Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

😂😂😂😂😂😂 Daaah!!!!!

Kuna swali linalosema operation ya mrusi imefail, jibu ni kuwa inafail vipi wakati bado inaendelea?????, Au kama kuna mtu anaweza kuleta tangazo official la urusi kumaliza special operation hapo Ukraine mwambie atupe
Ila ninachojua kuwa operation imefanikiwa Kwa kiasi kikubwa maana kwenye malengo ya operation hakukua na suala la kuongeza ukubwa wa nchi ya Russia lakini naona limefanyika
Suala la kuipunguza Ukraine uwezo wa kejeshi amefanikiwa Ila kinachoendelea sasa ni west kumpa mikopo mikubwa ya silaha Ukraine na urusi sasa kaamua kulishughulikia hilo, ndiyo maana ya kusema "collective west"

Pili kuna hoja ya kuwa urusi Askari wake wengi wamekufa ndiyo maana kakusanya Askari 300,000, ukweli urusi imewakusanya hao wanajeshi kutokana na referendum inayoendelea maana yake hiyo mikoa mipya ya urusi inahitaji ulinzi na ndiyo maana wale Askari walikuwa wanalinda mpaka wa urusi wameambiwa watoke kwenye huo mpaka wa zamani wahamie mpaka mpya, Kwa ukiwa wa kieneo na hali ilivyo sasa ya Amani Askari waliokuwa hapo hawatoshi, Kwa hiyo hawa wapya ndiyo watenda kulinda Amani hiyo mikoa mipya na kuwa stand by Kwa kujibu chokochoko yeyote kutoka Kwa zelensky na washirika wake, na wale wa zamani watarudi kwenye jukumu lao la msingi kule front line, Kwa hiyo kuongezwa Kwa jeshi Siyo kuwa wamepungukiwa Askari Ila kutokana na ukubwa wa eneo na ulinzi wa raia wa Russia waliojiunga imebidi waongeze nguvu, hii partial mobilization ni maalumu Kwa ajili ya kuwakabali collective west

Kuna watu wamemuambia Ukraine akubaliane na urusi sasa hivi Siyo wameongea kimakosa Ila watu wameona kuwa urusi inaenda kuongeza Kasi ya mapigano, pili safari hii hakuna suala la safe corridor na hayo maeneo mapya ambayo urusi atayachukua atapitisha referendum na itakuwa ni sehemu ya urusi, Kwa hiyo zelensky anatakiwa aongee sasa ili asije akapoteza zaidi baadae, Ila ninachokiona kipigo kinachokuja kitakuwa no mercy
Mkuu sababu za partial,na naomba nisisitize ni partial,sio full mobilization ni hizi:
1.Urusi wana maeneo ambayo wameteka,kwa hiyo wanataka yalindwe, hawa askari wapya 300,000 ndio watakao fanya kazi hiyo,but they will also support the frontline forces with long range missiles and artillery.
2.Urusi wameona kwamba adui ni stronger than they thought,kwa kuwa kumbe they are fighting also the US,NATO and Europe as a whole,sio Ukraine tu,and hence the increase in forces, change in strategy and need for partial mobilization.Nadhani wameona partial mobilization inatosha kufuatana na threat iliyoko mbele yao sasa.
 
Na Russia amefanikiwa hapo kuona kwamba waRusi kama hawana shida ya kuishi Dunia ivi.kisaikolojia mtu anaye tishia ni mwoga.pia Russia inatumia vitisho Ili kufanikisha malengo yake.Putini kila siku nyuklia nani alimwambia nchi zingine hazina.
" kisaikolojia mtu anayetishia ni mwoga.russia anatumia vitisho Ili kufanikisha malengo yake"

Hapa umeupiga mwingi comred [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hivi tuliambiwa Russia ana jeshi la watu 900k na reserve ya 1.2m sasa kwanini achukue raia na anakiri wakiokufa Ukraine ni elfu 6 kwanini usumbue raia inamaana hata wale wafungwa wameisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Screenshot_20220922-113404_Chrome.jpg
 
Narudia tena NATO awawezi na kuthubutu ku engage vita yoyote ambayo Russia yupo ndani wanajua madhara yake uchumi wao wameunenga kwa jasho na damu kuingilia vita na russia ni kurudishwa zama za mawe za mwanzo yani miji yao yote itakuwa vifusi
Nakukumbusha tu west anaweza ingilia. Russia si nchi pekee yenye WMD. Na kwa taarifa tu ni kuwa west wana WMD nyingi kuliko russia.
 
Ni lini na wapi West waliogopa kwenda ili kulinda image zao?
Irak?
Siria?
Libya?
Vietnam? nk
Kote huko walilinda image?
Inashngaza asee
West hawa hawa walinde image zao kwawema gani walionao
Wameshindwa kulinda image zao kwenye kuona me kwa me na ke kwa ke watalinda image kwenye nn
Kiufupi nikwamba jamaa hawawezi kupambana na RUSSIA ingawaje wapo weeeengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The European Commission is preparing a proposal for new sanctions against Russia They may include measures against individuals, as well as a ban on the import of Russian diamonds, luxury goods - RIA News.
@Pietro juzi nlikwambiaje kuhusiana na uamuzi wa RUSSIA nanini wangefanya wanaojiona wakubwa wa DUNIA
Hawa jamaa hawana zaidi wanachoweza kumfanya RUSSIA ukitoa vikwazo
Nalicha yakwamba wameweka vikwazo zaidi ya 15k ila bado wanaona ngoma imekua ngumu
RUSSIA anaendelea kuonesha ukuu wake mana anapigana kwenye angle mingi sana na watu wengi sanaa ila anawanyoosha haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hesabu ndogo sana hizo zinakusumbua? Mobilization number 1: for WW1
2:WW2
3:Is for WW3
Kwa hali ilipofikia hii haipingwi. West hawawezi ku surender kwa Rusia wakifanya hivyo manake u super power wa Marekani ndio kwaheri.
Pia Rusia hawezi ku surender kwa West maana ndio itakuwa mwisho wa Taifa linaloitwa Rusia.
Hapa ni lazima kipigike wakukosa akose na wakupata apate. Tunakoelekea ni kugumu na kubaya sanaa.
Wazee wa MAANDIKO tunajua nini kinachofuata.
"Ombeni kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo'
Kuna mahala umeona nashindwa kuelewa kitu cha kitoto namna hiyo. Kuna hesabu gani ya kunishinda hapo
 
Hivi nani anaweza kuamini taarifa kama hii kweli,labda a lunatic.Muwe serious vijana,mbona mnalisha watu upupu?Vijana vipi?Hivi mkileta taarifa nzuri ya kuaminika what do you loose.Na ukileta taarifa ya uongo,halafu watu wakaiamini,unapata faida gani hasa?
Vunjo, kipanya44 ni km mataahira wawili wanaofanana kila kitu.
Mmoja akijamba mwingine ananusa huku akicheka kwa furaha.
Wanazani uongo wanaojaza humu unaweza badirisha chochote Ukrein.
Muda ni mwalimu mzuri
 
In Moscow raia wameingia barabarani hawataki kusikia Mobilization war ni kwenda kuua vijana na waume zao wengine washakimbia

Ni kawaida katika vita wapo waoga wapo wazalendo nk . Hata USA maandamano hutokea na serekali husonga mbele tena USA walipochapwa na I deed waliandamana na US akajitoa Somalia.
 
Tukiwaambia watu Russia ni dude kubwa watakuletea mapambio embu fikiria kichwa kimoja kinafanya viongozi wote wa west wanaweweseka sidhani hata kama week hii watalala. Maana Putin anawapeleka mputa puta wameishia kulia lia wakitafuta huruma ya UN
Kaua na chumi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana wameachiwa hakuna aliye katwa kichwaView attachment 2364441
Mimi sina tabia ya kusema uongo!
Jisomee hapa.
===
In the early morning of July 29, Kiev’s forces shelled a detention center for Ukrainian prisoners of war (POWs) in the village of Elenovka in the Donetsk People’s Republic. The blow was struck precisely at the barracks in which the captured soldiers of the Ukrainian Nazi Azov regiment were held.

The Russian Ministry of Defence confirmed the attack. According to the Russia’s Defense Ministry and local authorities, Ukrainian troops used US-supplied HIMARS multiple rocket launchers to strike the detention center.

Initially, the Russian Ministry of Defense reported that 40 Ukrainian POWs were killed and 75 others were injured. Later, the DPR territorial defense headquarters reported that the death toll in the missile strike has grown to 53. DPR forces continue clear the debris, so the number of casualties may grow. Eight employees of the detention center received injuries of varying severity.

The attack was carried out at about two o’clock in the morning. The targets were barracks, where only militants from Azov were held. The target was successfully hit, which means that the reconnaissance and determination of the target were carried out in advance.

 
Back
Top Bottom