ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Haaa mkuu naona drone za Iran mlizo kuwa mnazibeza sasa hivi zipo zina watia mchecheto.Na inavyosemekana zimepigwa eneo linaloshikiliwa na Urusi, maana yake Ukraine wameadvance zaidi
Haaa mkuu naona drone za Iran mlizo kuwa mnazibeza sasa hivi zipo zina watia mchecheto.Na inavyosemekana zimepigwa eneo linaloshikiliwa na Urusi, maana yake Ukraine wameadvance zaidi
Drones za Uturuki hazijapungua ufanisi bali waliamua kutotoa clips zake zilizokuwa zinavujishwa na operators kinyume na amri za kijeshi. Video nyingi za Bayraktars zilikuwa hazitolewi kwa ruhusa. Mpaka sasa Ukraine imedhihirika imepoteza drones 8 wakati Russia imeharibu nyingi kuliko zilizopo.Mkuu usijitoe ufahamu drone zote zinazo tumiwa na Hizbulah na huthi zote ni kitoka Iran na kama wanatengeneza wao basi fomla zote zinatoka Iran.
Tahathari kwa Israel afanye kila liwezekanalo hizi drone za kamkaze za kiiran zisifike mikononi mwa Hamas atajuta kuzaliwa.
Lakini pia mkuu na kumbuka Marekani ilipeleka drone aina ya kamkaze ndani ya Ukraine kama sikosei ilikuwa mwezi wa 5 lakini zilishindwa kuonesha matokeo chanya,hata drone za kituruki zilionesha kuwa tishio mwanzoni lakini sasa hivi naona kama vile ufanisi wake umepungua.
Mbna hamna kulialia MKUU hapo pakutaka tuone ndio muda huu sasa tunaonaSasa mbona unatia huruma mkuu. Mambo ya kulilia Iran inachopitia yanaingiaje kwenye case hii unayoniita muongo. Unatakiwa utoe proof ya unachodai nilisema, sio maneno yako ya "sidhani kama uliyasema haya".
Nimekuwekea screen shot. Unadhania nini na evidence hii hapa?View attachment 2367692
Kapoteza 2000 tangu February
Sasa wanatengenezaga ya nin kama wanaogopana hivoJana nilikuwa nasoma kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama kiitwacho A Promised Land nikashangaa kuona kumbe mfumo wa usalama wa makombora ya nuclear ya Urusi umejengwa kwa masaada wa USA na wameshiriki katika ujenzi wa mfumo huo. Kama hiyo haitoshi viongozi US na maafisa mara kadhaa mamekuwa wakitembelea sehemu yalipo fichwa makombora hayo. Kwa hilo tu nafikiri vita ya nuclear haiwezi piganwa ndani ya kalne hii.
Kuna asilimia kubwa ya vijana wa kitanzania ni jobles....Hayo makampuni ni bora yaje tu na huku.....hawa panya road wote hawa...kuna vijana waliopitia JKT wanazurula tu mitaani huku jobles...bila shaka kwa hii manpower isiyotumika Tz...makampunu yaanzishwe tu....kama ambavyo kuna utitili wa kampuni za ulinzi siku hizi....Mzee huwezi kuwa Mercenary kizembe, Makampuni yanayo supply Mercenaries duniani hayazidi hata Kumi, na haya makampuni haya recruit vijana ovyo ovyo, kwa wenzetu kuna sehemu za kujifunza mafunzo ya kijeshi kama self-defense na unalipia kama shule vile, hivyo wengi wao wanakwenda kwnye hizi shule na baadae kuomba kazi kwenye makampuni binafsi ya ulinzi au hayo makampuni ya Mercenaries, sio unatoka Tanzania na kuajiliwa kama Mercenary.
Pia sifa ya kuajilia kwenye haya makampuni ni kama una Military experience haijalisha unatoka Afrika au sehemu yyte so long as una military experience basi unaweza pata kazi umo.
Note: wengi wanapenda kuajiliwa na haya makampuni ya Mercenaries kwa sababu yanalipa hela nyingi zaidi ya wanajeshi walioajiliwa jeshini (serikali)
Kuna asilimia kubwa ya vijana wa kitanzania ni jobles....Hayo makampuni ni bora yaje tu na huku.....hawa panya road wote hawa...kuna vijana waliopitia JKT wanazurula tu mitaani huku jobles...bila shaka kwa hii manpower isiyotumika Tz...makampunu yaanzishwe tu....kama ambavyo kuna utitili wa kampuni za ulinzi siku hizi....
Kwa kweliMtu yeyote anayeamini mambo ya New World Order(NWO), hayo ya dunia kuwa na dini moja na serikali moja ni mwendawazimu, aliyepungukiwa akili, delusional na anayetakiwa apelekwe akapate matibabu katika hospitali za magonjwa ya akili.
Hii dunia ina siri nyingi sana brother, huwezi amini pamoja na vita inayoendelea lakini bado vikao vya kila wiki kati ya Pentagon na jeshi la Rusia vinaendelea kama kawaida wanakunywa ma kahawa pamojaSasa wanatengenezaga ya nin kama wanaogopana hivo
Na ni majasusi wabobezi piaWatanzania ni watabiri,makocha ,wasoma nyota ..utajichosha tu ...wakufunzi, waalimu, Waganga.... Ni vigumu sana kubadili haya mawazo yao....
Itakuwa ni dhiki kuuInakuwaje viongozi wakubwa duniani wazungumzie hichi kitu kama ni conspiracy.this is real ila nawaza sometime what if hawa Russia na wachina ni sehemu ya hii kitu?View attachment 2366125View attachment 2366126
Patamu hapoBwana mdogo unachokifanya hapa ni utoto mtupu
Unaenda gugo unascreenshot conspiracy unakuja kuzimwaga hapa kama ushahidi usio na shaka.
Sawa, umetoa maelezo gugo kuwa Biden ni freemason, na mimi nikikuletea maelezo ya kuwa Biden ni Muamini mzuri wa Kristo nini kitafanya maelezo yangu yaweb batili na yako yawe kweli ilhali chanzo changu na chako ni kimoja?.
Tafuta movie inayoitwa "Thirteen days" inayoelezea mgogoro wa Cuba wa US dhidi ya Soviet (Russia) hadi kufikia hitimisho la kidiplomasia la kuondoleana silaha za nuclear mipakani mwao.Hii dunia ina siri nyingi sana brother, huwezi amini pamoja na vita inayoendelea lakini bado vikao vya kila wiki kati ya Pentagon na jeshi la Rusia vinaendelea kama kawaida wanakunywa ma kahawa pamoja
Ni upuuzi gani huu umeandika [emoji848]Tafuta movie inayoitwa "Thirteen days" inayoelezea mgogoro wa Cuba wa US dhidi ya Soviet (Russia) hadi kufikia hitimisho la kidiplomasia la kuondoleana silaha za nuclear mipakani mwao.
Hii movie ni ya US wenyewe! Ukiitizama hii movie kwa hatua inayofikia ya mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi kufikia pahala kwa hatua chache watangaziane vita ni suala gumu na linalotisha mno!
White house wanapoteana, Pentagon wanapoteana na vyombo vyengine vya usalama wanapoteana! Na kwenye hiyo movie wankuonyesha kwa nini wanapoteana! Kwa sababu mpinzani unaetutumuliana misuli naye si kwamba utamuadhibu bali mtaadhibiana ya kwamba: Tukiishambulia Soviet(Russia) US haitobaki salama na Soviet (Russia) ikiishambulia US nayo haitobaki salama na inayozungumziwa hapa ni nuclear.
Hatua ambayo iliyofikia Soviet ikawa haijibu suala lolote kupitia balozi yake US wala Kremlin; taarifa hazitoki kwa wakati Taifa jengine linashindwa lichukue maamuzi gani! Tuangie kwenye vita ama la! Lakini jawabu linabakia palepale ni nuclear! Kwenye hii movie inaonyesha haya mataifa makubwa yanapoona usalama wa nchi yake upo hatarini watakuja kufanya maamuzi magumu Sana na kwa misingi hiyo ni vizuri waheshimiane kwa misingi ambayo kwa kila mmojawapo ataona yupo salama kwa Taifa lake.
Kwa bahati mbaya US na NATO na EU wanajaribu kuuvuka huu mstari kwa Russia. Inatambulika na kufahamika Ukraine niTaifa huru. Lakini kuutumia Uhuru na demokrasia ya Ukraine kwa ajili ya kupambana na Russia ni uchochezi. Huu mtanange kwa Russian ni kufa na kupona kwao wanaona ni kutetea na kulinda Taifa lao. Kwa namna yoyote ile ikiwa ni mchezo wa hatari sana.
Ndiyo picha nilibakiwa nayo niliyopiga kuhusu chakula.Ni upuuzi gani huu umeandika [emoji848]
Walizibeza lakini sasa hivi zinawapeka mputa.View attachment 2367896
[emoji298][emoji298][emoji298]Stunning shots of Iranian Shaheed-126 UAV attacks - demonstration work of the launcher
In Russia, they received the name "Geran-2" and now the Russian army almost all attack enemy targets with them[emoji298][emoji298][emoji298]