Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hahahaha 'kijana wa Putin kasema' kwahiyo source huna Ila ulileta story ya kwenye kijiwe cha kahawa uje ukamate maboya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana acha kupayuka.
Unataka source ya kueleweka!? wewe ni lini uliwahi kutoa source ya kueleweka kwa porojo zako unazopigaga humu!? Kwanza ukipewa source ya kueleweka utaijua!?
Uzuri nakumudu. Uje kwa mihemko au kwa vijifact uchwara[emoji16].
Hiyo taarifa niliyokupa hapo (list ya hizo nchi) nimeitoa AALEP. Association for accredited public policy advocates to the European union.
Duuuh Kaka kumbe humu ndani siku hizi kuna mashindano ya Nani anammudu Nani hakuna hoja zenye mantiki tena!? Bhas Balaaa na nusu[emoji23][emoji23][emoji23]