Mpaka leo Estimate ya Askari wa Urusi waliouwawa au kuwa disabled kwa mujibu wa jeshi la Ukraine ni kati ya 90,000 na 100,000, na kwa sababu hesabu hii inatokea Ukraine ni wazi iko overstated.
This verse of war, Putin anataka kulinda maeneo ambayo yatapiga kura kujiunga na Urusi, ambayo kimsingi tayari yanakaliwa na majeshi ya Urusi, na kwa taarifa za wiki hii pekee hakuna ushahidi kwamba Ukraine wanatishia kuchukua hata eneo moja kati ya yote manne.
Sasa ana mobilize watu hao watu wote wa nini?
USA & Allies wamekuwa wanampatia siraha Ukraine ili ajilinde, sio watu.
Kwa nini Putin anataka kutumia watu kujilinda?