Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Partial mobilization.. Kwa tafsiri rahisi kabisa ni kwamba baada ya kuteka na kuyadhibiti maeneo waliyayataka na yamepiga kura kujiunga na Urusi inabidi nchi iongeze human resources na material kulinda maeneo husika. Mnaotafsiri hii kama kufeli kwa operation nadhani mmeelewa vibaya
Hahhahhah kwani hayo maeneo hakuna watu au wanaume wa kuyalinda?lengo la malekani Lita timia lazima Russia ifilisiwe.Picha ya chini warussi wakiomba hifadhi uko georgia
Screenshot_2022-09-22-10-49-22-994_com.gbinsta.android.jpg
 
Kwa ufupi.

Ilimchukua USA miaka ishirini kupigana Vietnam, wengi mpaka leo hawajui USA alikuwa anataka nini kwenye hio vita. Kwa ufupi alichokuwa anataka ni kutetea maslahi mapana ya wananchi wema wa Vietnam kama alivyofanya south Korea. Unakuta lijitu linacheka Marekani kutotimiza agenda zake Vietnam, laiti kama angejua ni bithaa, gadget za aina ngapi tumekosa: another Samsung, or LG dunia imekosa asingefurahia madudu yanayofanywa na mwadamu kwa kigezo cha sera za Ujamaa.

Je Urusi yupo tayari kupigana mda huo bila kutumia nukes?
Na Kwa wakati huo wote hatukuwahi sikia USA anatishia Mtu nuclear, lakini Putin kapigana miezi 7 tu kaona pumzi inakata anatishia Nuclear [emoji38]
 
The United States urged Zelensky to leave Crimea alone. , Ukraine's attempts to return the peninsula will lead to a greater escalation.
“With the available forces, it will not be easy for Kyiv to recapture even the Donbass. Pursuing Crimea would be a much more difficult task, a potential jump into all-out war,”
Washington does not want to give Ukraine the opportunity to risk regional stability and peace by correcting past historical mistakes
 
Ni kweli Mrusi haijaanza kutumia Jeshi lake "Elite," hao inawezekana ni Mercenaries au Contractors Kama hiyo story ni kweli,maana it could be fake.
😂😂😂😂😂😂 Daaah!!!!!

Kuna swali linalosema operation ya mrusi imefail, jibu ni kuwa inafail vipi wakati bado inaendelea?????, Au kama kuna mtu anaweza kuleta tangazo official la urusi kumaliza special operation hapo Ukraine mwambie atupe
Ila ninachojua kuwa operation imefanikiwa Kwa kiasi kikubwa maana kwenye malengo ya operation hakukua na suala la kuongeza ukubwa wa nchi ya Russia lakini naona limefanyika
Suala la kuipunguza Ukraine uwezo wa kejeshi amefanikiwa Ila kinachoendelea sasa ni west kumpa mikopo mikubwa ya silaha Ukraine na urusi sasa kaamua kulishughulikia hilo, ndiyo maana ya kusema "collective west"

Pili kuna hoja ya kuwa urusi Askari wake wengi wamekufa ndiyo maana kakusanya Askari 300,000, ukweli urusi imewakusanya hao wanajeshi kutokana na referendum inayoendelea maana yake hiyo mikoa mipya ya urusi inahitaji ulinzi na ndiyo maana wale Askari walikuwa wanalinda mpaka wa urusi wameambiwa watoke kwenye huo mpaka wa zamani wahamie mpaka mpya, Kwa ukiwa wa kieneo na hali ilivyo sasa ya Amani Askari waliokuwa hapo hawatoshi, Kwa hiyo hawa wapya ndiyo watenda kulinda Amani hiyo mikoa mipya na kuwa stand by Kwa kujibu chokochoko yeyote kutoka Kwa zelensky na washirika wake, na wale wa zamani watarudi kwenye jukumu lao la msingi kule front line, Kwa hiyo kuongezwa Kwa jeshi Siyo kuwa wamepungukiwa Askari Ila kutokana na ukubwa wa eneo na ulinzi wa raia wa Russia waliojiunga imebidi waongeze nguvu, hii partial mobilization ni maalumu Kwa ajili ya kuwakabali collective west

Kuna watu wamemuambia Ukraine akubaliane na urusi sasa hivi Siyo wameongea kimakosa Ila watu wameona kuwa urusi inaenda kuongeza Kasi ya mapigano, pili safari hii hakuna suala la safe corridor na hayo maeneo mapya ambayo urusi atayachukua atapitisha referendum na itakuwa ni sehemu ya urusi, Kwa hiyo zelensky anatakiwa aongee sasa ili asije akapoteza zaidi baadae, Ila ninachokiona kipigo kinachokuja kitakuwa no mercy
 
Nahisi watanzania wengi hawajui geopolitics, kwa speech aliyotoa PUTIN leo ni hatar kwani NATO na EU wakifanya kosa kidogo tu tayari Dunia nzima inaangia kwenye WW3, na Tanzania hatutabaki salama asa kwenye upande wa gharama ya maisha.

