribu kutishia, nyukria.., lakini akifika hatua hiyo anawapa sababu nzuri watesi wake kuzama ndani zaidi

Na sidhani kwamba hata kama Putin ni kichaa anaweza kudhubutu kujitoa muanga kiasi hicho maana atashughulikiwa vilivyo..,na staili ya kumshughulikia itakuwa ni kama kumuua nyoka aliyekuingilia ndani kwako,...yaani hata kama ni screen unayoipenda au chochote kilichopo mbele yako utapiga tu Ili mradi umuwahi huyo nyoka kabla hajakuwai
 
Mbona unakichwa kigumu kuelewa iyo inshu wakati ipo wazi tu.Putin anauwezo wa kutumia silaha ya nuclear endapo ardhi ya URUSI itashambuliwa.kwa iyo hayo majimbo yakiwa URUSI ina maana umeshambulia URUSI,kwa iyo hapo tegemea muda wowote ule kutupiwa kitu kizito.

Mkuu kula tano.

Nakushukuru kwa msaada wako nadhani jamaa ataelewa.
 
Tukichukuamfano wako: kama Kenya imepeleka jeshi lake katika mikoa hii ya TZ na TZ inaendelea kupinga, Kenya inaweza kugushi kura na kusema "Watu wanataka kuwa Wakenya, tunawapokea".

Ila kama nguvu ya jeshi haitoshi kitetea maeneo hayo, itasaidia nini`? Tena kama hakuna nchi inayotambua kuchukuliwa kwa mikoa hii - Kenya itabaki kama mhuni atakayeona matatizo mengi kuishi na majirani mengine . . . .

Huko Urusi tuna hatua ya propaganda inayolenga kumsaidia Putin kubadilisha lugha yake an kuanza kulazimisha raia wake kushiriki katia vita hiyo.
Hapa ana ona changamoto mbili:
a) kuepukana na upinzani wa ndani - hii tutaona! (wangapi watatoroka, kujificha, kupinga, kuandamana??)
b) kuwaandaa kwa vita - hadi sasa nasikia tu sauti nyingi zinazosema: hana uwezo kuwaandaa maana nani awafundishe? Tena: Kuwapa silaha na vifaa vya kutosha... Kuanzia buti, sare, nguo za baridi, kofia.......
Wewe mtu unaubishi wa kijinga sana....huo mgogoro wa hayo maeneo huwezi kuuelewa mpaka urudie historia ya nyuma...(Wewe unafikiri kwa nini wananchi wa hayo maeneo wanakubaliana na wavamizi yaani Urusi...?Hivi unafikiri Urusi ingeweza kuandaa referendum Kiev au Lviv au mikoa mingine ya magharibi??Unajua ni kwa nini tangu mwaka 2014 Kiev inapigana na hao watu wa mashariki, Unajua hata Minsk Agreement kwa nini ilikuwepo???

Pili achana na habari sijui za kukosa viatu, sijui nguo etc....
 
Mbona unakichwa kigumu kuelewa iyo inshu wakati ipo wazi tu.Putin anauwezo wa kutumia silaha ya nuclear endapo ardhi ya URUSI itashambuliwa.kwa iyo hayo majimbo yakiwa URUSI ina maana umeshambulia URUSI,kwa iyo hapo tegemea muda wowote ule kutupiwa kitu kizito.
Na hapo ndo anasubiriwa kwa hamu Ili achakazwe vizuri [emoji41]
Sasa hivi hakuna sababu yenye mashiko kuingia mazima kumnyoosha,
 
Hivi why putin huwa anatishia nuclear? Haamin conventional power yake?
Anatishia kwa sababu anayo, aliitengeneza ili aitumie na katika matumizi yake ni pamoja na kutishia.

Alaf kwa mujibu wa Putin mwenyewe West ndio wameanza 'kutishia' matumizi ya nuclear dhidi ya urusi so alikuwa anawajibu tu.

Amesema hivi kuhusu Nuclear weapons

“Nuclear blackmail has also been used. We are talking not only about the shelling of the Zaporizhzhia nuclear plant – encouraged by the West – which threatens to cause a nuclear catastrophe but also about statements from senior representatives of NATO countries about the possibility and permissibility of using weapons of mass destruction against Russia"

Na yeye akawajibu

"I would like to remind those who make such statements about Russia that our country also possesses various means of destruction, and in some cases, they are more modern than those of NATO countries. When the territorial integrity of our country is threatened, we, of course, will use all the means at our disposal to protect Russia and our people.

“This is not a bluff. And those who try to blackmail us with nuclear weapons should know that the weathervane can turn and point towards them.”
 
Putin atishia nyuklia kujibu vitisho vinotolewa na nchi za magharibi kutumia nyuklia kuishambulia Russia.

Wachambuzi wa kijeshi wa Marekani na Uingereza na wa nchi zingine wamesema wazi kuwa ikiwezekana nyuklia itumike.

Hata huyo waziri mkuu wa UK Liz Truss alipokuwa akigombea nafasi hiyo aliulizwa na wanahabari juu ya kutumia nyuklia dhidi ya Russia na akasema hatosita.

Sasa Putin nae akisema hivyo kuwa ana nyenzo zote zilojitosheleza anakosea wapi?

Soma tena alokisema Putin jana ambacho hakijachakachuliwa.
Bora umemjibu mkuu. Nimemuwekea na quote ya putin kbs. Ile alikuwa anawajibu wao ndio walianza kutishia matumizi ya nuclear
 
Unaijua Nuclear vizuri au unaisikia maana tusije kuwa tunaongea kumbe hata madhara ya nuclear uyajui.nuclear ikipigwa Dar es salaam basi uwo mji mpaka ipite miaka elfu 10 ndo miyonzi ya nuclear inaisha.

Kwa maana iyo hakutakuwa na makazi,viwanda wala kilimo kwenye ilo eneo.kiujumla maisha yanakuwa yamefika mwisho kwenye ilo eneo.
Anasubiri nini kutumia nyukria, wakati Crimea hambayo tayari ni sehemu ya urusi tangu 2014 inazidi kuchakazwa..,
Wajanja wanamsubiri kwa hamu ajichanganye Ili wapate nafasi ya kuifuta urusi kwenye uso wa dunia,
 
Tangu Pro russia wa huu uzi waseme kuanzia jumatatu iliyopita ukraine atauona moto na imepita week sasa mtu mzima anatangaza mobilization kwa SMO yake basi siwaamini tena na wala sipotezi muda wangu kuwazingatia nachukulia kama kijiwe cha kahawa tu. kp kipanya44 ,vunjo na FUSO
Hawa jamaa Wana mikwara balaa .,Sasa hivi wamekuja na huu wimbo wao mpya wa mobilization na blah blah nyingi..,ninachoona hapa ni kwamba iyo mobilization itafanyika ..., matokeo ya referendum yatatangazwa. ,huku Ukraine akiendelea kutembeza kichapo kama kawaida
Walituambia..., judgement day...,olaa,

Atakayewasaidia Ukraine atakiona Cha moto.., olaa

Wakatoa muda kwa majeshi ya Ukraine kujisalimisha..olaa

Jumatatu Ukraine yote itageuka majivu..,olaa

Yaani wamegeuka kuwa comedian [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom