ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Haaa mkuu huwa mnanichekesha na huyu jamaa yako.Huyu ni nani? Sasa zimetoka wapi hizo drones? Kwenye dunia yako ni kwamba hakuna drones za Iran zipo Russia. Baki kwenye dunia hiyohiyo, haiwezekani leo useme hiki, kesho kile. Unakuwa kama benderaView attachment 2367368
Katika sekta ambazo Urusi anazipuuza ni sekta ya drone yaani jamaa hawana muda nazo sijui kwanini ila naamini baada ya hii vita hawatarudia kuipuuza hii sekta na tutegemee uwekezaji mkubwa kwenye hiyo sekta.
Ila tuambizane ukweli mkuu uliziponda sana drone za Iran ila sasa hivi zipo zina wahenyesha kwenye uwanja wa vita.
Leo hasubuhi zimefanya uharibufu mkubwa sana kwenye mji wa Odessa.
Na ndizo zimevi kwamisha vikosi vya Ukraine kulidhibiti jiji la liyminal kwenye mkoa wa karkiv.
Juzi wizara ya ulinzi ya Urusi ilichapisha video ya drone za Iran zikiharibu msafara wa vifaru na mizinga vya Ukraine huko kherson, na jana hiyo hiyo rais wa Ukraine akatangaza kupunguza uhusiano wa kidpromasia na Iran.
Ila sasa hivi nasikia Ukraine imeagiza mfumo wa ulinzi wenye uwezo mkubwa wa kuharibu drone kutoka Israel ngoja tuone ufanishi wake.