Kama umesikiliza speech vizuri, PUTIN anaandaa hii mobilization sio kwa UKRAIN tu bali na kwa nchi yotote itakayo hatarisha wanajeshi wa urusi watakao kuwa kwenye russian occupied territories uko UKRAIN.

Na watu wengi hawana huelewa na neno mobilization, kwenye vita mobilization sio wanajeshi tu (Human Resources) bali ni wanajeshi na silaha hatari zote zinaweka standby kwa matumizi muda wowote na saa yoyote.

Mobilization maana yake vitengo vya usalama na ulinzi vyote vinakuwa kwenye high alert [emoji599] kwa vita kamili pale reconnaissance survey kwenye uwanja wa vita ikionesha hali ni ngumu zaidi ya ilivyotegemewa basi nchi inatumia chchte kilichopo ikiwemo nukes.

Ni jambo la kuomba huu mgogoro usifike uko kwenye WW3, maana nukes za Russia au NATO basi hata Tanzania hatutabaki salama, maana Russia hatanii linapokuja kwnye swala la kushindwa vita yaani hatakubali itokee yeye kuonekana kashindwa vita na western countries au Ukrain, na akiona hali ni mbaya basi atataka tukose wote ikiwemo kutumia silaha yoyote ya maangamizi ikiwemo nuke na nyingne.Watanzania haya mambo sio ya kushabikia ni tishio for human extinction.
Na Russia amefanikiwa hapo kuona kwamba waRusi kama hawana shida ya kuishi Dunia ivi.kisaikolojia mtu anaye tishia ni mwoga.pia Russia inatumia vitisho Ili kufanikisha malengo yake.Putini kila siku nyuklia nani alimwambia nchi zingine hazina.
 
1.Donbass na maeneo mengine ambayo hayakuwa kwenye mpango huo yatahamia Russia

2. Ukraine haijaingia NATO
3. Denazification imefikia asilimia 65% kukamilisha baada ya kukata kichwa cha Nazis walizokuwa AZov na kwenye mahandaki huko Mariopol.
4.Demilitarization hiyo imefanikiwa kwa asilimia 80. Kwa Sasa Russia ana demilitarize EU kwa kuunguza silaha wanazopeleka Ukraine . Si ulisikia EU wakilalamika kuwa stock Yao ya silaha inapungua na kasi ya kurudishwa silaha hizo ni Karibu na sifuri?

Leta hoja nyingine hapa ifanyiwe kazi.
Jana wameachiwa hakuna aliye katwa kichwa
saintjavelin-20220922-0001.jpg
 
[emoji298]️ ISW: Russia's mobilization will not change course of war in 2022.

Mobilization in Russia "will not generate significant usable Russian combat power for months" as it will take a long time to bring poorly trained Russian reservists to war readiness, the ISW reported.

It is not even clear if this conscription will manage to offset Russian casualties, according to the ISW.

"Russia's partial mobilization will thus not deprive Ukraine of the opportunity to liberate more of its occupied territory into and through the winter," reads the report.
 
Aiseee huko Moscow ndege zinapishana tu angani watu hawataki kwenda kufa kwa upumbafu wa Mtu mmoja

Flights departing Moscow and St. Petersburg today. The @AP is reporting international flights departing Russia have either sold out or skyrocketed in price after Putin announced a mobilization of reservists.

Search SVO, VKO, DME for Moscow airports and LED for St. Petersburg.

 
Hahhahhah kwani hayo maeneo hakuna watu au wanaume wa kuyalinda?lengo la malekani Lita timia lazima Russia ifilisiwe.Picha ya chini warussi wakiomba hifadhi uko georgiaView attachment 2364436
Mkuu tunajuaje kwamba hao ni Warusi na sio cooked stories?Mna bore kweli kweli,leteni taarifa ambazo mtu mwenye akili timamu akiisoma inampa majibu ya maswali yake.
 
Aiseee huko Moscow ndege zinapishana tu angani watu hawataki kwenda kufa kwa upumbafu wa Mtu mmoja

Flights departing Moscow and St. Petersburg today. The @AP is reporting international flights departing Russia have either sold out or skyrocketed in price after Putin announced a mobilization of reservists.

Search SVO, VKO, DME for Moscow airports and LED for St. Petersburg.

Tazama video na raia wanaandamana hawataki vijana wao na waume zao wakauliwe na Mobilization war
This time Putin hachomoki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
1.Donbass na maeneo mengine ambayo hayakuwa kwenye mpango huo yatahamia Russia

2. Ukraine haijaingia NATO
3. Denazification imefikia asilimia 65% kukamilisha baada ya kukata kichwa cha Nazis walizokuwa AZov na kwenye mahandaki huko Mariopol.
4.Demilitarization hiyo imefanikiwa kwa asilimia 80. Kwa Sasa Russia ana demilitarize EU kwa kuunguza silaha wanazopeleka Ukraine . Si ulisikia EU wakilalamika kuwa stock Yao ya silaha inapungua na kasi ya kurudishwa silaha hizo ni Karibu na sifuri?

Leta hoja nyingine hapa ifanyiwe kazi.
Hakuna aliye nyongwa na atakaye nyongwa View attachment 2364459
20220922_112135.jpg
View attachment 2364458
 
Back
Top Bottom