Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Germany anatia huruma sana US anamuingiza chaka yeye amebaki anashangaa tu viwanda vyote vikubwa vya germany vinampango wa kuhamia North america kwa ajili ya uzalishaji maana yake ni kuwa ajira nyingi za wananchi wa germany zinaenda kuzikwa rasmi.. US alivyokuwa mshenzi eti anawaambia wahamie nchini kwake atawapunguzia Taxes ili tu waamie kwake ila ili zuzu olaf limekaa tu linakodoa mijicho yani mpaka nimemkumbuka bibi markel yule bibi ana angalia masilahi ya nchi yake kwanza.
 
Sikia wewe bwana mdogo, nimeijua USSR toka iko mikononi mwa Nikita Krushchev ambaye mwaka 1956 alitumia maneno we will bury you akiwatishia viongozi na mabalozi wa nchi za Magharibi...yaani tutawazika!

Mimi nawachukia na siwapendi kabisa watawala mafashisti na madikteta katika umbo zao zote wawe weupe, wekundu au weusi tii kama Idi Amin Dada. Naisifia Marekani kwa kitu kimoja, uhuru na haki ya kutoa mawazo!

Mtu ama kikundi chochote kinachothubutu kujivika umungumtu na kudhani yeye ama wao peke yao ndio wenye haki ya kuongoza, nitawapinga. Ni katika msingi huo huo nasema adui mkubwa wa taifa letu ni moja tu, CCM.

Putin, pamoja na sifa zote za kijinga anazopewa na watu vilaza wasioijua Russia (si USSR tena) na viongozi wake, atapata anachokitafuta kama walivyowahi kupata madikteta wote waliomtangulia na watakaomfuata.

Juzi hapa Marekani katokea wannabe dictator moja kwa jina Donald Trump. Nadhani alidanganyika akisahau misingi imara waliyojiwekea hilo taifa kubwa la wahamiaji waliozikimbia nchi zao za asili wakitafuta fursa zaidi!

Alitamani sana awe kama huyo Putin na mafashisti wengine ambao wamewageuza wananchi wao kama mandondocha yasiyo na akili. Siyo Marekani, na kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo, unajua kwa sasa anachungulia nini.

The US has been very clear with the Russians publicly, and, as well as privately, to stop the loose talk about nuclear weapons. Any use of nuclear weapons would have catastrophic effects for, of course, the country using them!

Hilo ni onyo, sasa subiri huyo mwandawazimu aendelee...si muda mrefu atavuna anachopanda! Kama alivyotabiri mcheza chess maarufu aliyeikimbia Russia kwa sababu ya Putin, Gary Kasparov (RIP) that will be his end!
Tatizo kubwa ulilo nalo mkuu ni kwamba huijui Dunia kabisa.Unadhani hao madikteta unao wazungumzia, akina Lenin, Nikita Khruschev, Mao, Stalin, Hitler wamejiweka,no,hao wana watu nyuma yao, na watu hao ni hao hao wanaokuhubiria wewe upuuzi kama Democracy na human rights,vitu ambavyo wao wenyewe they do not believe in and practice.Hizi ni tools na mbinu chafu tu za kutawala wengine.

Mkuu, hivi Marekani unaamini kuna kinachoitwa democracy kweli?Uingereza je?Seriously kama unaamini Marekani na Ungereza kuna democracy,basi something is seriously wrong in your upstairs.

You see, panya anauma na kupuliza, that is a survival technic.The NWO psycopaths are just like that,wake up.

The idea that societies develop from Primitive to Communist societies,and we were taught this nonsense in Universities, has only one purpose, to enslave and and dominate humanity including you.
 
Propaganda za kijinga...from a sick mind!
This is going on in Europe now as we speak.Sasa wewe kama umekalia kwamba hii ni propaganda,you are misguided,mistaken,ignorant and extremely uninformed.

Kuhusu kutumia vyoo bila maji,kwani hujaona huyo jamaa akifanya training?Na kuhusu blackouts mbona ni common knowledge na jana tu DW Swahili wali-discuss swala hilo hilo kirefu.Wewe unaishi Dunia gani mkuu?Wake up,Europe is crumbling like a block of ice.
 
Putin usithubutu kutumia vyukilia.....US yasema

"'If Russia crosses this line, there will be catastrophic consequences for Russia. The United States will respond decisively,' said US National Security Advisor Jake Sullivan [File: Kevin Lamarque/Reuters


1664170915136.png
 
Putin usithubutu kutumia vyukilia.....US yasema

"'If Russia crosses this line, there will be catastrophic consequences for Russia. The United States will respond decisively,' said US National Security Advisor Jake Sullivan [File: Kevin Lamarque/Reuters


View attachment 2368359
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Putin hana uwo mpango wa kutumia Nukes kwa nchi dhaifu kama Ukraine nukes ni kwa ajili ya wale wafuasi wa upinde wa mvua
 
Tatizo kubwa ulilo nalo mkuu ni kwamba huijui Dunia kabisa.Unadhani hao madikteta unao wazungumzia,akina Lenin,Nikita Khruschev,Mao,Stalin,Hitler wamejiweka,no,hao wana watu nyuma yao,na watu hao ni hao hao wanaokuhubiria wewe upuuzi kama Democracy na human rights,vitu ambavyo wao wenyewe they do not believe in.
Kwanza jifunze kuandika ili uweze kusomeka vizuri, je una haraka gani? Hebu angalia hizi facts halafu uzitafakari...
  1. The Russian American population in the US is estimated to be 3.13 million.
  2. The Chinese American population in the US is estimated to be 5.4 million
  3. The Indian American population in the US is estimated to be 4.6 million
  4. The Filipino American population in the US is estimated to be 4.2 million
  5. The Arab American population in the US is estimated to be 3.5 million
Hawa ni watu ambao wamelazimika kuzikimbia nchi zao za asili wakikataa tawala za kidikteta na kifashisti kwa fursa na usalama wao. Sasa na wewe nipe idadi ya Wamarekani waliokimbilia Urusi kwa sababu za kisiasa na kiuchumi!

