Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa wewe Jesus, labda unaweza kutuambia USA alifuata nini Vietnam? Kweli haikushangazi hata kidogo unapoona maendeleo ya Korea Kusini? China mwenyewe baada ya Mao Tse Tung waliamua kuwa kila mwaka wanapeleka vijana wasiopungua 200,000 kusoma Marekani.

Pamoja na baadhi ya vijana hao kuzamia huko Marekani lakini waliorudi China walipokelewa kama Wafalme na kupewa mitaji mikubwa mikubwa watumie akili walizopata huko kufungua viwanda vya teknolojia. Huo ndio msingi wa maendeleo ya teknolojia huko China.

Hadi leo hii China ndio inaongoza kwa kuwapeleka vijana kusoma Marekani na wakirudi wanakuwa mtaji mkubwa. Linalowaangusha China ni udanganyifu hasa pale wanapotengeneza bidhaa zisizo na viwango na kuvisukumiza kwa nchi masikini kama zetu.

Halafu sisi kama mazezeta tunapokea tu...thubutu hizo bidhaa zikanyage Marekani. Bidhaa za kutoka China kwenda Marekani ni bidhaa zenye viwango bora kabisa. Halafu tunasifia uchumi wa China na kusahau ni sisi hao hao tunaokuza huo uchumi kwa kuagiza bidhaa feki.
Swali simple tu nimekuuliza unaleta maelezo mareefu. Nimekuuliza verification ipi inayoonesha kuwa USA alikuwa anatetea raia wema!? Hao ni raia wema kwa Mungu au raia wema kwa Marekani!?
 
Baded on what statisticts? Embu weka namba hapa
Jumlisha Sasa silaha za NATO
images.jpg
 
Nenda jkt kama unataka kujifunza uzi mliharibu wenyewe kuleta mihemuko kumsifia Putin na kumbe ni ujinga
Hawa wapuuzi walitaka kuona Uzi ukiendelea kujazwa na article zao za kubumba zinazomsifia fashisti wao,

Wanaumia sana kuona hili halijafanikiwa wanasahau kwamba jamiiforum ni jukwaa huru la watu wote

Washenzi kweli Hawa[emoji848]
 
Siko upande wa yoyote lakini nikuambie tu west hawajashindwa kwenda ukraine. West ni wanachoogopa ni kunyooshewa vidole, ili image zao zisichafuke tena kama gulf war.

And usidhani kuwa west hawana nuclear wa heads pia. Wanazo nyingi tu.. difference is madhara ya nuclear ni makubwa kuliko faida.

Is why wana nyemeleana si cha russia wala west. Ni kuchimbama biti tu. In reality hakuna anaetaka nuclear war
mpaka hapo umeshaonesha tayari kua uko upande Gani.

Kuogopa madhara ya vita au nyukilia ndio kuogopa kwenyewe huko.
 
Sasa ndio wajaze lenzi zote hizo. Kwanini wasichukue lenzi moja au mbili yenye uwezo halisi, badala yake hawawezi zipata wanaishia kupata civilians parts ambazo hazina uwezo wa kufanya kazi hiyo. Tatizo ni vikwazo, hata Uturuki lenzi za drones nyingi walinunua Canada.

Effectiveness ya kuungaunga hivi inakuwa ndogo
Kazi yake hiyo
20220922_133126.jpg
 
Russia has a lot of agents in our defense sector, Moscow partially understands the next steps of the Armed Forces of Ukraine as a result of the actions of enemy agents - Reuters, citing the representative of the President of Ukraine in the Verkhovna Rada
Yaani hawa Ukraine isijekuwa hata Zelensky ni agent wa Urusi...usikute anachokifanya hapo anaelewa kabisa....kuigawa Ukraine vipande...Wewe mtu gani hataki kukaa chini na kuzungumza??anakomaa kama hana akili vile
 
Head of the Office of the President of Ukraine, Andrei Yermak says that 5 commanders of the Armed Forces of Ukraine captured at Azovstal were exchanged for 55 Russian POWs
aisee hii vita iishe jamani Hivi Hawa commander's ni kama wale wa sherehe za uhuru, kumuua komando ni wastage hivi zile stori za vijiweni kwamba komando wa nchi Fulani akikutana na komando mpinzani vitani hawauani ni kweli?
 
Back
Top Bottom