Wewe hapo ukiletewa visa mbili uchague pa kwenda kati ya Russia na Marekani hata kama ni kwa kutembea tu utachagua wapi? Najua kwa unafiki ule wa Kitanzania si ajabu ukasema Russia! Huo utakuwa ni uenda wazimu, siyo kweli! Huwezi!
 
Hahahaha 'kijana wa Putin kasema' kwahiyo source huna Ila ulileta story ya kwenye kijiwe cha kahawa uje ukamate maboya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Duuuh Kaka kumbe humu ndani siku hizi kuna mashindano ya Nani anammudu Nani hakuna hoja zenye mantiki tena!? Bhas Balaaa na nusu[emoji23][emoji23][emoji23]
We ni mtu wa ajabu sana! Ndio maana nikasema hata ukipewa 'source yenye uhakika' kama ulivyoomba hautaweza kujua.

Lini uliwahi kutoa hoja yenye mantiki!?
 
Putin usithubutu kutumia vyukilia.....US yasema

"'If Russia crosses this line, there will be catastrophic consequences for Russia. The United States will respond decisively,' said US National Security Advisor Jake Sullivan [File: Kevin Lamarque/Reuters


View attachment 2368359
Kilanja mwangalizi mkuu wa dunia kasema,Mimi ni nani nimbishie[emoji848]
 
Inakadiriwa Warusi 260,000 wamekimbia nchi baada ya mobilization kuanza. Maafisa wa usalama wanataka kumshawishi Putin afunge mipaka kwa wanaume wenye sifa za kujiunga kwenye operation hii ya siku tatu
Yale ya US enzi zile vya vita ya Vietnam yanajirudia kwenye dunia ya Sasa huko Urusi..
 
Tatizo kubwa ulilo nalo mkuu ni kwamba huijui Dunia kabisa.Unadhani hao madikteta unao wazungumzia,akina Lenin,Nikita Khruschev,Mao,Stalin,Hitler wamejiweka,no,hao wana watu nyuma yao,na watu hao ni hao hao wanaokuhubiria wewe upuuzi kama Democracy na human rights,vitu ambavyo wao wenyewe they do not believe in.Hivi ni tools tu za kutawala wengine.Mkuu hivi Marekani Kuna democracy kweli,let us be serious,Uingereza je?Seriously Kama unaamini Marekani na Ungereza kuna democracy,basi something is seriously wrong in your upstairs.

You see panya anauma na kupuliza,that is a survival technic.The NWO psycopaths are just like that,wake up.

The idea that societies develop from Primitive to Communist societies,and we were taught this nonsense in Universities, has only one purpose, to enslave and and dominate humanity.
Tupe maana ya democracy acha maneno mengi yaliyo nje ya reli
 
Moderator huu uzi uko mahisusi kwa ajili ya mada tajwa hapo juu. Lakini mbona kila mtu anafungua uzi kwa jambo hilo hilo. Badala ya kutuma bandiko kwenye uzi huu. Tafadhali tunaomba uliangalie hilo.
Uzi umevamiwa na wavuta bangi, ndio maana wenye akili wana-escape
Kujibizana na wavuta bangi sio kazi rahis
 
Yale ya US enzi zile vya vita ya Vietnam yanajirudia kwenye dunia ya Sasa huko Urusi..
Hiyo tu peke yake inakuonesha Putin yuko nyuma miaka mingapi! Walichofanya USA zaidi ya nusu karne iliyopita, yeye Putin anayafanya leo halafu eti ashindane nao, is he crazy? Some people will just never learn and this idiot is very much ahead in the lead!
 
Putin usithubutu kutumia vyukilia.....US yasema

"'If Russia crosses this line, there will be catastrophic consequences for Russia. The United States will respond decisively,' said US National Security Advisor Jake Sullivan [File: Kevin Lamarque/Reuters


View attachment 2368359

Putin usithubutu kutumia vyukilia.....US yasema

"'If Russia crosses this line, there will be catastrophic consequences for Russia. The United States will respond decisively,' said US National Security Advisor Jake Sullivan [File: Kevin Lamarque/Reuters


View attachment 2368359
Empty vessels make the most sound.
 
Ukraine ilihamisha raia ambao Russia ilikuwa inashambulia. Wanaume walikuwa wanapeleka familia zao mpakani kisha wanarudi wenyewe nyuma kuwa mobilized
Hakuna vita anbayo [emoji817] wanapenda kwenda. Hata hizi mission za peacekeeping wapo wanaozitamani kwakuwa zina fursa na wapo Wanatoa hata rushwa wasipelekwe . KILA mtu ana roho yake
 
Back
Top Bottom